mjepo
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 4,913
- 919
Ujue nyie wakenya wajinga sana mnakurupuka hata hoja huna unataka kuzungumzia nini sasa.Siyo Kweli, Sisi Watanzania Ndio Tumenyea. Zanzibar Wameandamana Kuhusu safari za KQ. Wafanyabiashara Pia Wamepinga safari za KQ kupunguzwa.
Hatukuwa na Ubavu wa Kupunguza Safari za KQ wakati hatuna mbadala (alternatives). Ni Kichekesho Kujifanya kidume eti tu kwa Sababu Kenya Wamegoma Kutuazimisha BVR-Kit kwa ajili ya Kuandikisha wapiga Kura.