Uhuru, Kikwete agree to defuse tourism dispute

Uhuru, Kikwete agree to defuse tourism dispute

Kubalini tu kuwa tz tumewachomoa kwa utalii hata mkaleta ndege zenu mara kumi kwa siku inayofaidi ni tz utalii wetu upo sawa kenya tourism is on its knees pwiii
 
nyie watz mnataka kuvuna ambapo hamkupanda? mbona twiga hamkuja kuwasafirishia Kenya?? hyo mnayoiita mwalim nyerere airport n kama kibanda cha kuku..mtalii gan aje uko?? msipende mtelemko jipangen
 
Wewe ugali asubuhi mchana jioni akili ya kutusumbua sisi wataitoa wapi,kweli nimeamini mtu akila kwako kila hana ujanja yaani mahindi ya sima tuwape sisi alafu mtupangie sheriaa alaaaa
 
iko nini?!,mbona UK ana hepa macho ku m-face JK kwa uso?!!.
attachment.php

Hiyo ni dalili ya mtu mnafiki. yeye na wenzie kuanzisha kamuungano kao ndani ya EAC na hii ya utalii hayo yanamfanya ashindwe kumuangalia usoni JK
 
Hahahaha uhuru alimshow ata amua kuingia na achukue 350kms in towards tz from Kenya border akasema pole!! N that ana regret vijitoto zake vichawi vya Dar vilivyo amua akasema hata issues ya tour vans amedrop akaambiwa uhuru pole na kubeg kenya isi invade kama ilivyo fanya jana na leo asubuhi pale Somalia akasema wacha KQ iendelee Hahaha coward Wachawi of the south
Does KQ fly in Tz?
Yes.
Are Tanzanian tour operators allowed to pick at airports in kenya?
NO A BIG NO


AND THAT IS WHY KENTA WILL ALWAYS SIT ON OUR ASSES TZ HAHAHAHA

Wewe acha kuwaibisha wakenya wenzako:majani7:
 
ImageUploadedByJamiiForums1427059476.664925.jpgthey took my $20 for only one day + insurance, its ok then as we better contribute for infrastructure but find the good way for that, we can put road toll control system,
 
Hasira nyingi ya nini? Dont hate the player hate the game. Ni biashara tuu, mimi nikipatana na Mtanzania nitamsaidia. Siweki chuki milele, wala fitina ndogo ndogo haziniwazi kwa muda mrefu.

Move on.
 
Stop this NASTY OF U...!!!

Who are fixing here...!!? kidding...!? TISS...!"? wtf..!!

Nothing like UNDERCOVER FOR AN OPEN ISSUE LIKE THIS.....BRAVO TCAA....NOT TISS..!!

Keep lying urself and those of ur standard of IQ...!!!

PUREST FORM OF FALSIFYING THE TRUTH....!!!

Imagine.....TISS.....lmao...!!!



They operate undercover not everyone can see this....you need an Inner third eye to see this...Only Naked eyes will say that thought of you.
 
Samwel Sita hafai kuwa raisi...tutagombana mpk na Vatican... Ni mbovu ki diplomacy na hata juu mgogoro umeanza akiwa wizara ya Africa Mashariki na alishindwa tatua...big up Mwakiembe.... Wish ungekuwa foreign Affairs instead of Membe
 
Mimi niko Informed and I know a lot about the dispute... Haiwezekani na ni aibu Kwenda Kuazima BVR-kits.

Wewe ni mtanzania kweli mbona unaonekana wa kuja! Nyamaza hujui kitu muulize Uhuru alivyochanganyikiwa baada ya KQ kupunguziwa ndege zake, nafikiri Uhuru anaweza kukuzaba vibao
 
Siyo Kweli, Sisi Watanzania Ndio Tumenyea. Zanzibar Wameandamana Kuhusu safari za KQ. Wafanyabiashara Pia Wamepinga safari za KQ kupunguzwa.

Hatukuwa na Ubavu wa Kupunguza Safari za KQ wakati hatuna mbadala (alternatives). Ni Kichekesho Kujifanya kidume eti tu kwa Sababu Kenya Wamegoma Kutuazimisha BVR-Kit kwa ajili ya Kuandikisha wapiga Kura.
hajasalimu amri, amefanya executive decision
 
nyie watz mnataka kuvuna ambapo hamkupanda? mbona twiga hamkuja kuwasafirishia Kenya?? hyo mnayoiita mwalim nyerere airport n kama kibanda cha kuku..mtalii gan aje uko?? msipende mtelemko jipangen

Kibanda cha kuku? Mbona tumewakatalia mpunguze ndege zenu zisitue kwenye kibanda cha kuku mkajinyeanyea mpaka raisi wenu kachanganyikiwa, mshukuru Kikwete mtu wa watu angekuwa Kagame mngekufa na njaa mngekosa hata pesa ya kununulia chakula Tanzania, halafu Uhuru akikusikia unaiita airport ya Tanzania banda la kuku atakufunga, kwani unamdharirisha Uhuru kwa juhudi zake za kuukomboa uchumi wa Kenya, mwenzako hakulala.
 
Bogus people how many of those passenger heading to Tanzania are actually Kenyans? and if the majority are from the west why should they enter Tanzania from Kenya?
 
Back
Top Bottom