UJENZI: Let us transform your design ideas into reality: Nile house designs

Duh, mkuu huna evidence na unashutumu, kwenye huu uzi tumebase na kutangaza michoro ya nyumba tuliyotengeneza, hivyo mtu akivutiwa na uwezo wetu anatutafuta tunamtengenezea design kulingana na matakwa yake. Hatujabase na kuomba kazi za ufundi,

Nakupa task, pitia uzi wote na ukiona kazi yoyote iliyokopiwa sema.

Na pia jitahidi kuheshimu kazi za watu, ukiona jambo huliwezi wewe na jamii yako inayokuzunguka usifikiri haliwezekani kwa kila mtu.

Karibu tukuhudumie upate design nzuri ili ukionesha rafiki zako waseme ni ya kuokota mtandaoni.
Labda tubadili swali kidogo, isiwe copy and paste. Iwe zile zilizojengwa kupitia michoro yenu mizuri
 
Labda tubadili swali kidogo, isiwe copy and paste. Iwe zile zilizojengwa kupitia michoro yenu mizuri
Mkuu angalia post no. 1, 155, 157, 167, 171, 219, na pia pitia pages za huu uzi kuna kazi zilizokamilika na zinazoendelea utaziona. Thanks.

Pia twaweza wasiliana kwa 0715477041 upate msaada wa kuangalia site zinazoendelea na zinazojengwa kwa design zetu. Shukran.

Kwa msaada zaidi waweza pitia page yetu ya instagram kuna picha zaidi, search nilehousedesigns.
 
Incinerator construction. Kazi imekamilika

Karibun sana
20240326_111147.jpg
 
Nyumba kali kwa budget ndogo kabisa, usiogope uzuri wa nyumba kwa kuhofia gharama kuwa kubwa. Waweza jenga nyumba yako ikawa na muonekano mzuri kwa budget ndogo tu, kikubwa tutafute tuifanye ndoto yako iwe kweli.

Design ya nyumba inaanzia 150,000/= na kuendelea kulingana na ukubwa wa nyumba.

Call/whatsapp 0715477041.
3eefb5a5a4776c2af4d9077ca69371b6.jpg
 
Nyumba kali kwa budget ndogo kabisa, usiogope uzuri wa nyumba kwa kuhofia gharama kuwa kubwa. Waweza jenga nyumba yako ikawa na muonekano mzuri kwa budget ndogo tu, kikubwa tutafute tuifanye ndoto yako iwe kweli.

Design ya nyumba inaanzia 150,000/= na kuendelea kulingana na ukubwa wa nyumba.

Call/whatsapp 0715477041.View attachment 2955533
Hiyo inaweza kugharimu kiasi gani kwa mode uliyotuma hapo ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom