Uhuru, Kikwete agree to defuse tourism dispute

Uhuru, Kikwete agree to defuse tourism dispute

Baada ya kushikwa kwenye nyeti zao wakahisi kutekenywa ikawabidi kuachia. Wakenya wanatufanya sisi mazuzu.

Imekula kwao waache tena kutudharau.
 
Watanzania huwa hawakurupuki.
Nyalandu kawabembeleza sana lakini hawakusikia hatimaye tukachukua hatua.
 
Makelele ya waliokaa nyuma ya tarakilishi wasioelewa kitu hayazuii ukweli kujitokeza. Some people here think laws are made to please them. Where are Geza Ulole, Kadoda, Bulldog and the idiocy crew?

Hebu pata novida baridi upunguze hiyo mipovu inayokutoka mdomoni!
 
Baada ya Kenya kuyazuia magari ya kutoka Tanzania kuchukua watalii Jomo kenyatta Airport, Serikali ya Tanzania pia iliamua kupunguza ndege za kenya KQ kutoka trip 42 hadi kufikia 14 kwa wiki.

Lakini leo makubaliano yamefanyika kati ya Rais wa Kenya na rais wa Tanzania na kutoa tamko la pamoja la kuruhusu magari ya Tanzania kuingia Jomo Kenyatta Airport rasmi kuanzia leo saa 10 jioni na ndege za kenya KQ zimerudishiwa trip zao kama kawaida na kurudi 42 kwa wiki kama ilivyo kuwa zamani...
Tamko hilo limetolewa na Waziri wa mambo ya nchi za nje Benard Membe aliyekua ameongozana na Kikwete na sasa hakuna mgogoro tena.

Chanzo: ITV

My take: Serikali ya Tanzania inatakiwa isiyumbishwe na kutishiwa kusitisha vitu vya Tanzania na sisi tukaacha tuu..nadhani mnaona wakenya baada ya kupunguza safari zao za ndege kuja Tanzania wamefuata mkia wenyewe...
 
nani analiwa hapo? yaani badala ya kupambana hiyo biashara tuifanye wenyewe kwenye viwanja vyetu tuna kubali kuliwa mara mbili mbili yaani magari yetu yakiingia yanalipa ushuru mbalimbali hapo air port wageni nao walikilipa kwenye mamlaka za kenya wakati huo huo shirika waki direct magari ya wakenya kwanza huku sisi tukipewa third priority! hii nchi ina viongozi ------- sana
 
Siyo Kweli, Sisi Watanzania Ndio Tumenyea. Zanzibar Wameandamana Kuhusu safari za KQ. Wafanyabiashara Pia Wamepinga safari za KQ kupunguzwa.

Hatukuwa na Ubavu wa Kupunguza Safari za KQ wakati hatuna mbadala (alternatives). Ni Kichekesho Kujifanya kidume eti tu kwa Sababu Kenya Wamegoma Kutuazimisha BVR-Kit kwa ajili ya Kuandikisha wapiga Kura.
 
Watanzania huwa hawakurupuki.
Nyalandu kawabembeleza sana lakini hawakusikia hatimaye tukachukua hatua.

That is very true kwa hili tuwape pongezi TISS na serikali kwa kutumia akili zaidi. Nigeshangaa kama KQ wangeruhusiwa kurudisha ndege zao pasipo tours wetu kuruhusiwa. Once again we won..
 
Hawa jamaa wana akili fupi. Kazi ni kuburuzwa na Rwanda. Dawa ni hii tu: ukimwaga mboga, tunamwaga ugali.

Hata hivyo Tanzania tumekuwa wavumilivu kwa kipindi kirefu. Hii ni kutokana na Diplomacy yetu iliyokomaa. Pia hawa jamaa ni juzi tu walikuwa wanatengana kwa makabila yao mpaka kufikia hatua ya kuuana. Wamesahau kuwa ni Tanzania ndio ilienda kuokoa jahazi lao lililotoboka...
 
Huu uwivu ndio unawasumbua,kwani kinachowakera hasa ni nini Kenya inapopata faida si tunazidi kuendelea na nyinyi munabaki nyuma, Kenya itawatawala mupende musipende. The truth will set you free $ give your heart peace,hamutuwezi

Huna kitu kichwani wewe hebu kalale kule, wakati uchumi wenu uko mikononi mwa Tanzania, au tungefuta ndege zote ndio ungejua, muulize Rais wako alivyooga haraka haraka na pombe kichwani kuwahi kikao na Kikwete kuiokoa Kenya, au ulitaka Kenyata afe kwa Stress matatizo kibao njaa, ukame, Al shabib.
Hujui Raisi wako anavyochanganyikiwa nini, nyambafuu
 
Naamini ni kazi mahiri ya wanausalama wetu yaani TISS kwa kuweza kukusanya taarifa na kuja na mapendekezo.Mapendekezo yaliyopelekea rais Uhuru Kenyata kuamua kuzungumza na rais Jakaya Kikwete ili kupata suluhu ya sekeseke lililoanzishwa na wakenya.

Wiki kadhaa zilizopita tulishuhudia madereva tours kutoka Tanzania wakipata kadhia ya kutoingia JKIA.

Tukashuhudia na maneno ya mbwembwe toka kwa waziri wa utalii wa kenya juu ya msimamo wa kitoto.

Hatimaye watz hawakukurupuka na wakatafuta jibu au retaliation inayotia adabu na kurudisha heshima,hekima na akili.

Sitaki hadithi nyingi ila nitoe pongezi kwa mtanzania aliyechagua pigo dhidi ya KQ kwani ameleta amani na kurudisha mambo katika hali ya kawaida.

Nani kakwambia ni kazi ya TISS?
 

That is very true kwa hili tuwape pongezi TISS na serikali kwa kutumia akili zaidi. Nigeshangaa kama KQ wangeruhusiwa kurudisha ndege zao pasipo tours wetu kuruhusiwa. Once again we won..

Gazeti linaendelea kula ban kama kawa kama dawa!
 
ila uhuru anaonekana anakula sana ganja, angalieni hiyo sura yake kama unajua mla ndumu basi mtakubaliana na mimi.

Hivi hujui bila hiyo kitu atachanganyikiwa nchi yake kuongoza si mchezo kila siku anafikiria kumaintain uchumi wao kupitia majirani.

Hapo ukame, ukabila bado magaidi full stress ndio maana pombe na bangi mtu ndio atalala.
 
Back
Top Bottom