Ujio wa obama Tanzania - ulinzi wake katika picha


Yap, hivi ni vikosi spesho vya marekani vilivyoundwa na Raisi John F. Kennedy akijiandaa kwa vita vya guba.
Ni vikosi vilivyofunzwa kupigana majini, nchi kavu na angani (Sea Air and Land) SEAL.
Kuna SEAL team 1, SEAL team 2, SEAL team 3, SEAL team 4, SEAL 5. Halafu kuna SEAL team 7, SEAL team 8, SEAL team 9, SEAL team 10.

Then kuna SEAL team 6, '' the elite of the elite'', baadhi yake ndio walitumwa kwenda kumkamata/kumuua Osama.
 
Huyu jamaa wa Moscow yeye anajilinda mwenyewe
vladimir-putin-on-hoilday-pic-549464373_width_600x.jpeg
 
Naomba kujua nafasi ya walinzi wa tanzania wakati wa kumlinda Obama.
Je wataaminiwa kumsogelea? umbali wao kutoka Obama na walinzi wake utakuaje?

hawatasogea hata kidogo... wasikia watu 700 wanakuja, hii wanachukua hotel nzima, wenye hotel wote wanaagenda likizo ...
 
mwanangu sijawahi kuona mwanadamu analindwa kiasi hicho ila yote ni kwamba imeandikwa hakika mtakufa japo sio kizembe:painkiller:
 
Kama tanzania ni nchi ya amani, na kuna usalama wa taifa, kwa nini Obama awe na ulinzi mkali kiasi hicho kama sio dharau kwa tanzania?
 
Wa rais wa JMT ukoje? hasa anapokuwa mataifa makubwa kama usa?

Rais wa JMT nje ya nchi analindwa na kudra za mwenyezi MUNGU tu. Mbwembwe na Mambo tunayoyaona kwenye ujio wa Obama hayapo kabisa kwa rais wetu nje ya nchi kwa sababu JMT haina uwezo wa kufanya hivyo
 
Rais wa JMT nje ya nchi analindwa na kudra za mwenyezi MUNGU tu. Mbwembwe na Mambo tunayoyaona kwenye ujio wa Obama hayapo kabisa kwa rais wetu nje ya nchi kwa sababu JMT haina uwezo wa kufanya hivyo

Omba omba akija kwako utamfanyia sherehe?
 
Hivi huwa akienda Out ulinzi unakuwa mkubwa namna hiyo?
Kuna maisha mengine magumu sana ,,wengine tukiamka huwazi kama nahitaji ulinzi wewe ni kujichanganya tu mala uwanja wa Fisi ukikatizi Kariakoo..ukipenyenyeza mitaa ya uswahilini
Raha duniani
 
Back
Top Bottom