OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
Hujajibu swali
Yaani sasa mkuu kweli kabisa unataka kukomaa kuwa nimejuaje wewe ni ke au me!!!!????????
Angalia mijadala ambayo tumekurtana na mambo tuliyojadili......kama kweli wewe ni mwanamke basi ni jike la shoka!!!!!!!!!
Nakukumbusha mmoja ni JKT na JWTZ......................