Madem wa kiswahili bwana,yaani uhusiano wiki mbili tu,mara twende nkakuoneshe mama,mara kila baada ya dakika kumi simu hata haelewi hata kama uko kazini,hilo la kuniita mume ndio limenikera zaidi na kuamua kuchukua hatua kali za kinidhamu.

Hiyo sio kwa wanawake peke yao...Wapo pia baadhi ya wanaume wana hizo tabia ...Ki ukweli inakera saana... !

Akuite nani ili ufarijike?
sa mwanaume atamwitaje mwanamke mume wangu?!
Hiyo sio kwa wanawake peke yao...Wapo pia baadhi ya wanaume wana hizo tabia ...Ki ukweli inakera saana... !
Hahahha
Hayajakukuta kaka???!!!
labda buzi...