UJENZI: Let us transform your design ideas into reality: Nile house designs

ndio unawawekea watu huo ubuyu kwenye msingi ?..... nilidhani kuna wakati kokoto nyeupe zilipigwa marufuku jumla, huu ubuyu wenyewe unaruhusiwa ?

anyhow, hicho ki clip kitowe, sio kizuri kwa biashara yako

Cha muhimu ni kuangalia uimara wa mwamba, mwamba ulioathirika ( weathered rocks) haijalishi iwe ni kokoto nyeusi au hizi nyeupe ndo hazifai, na pia kwa hali yetu ya kiuchumi watanzania kutumia kokoto nyeusi kwa stages zote za ujenzi inakuwa ngumu sana,

Karibu tukuhudumie mkuu, Call/WhatsApp 0715477041
 
mama yangu weeee.... mafundi wetu ni wehu!

ume order mawe umeletewa mawe site, unajuaje mwamba lilikotoka jiwe, unamuuliza dereva wa lori ? au dalali wa mawe ?

eti inategemea mwamba imara na ulioathirika , wewe unatembea na kifaa cha kupima mwamba ulioathirika?

aisee usitufanye hatujawahi kujenga bana weee.... huo ubuyu unajulikana popote haufai, ni kimeo! Plain and simple!
 
OkAy, kwa kifupi mfuko wako ndo utategemea uchaguzi wa materials, ila kwa baadhi ya stages za ujenzi, hayo mawe hayana shida. Wewe umejenga mkoa gani??
 
MAWE ya jamvi la msingi hayana shida ???

Hivi mawe yanatumika sehemu gani nyingine zaidi ya msingi ?

Mkoa wa D'Salaam, why does it matter ?
 
Nashindwa kuelewa hii panic yako ni kutaka kuelimisha au stress za maisha but Ok sawa mkuu,
karibu tukujengee, utatumia granite( jiwe jeusi) hatua zote !!

Karibu sana tukuhudumie
 
20211217_133213.png
nile official logo-.PNG
 
Ofa ofa less than 99,000/= for the design.

Get inspired na hakikisha unatutafuta,

Nyumba ya vyumba viwili kimoja master,
Sebule kubwa
Jiko
Sehemu ya kulia chakula
Public toilet
Store

Makadilio ya ujenzi:: 25million to 35million
( kulingana na uchaguzi wa materials)

Bei ya ramani hii ni chini ya 99,000/= ( ni ofa)

Karibu tukuhudumie

Call/WhatsApp 0715477041

1_1 - Photo-1.png
1_2 - Photo-2.png
1_3 - Photo-2.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom