UJENZI: Let us transform your design ideas into reality: Nile house designs

Hapo waweza tokea sebuleni au jikoni, ila kama kupita kwenye corridor ni hatari kwako, sa sijui wataka nyumba ya aina gani mkuu,
All in all, kuna baadhi ya design inaweza kuwa na mpangilio mzuri zaidi ila ikaongeza cost na ukubwa wa nyumba maradufu
Hebu angalia vizuri ramani yako ikitokea moto umeripuka hapo kwenye hall, ni chumba kipi kiko salama, vyumba viwili karibu na jiko lazima wapitie hapo, na vyumba viwili tena kushoto lazima waje kwenye hall, ndo maana nikasema ikiwa kuna ulazima wa kuwa na ramani kama hii basi tuangalie uwezekano wa kuwa na emergence exits. Au tuwe na smoke detectors, sikuwa na nia ya kufanya bulling, ila nimetoa angalizo na ushauri nikiwa kama mbobezi kwenye masuala mazima ya safety.
 
Shukrani mkuu, nitauchukulia kwa uzito ushauri wako katika design nyingine
 
Hello everyone!

Hii ni proposal ya nyumba ya vyumba vinne, sebule, jiko, sehemu ya kulia na store.

Designer: Nile house designs.

Unaipa marks ngapi kati ya 100?

View attachment 1748724View attachment 1748725View attachment 1748733
View attachment 1748736View attachment 1755264]
IMG-20210507-WA0006.jpg

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Hello everyone!

Hii ni proposal ya nyumba ya vyumba vinne, sebule, jiko, sehemu ya kulia na store.

Designer: Nile house designs.

Unaipa marks ngapi kati ya 100?

View attachment 1748724View attachment 1748725View attachment 1748733
View attachment 1748736View attachment 1755264]
Design nzuri sana hii Mkuu...,Render inaonyesha good exterior pia.
Nimependa idea ya hall instead of corridor. very nice.

Ila zingatia hizo critics hizo boss. zingatia sanaaa.
Master umeidowngrade kwa durisha monja tu
Mkuu Mikolo nakuunga mkono...,vyumba vya kulala vinatakiwa kuwa na cross ventilation kwa ajili ya mzunguko wa hewa mzuri.
Sijaiona public shower .... Just wondering mayn.
Ramani nzuri hata hivyo. Ila sijaiona shower ya public.
Boss Kobello...,Architect kasahau inaonekana. bahati mbaya kweli kweli. tusubiri masahihisho.
Watu lazima waoge aisee.
 
Design nzuri sana hii Mkuu...,Render inaonyesha good exterior pia.
Nimependa idea ya hall instead of corridor. very nice.

Ila zingatia hizo critics hizo boss. zingatia sanaaa.Mkuu Mikolo nakuunga mkono...,vyumba vya kulala vinatakiwa kuwa na cross ventilation kwa ajili ya mzunguko wa hewa mzuri.Boss Kobello...,Architect kasahau inaonekana. bahati mbaya kweli kweli. tusubiri masahihisho.
Watu lazima waoge aisee.

Nafikiri hivyo ni vile vyoo vya 2in1 (choo na bafu) mumo humo
 
UJENZI: let us transform your design ideas into reality: NILE HOUSE DESIGNS (nilehousedesigns on instagram).

Karibu tukutengenezee nyumba ya ndoto yako, tuambie unataka nini na sisi tutaboresha wazo lako.

Kwa bei poa kabisa utapata design yako

Baadhi ya kazi zetu

Affordable price

View attachment 1760377
View attachment 1760376

tupigie /WhatsApp ## 0715477041

Drawings can be adjusted to meet client's ideas

(michoro yaweza rekebishwa kukidhi matakwa ya mteja)

## picha zote zimetengenezwa na nile house design ( no copied images)

View attachment 1699651View attachment 1699654
Hizi sasa sifa
 
Two bedroom house kila chumba master na public toilet kitchen dinning na sitting inaweza gharimu bei gani

Habari mkuu, kwa ujenzi itagharimu 35m, japokua bei inaweza kuwa chini ya hapo au juu kiasi kulingana na aina ya finishing utakayoamua kufanya, ramani ni 250,000 boss
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom