Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,979
- 127,438
huyo unayemuita wa kiswahili si umempata uswahilini kwao? ungetaka wa kizungu ungefunga safari uwafuate huko kwenye nchi zao....
na kwanza unaumia wapi kuitwa mume?
wakati mnaanza ulimwambia kuwa lengo lako ni kupita njia tu?
na kama hupendi umeshamwambia?
mmmh dunia ina mambo
My daughter nimekumisije...?? Hivi unaona raha gani kukaa siku zote hizi bila kumjulia hali mama yako?