MATHIAS KABYEMERA
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 1,793
- 573
Nina maoni kadhaa juuya hili; ]
- Tujitahidi kuimarisha shirika la ndege la ATCL. Tumefikia hatua ya kuwabembeleza kwasababu tunahofia kupoteza watalii hasa upanda wa Zanzibar kwasababu ndege zinazotua Zanzibar kwa takribani 80% ni KQ. Kama na sisi tungekuwa na shirika lililo imara tungekomaa mpaka wakatupigia magoti.
- wamekataa FASTJET isitue JKIA kwa sababu wanaogopa ushindani. Si utani ni ghali sana kusafiri kwa ndege kwenda Kenya kuliko kwenda sehemu nyingine ya Afrika ni UDS 700. Sasa kama wamekataa fastjet ambayo makao makuu yapo tanzania hata kama ni ya Uingereza basi tusilegeze sana.
- Makubaliano haya yasihusishe kufungua gates za Serengeti na Maasai Mara
- Mwisho kabisa, makubaliano haya yaandikwe kwa umakini maana wenzetu ni mabingwa wa kutumia mianya. Tukizembea katika kuandika watatubana tena.
