livingroom_espionage
Member
- Jul 8, 2026
- 11
- 21
Wakuu salama.
Mimi ni mkristo mzuri tu na imani yangu ipo kwa Mungu dhidi ya hizi dhana nyingine katika uumbaji wa Ulimwengu.
Tunajua kwamba Biblia ndio msingi wa imani ya kikristo na pia ndio kitabu inasemekana kimeficha kwa mafumbo mambo mengi sana. Na pia sisi wakristo tunashauriwa kutosoma kitabu hicho kama hadithi, bali tusome kwa kutafakari sana.
Sasa swali langu ni kwamba Dunia inaenda kwa kasi sana, mwanadamu anapoteza kazi nyingi sana sababu ya ujio wa AI. Sasa hapa nina fact moja ingawa mimi sio mtu wa IT ila wanasema AI inatokana na Machine Learning maana yake Binadamu ndio anaifundisha machine na mashine inafanya accurate kile kilichofundiswa na binadamu.
Sasa embu assume mwaka 5000 hii dunia itakuwaje, je binadamu tutakuwepo kweli ? Au hapo ulipo picha yako kichwani inawaza nini mwaka huo.
Je, ni kweli Biblia ilitabiri ujio wa AI kama ilivyotabiri ujio wa manabii feki ?
NB: Sasa kwenye post hii sitaki ujuaji sana kama umetoka kupiga zako nyeto huko ukashika simu na ukakutana na hii mada. Nataka uchambuzi yakinifu na akili iliyotulia kama umetoka jumuiya au swala ya saa 11 alfajiri kwa waislamu.
Nawasilisha.