Uhuru, Kikwete agree to defuse tourism dispute

Uhuru, Kikwete agree to defuse tourism dispute

Nop....TISS...!?

Stop giving TISS empty credits...!!!

Myopic senses of urs lied u...!!!


TCAA and Sitta are the ones to be accredited for good job..!! Not TISS @ all....know the INNER TRUTH...!!!

They operate undercover not everyone can see this....you need an Inner third eye to see this...Only Naked eyes will say that thought of you.
 
kama jambo hujui afadhal ukae kimya, hata source ya mgogoro hujui, tz tulikuwa tunademand magar yetu ya kubeba watalii yaweze kuacces viwanja vya ndege vya kenya, na wamekubali.

Mimi niko Informed and I know a lot about the dispute... Haiwezekani na ni aibu Kwenda Kuazima BVR-kits.
 
Very good point since even KQ is owned by KLM by significant percentage. These people are a class case of hypocrites. and JK is just taking them for a ride.
On very shameful point they removed British guilty on colonization, depression, humiliation, and exploitation of their elders when they sent British colonial government into court and British had paid the compensation of their brutal torture on the Kenyan elders so by now British government has nor guilty about all shameful acts on Kenya during colonialism.

This is what Kenyans call intellectual?
Some times Kenya seems to think they know too much but in reality they are the best empty-headed of all times.
 
nani analiwa hapo? yaani badala ya kupambana hiyo biashara tuifanye wenyewe kwenye viwanja vyetu tuna kubali kuliwa mara mbili mbili yaani magari yetu yakiingia yanalipa ushuru mbalimbali hapo air port wageni nao walikilipa kwenye mamlaka za kenya wakati huo huo shirika waki direct magari ya wakenya kwanza huku sisi tukipewa third priority! hii nchi ina viongozi ------- sana

Ndiyo muwasilishe malalamiko yenu haraka -Serikalini kupitia Nyalandu/Sita

Suala hili la kurudisha flight hadi 42 kama awali haijakaa sawa labda iwe issue ya muda!


 
Wakenya tumewagusa kidogo tu wamebinuka wanadhani sisi hatuna pakushika bahati yao wangeendeleza ujinga tulikuwa tunakwenda kupiga marufuku bank zote za kenya hapa nchini halafu tungeangalia upande mwingine.
 
Issue ilikua ni Kenya kuinyima Fast Jet routes kenya na huku mikataba ya EAC inaruhusu kampuni kusajiliwa tanzania na ku fly eac,ndege za kenya nyingi sana za utalii zina operate hapa tanzania ila za kwetu hawataki zi operate huko kenya!!!issue ya magari imekuja tuu ku divert source ya tanzania kupunguza route za kenya.Tatizo bado lipo pale pale
 
Jamani acheni kenya inyooshe mikono,hapa TZ ilikuwa inaanza kuwakaribisha wapinzani kq.kenya ingeumia zaidi.
 
Mkenya hana time ya kubembeleza mnafki na mvivu kama mtz asiyetaka kutumia akili kujiendeleza bali kulalamika na njia mkato. sheria zenu munazounda zitawatenga zaidi na nchi jirani, mukifukuza wakenya, rwanda, ugandans, malawi kutoka kwa nchi zenu unadhani hizi nchi hazitalipiza.. CoW itafanya mikutano ya pamoja na kufurusha watanzania wote toka nchi zao hii itawaumiza sana hasa kiuchumi..GoT inatakiwa kufikiri kabla ya kutoa tamshi au jambo, nyinyi hamna rafiki ni uadui munautafuta kwa wingi
usitutishe pimbi wewe, mbona kuzuia ndege zenu ime workout?
 
JK ni rais dhoofu ambaye analengwa na kuongozwa na akili zilizopitwa na wakati. Si alipokelewa na diwani alipokwenda Kenya, je maslahi ya Watanzania kaweka mbele? This story has not finished yet, The new president need to check economic benefit of Tanzanians before Manyang'au wishes.

acha kulaum kama hujui kaa kimya, demand yetu ilikuwa kuruhusu tubebe watalii uwanja wa jomo kenyata, kama wameruhusu kwann na wao tusiwaruhu kq kuendelea kama kawa?
 
On the sidelines of Namibias president Inauguration

attachment.php




attachment.php


attachment.php

attachment.php


attachment.php

Big Up My President, anamuangalia dogo kwa macho makavu mpaka UK Anaona noma
 
Siyo Kweli, Sisi Watanzania Ndio Tumenyea. Zanzibar Wameandamana Kuhusu safari za KQ. Wafanyabiashara Pia Wamepinga safari za KQ kupunguzwa.

Hatukuwa na Ubavu wa Kupunguza Safari za KQ wakati hatuna mbadala (alternatives). Ni Kichekesho Kujifanya kidume eti tu kwa Sababu Kenya Wamegoma Kutuazimisha BVR-Kit kwa ajili ya Kuandikisha wapiga Kura.

Huwa unawaza kwa kutumia kiungo gani ktk mwili wako?
 
Uhuru anajali zaidi maslahi ya nchi yake kuliko hayo mambo ya ushirikiano wa EA,sababu ni muda mrefu hayo mabasi yamezuiwa kuingia JKIA na hata waziri wake wa utalii alileta nyodo/kiburi akisema wao wanafuata sheria za nchi yao kuhusu mambo ya utalii,hata Nyalandu alijitahidi sana kutafuta ufumbuzi lakini walimbeza.
Kenya ilijisahau sana ikidhani Tanzania ndio yenye uhitaji sana katika hilo suala,sasa baada ya KQ kupunguziwa safari na kukosa mamilioni ndio Uhuru kaja mbio mbio kutaka suluhu,ningekuwa mimi ndio Kikwete nisingekubali ,ningesema waendelee na uamuzi wao wa awali na sisi tuendelee na maamuzi yetu,pia ningewaambia nao wafungue njia kwa ajili ya mashirika ya ndege kama FastJet/ATC iii kuleta ushindani.Nina hakika bila KQ kupunguziwa route huo muafaka usingekuwepo .
 
I think Tanzanians should be very proud of Fast jet,instead of talking ill about it.I know it is 100% foreign owned,but this doesn't erase the fact that it operates from within our territory and uses Dar as its main hub to fly to other international destinations.Tanzanians should,this time and age,understand that it is not a must for the government to own an airline,instead the private sector can take on that responsibility. A good example to this is air Uganda,which before it was shut down,the airline was the agha khan franchise,but carried a Ugandan name on it.To me,fastjet is my national carrier because for it through it Tanzanians can be able to fly to local destinations cheaply and confontably.As a concerned Tanzanian,I think Kenya got the better deal between the two,after maintaining a hardline stance on Fastjet to operate in Kenya.We have lost on this!!
 
I think we shouldn't be doing this Kenyans in JF.
kikwete did not see the wiseness in banning KQ.
uhuru should also not see the wiseness of banning vehicles from jkia in return.





we shouldn't just create too much hatred btn us Kenyans and tzs in JF

Kwa Mara ya kwanza... naona roho ya Ubinadamu katika nafsi yako.....
 
Mkenya hana time ya kubembeleza mnafki na mvivu kama mtz asiyetaka kutumia akili kujiendeleza bali kulalamika na njia mkato. sheria zenu munazounda zitawatenga zaidi na nchi jirani, mukifukuza wakenya, rwanda, ugandans, malawi kutoka kwa nchi zenu unadhani hizi nchi hazitalipiza.. CoW itafanya mikutano ya pamoja na kufurusha watanzania wote toka nchi zao hii itawaumiza sana hasa kiuchumi..GoT inatakiwa kufikiri kabla ya kutoa tamshi au jambo, nyinyi hamna rafiki ni uadui munautafuta kwa wingi
Nyang'au mwenzio ameufyata amesharuhusu gari za TZ ziingie JK Airport.endeleeni na hiyo cow tuacheni na uvivu wetu.tumebinya kende kidogo tu mnaomba suluhu...next time muwe na adabu
 
On the sidelines of Namibias president Inauguration

attachment.php




attachment.php


attachment.php

attachment.php


attachment.php
Big up Mr.President Kikwete!you can choose a wife to be,friend but not neighbour!small diferences with a neighbour needs to be iron out of coz by wisdom on win and win situation!again big up my president for the matured wisdom������
 
Back
Top Bottom