Nice designs! Congrats. Mnachora ramani za nyumba tu au mnafanya mpaka ujenzi? Ofisi zenu zipo wapi? Mkoa gani? AsanteWelcome
Nice designs! Congrats. Mnachora ramani za nyumba tu au mnafanya mpaka ujenzi? Ofisi zenu zipo wapi? Mkoa gani? AsanteWelcome
Habari chief, tunachora na kufanya ujenzi sehemu yoyote Tanzania, ofisi ipo dar es salaam, kinondoni B, Call/WhatsApp 0715477041 kwa taarifa zaidiNice designs! Congrats. Mnachora ramani za nyumba tu au mnafanya mpaka ujenzi? Ofisi zenu zipo wapi? Mkoa gani? Asante
Gharama yake ni sh ngapi?
Hiyo Hall hapo Kati ni ukumbi au matumizi yake nini hasa? Si bora kuongeza ukubwa Lounge,kitchen na kutafuta store?Hello everyone!
Hii ni proposal ya nyumba ya vyumba vinne, sebule, jiko, sehemu ya kulia na store.
Designer: Nile house designs.
Unaipa marks ngapi kati ya 100?
View attachment 1748724View attachment 1748725View attachment 1748733
View attachment 1748736View attachment 1755264]
Naipenda kwa nje ila kwa ndani sijapenda planning sana. Bedrooms hazina makabati (ukiyaweka utaona yanafinya sana vyumba, pia zingatia bedside tables pembeni ya vitanda). Sijui kwa nini Hall na kitchen vinaingiliana kwa sliding door tena pana hivyo, jiko linaonekana litasumbua matumizi. Hujaonesha sink, fridge, cooker na counterspace kwa food prep/serving. Kwa nyumba kama hii jiko lingependeza likiwa na pantry/scullery.Hello everyone!
Hii ni proposal ya nyumba ya vyumba vinne, sebule, jiko, sehemu ya kulia na store.
Designer: Nile house designs.
Unaipa marks ngapi kati ya 100?
View attachment 1748724View attachment 1748725View attachment 1748733
View attachment 1748736View attachment 1755264]
View attachment 1880571
Hii ina sqm ngapi? Inaweza kukaa kwenye kiwanja cha m13*23 ?
Okay Fanya mambo nione sketch tuNdio inatosha, nyumba ina 144sqm, inaweza fanyiwa few modifications kuendana na eneo lako
Okay Fanya mambo nione sketch tu
Weka Hapa Kwa Faida Ya wengiHiyo floor plan unataka uionee hapa??
Poa tayariHata PM mkuu
👍👍👍Karibu upate design nzuri kwa gharama nafuu