Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,120
100% Mkuu tupo pamoja na imara !! TAIFA linahitaji Great thinkers na sote lazima tuwe Mabalozi na tuwePatroitic ktk kuuza utalii wetu ndani na nje.!!Uko sahihi, lakini katika jambo kama lile la dharura ambalo lingeweza kutupotezea watalii wengi ilikuwa ni maumivu kwetu. Hivyo kupata pain killer wakati unatafuta dawa sahihi ya kutibu ugonjwa wenyewe ni jambo sahihi. Na hapa dawa ya kupunguza maumivu ilikuwa kuhamisha maumivu hayo kwenda kwa aliyeyaleta.
Nakubaliana nawe kuwa sasa ni wajibu wa serikali kutafuta suluhisho la kudumu kabisa maana biashara ya utalii ni endelevu.