Guus
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 1,167
- 907
Hahahaaaa... unaona haya hadi umeamua kujibadili uraia na kuwa Mtanzania!
Issue ilikua ni Kenya kuinyima Fast Jet routes kenya na huku mikataba ya EAC inaruhusu kampuni kusajiliwa tanzania na ku fly eac,ndege za kenya nyingi sana za utalii zina operate hapa tanzania ila za kwetu hawataki zi operate huko kenya!!!issue ya magari imekuja tuu ku divert source ya tanzania kupunguza route za kenya.Tatizo bado lipo pale pale