limbende
JF-Expert Member
- May 14, 2013
- 1,038
- 621
Anajibebisha mwenyewe hata hujamwita bebi!
duuh! nimechekaje hiyo sentensi
Anajibebisha mwenyewe hata hujamwita bebi!
Madem wa kiswahili bwana,yaani uhusiano wiki mbili tu,mara twende nkakuoneshe mama,mara kila baada ya dakika kumi simu hata haelewi hata kama uko kazini,hilo la kuniita mume ndio limenikera zaidi na kuamua kuchukua hatua kali za kinidhamu.
sa mwanaume atamwitaje mwanamke mume wangu?!
Ahahahahaha....
I love jf
duuh! nimechekaje hiyo sentensi
Hapo mshafanya na tendo la ndoa ulitaka uitwe nani?
We mshamba kwel mie nna mpnz wangu tena mume wa m2 baada ya kumonjesha kutwa kucha umekula mke Wang!? Unafanyaje mke wangu,??Hahahahahahahah rahaaaaaaaajeeee
Umejuaje kama mimi ni kaka?

changamotoMadem wa kiswahili bwana,yaani uhusiano wiki mbili tu,mara twende nkakuoneshe mama,mara kila baada ya dakika kumi simu hata haelewi hata kama uko kazini,hilo la kuniita mume ndio limenikera zaidi na kuamua kuchukua hatua kali za kinidhamu.