Uhuru, Kikwete agree to defuse tourism dispute

Uhuru, Kikwete agree to defuse tourism dispute

source for this pls :Tanzanian president has ordered Tanzania's civil authority to allow Kenya Airways to resume its full schedule to Tanzania immediately.
 
Hahahaha uhuru alimshow ata amua kuingia na achukue 350kms in towards tz from Kenya border akasema pole!! N that ana regret vijitoto zake vichawi vya Dar vilivyo amua akasema hata issues ya tour vans amedrop akaambiwa uhuru pole na kubeg kenya isi invade kama ilivyo fanya jana na leo asubuhi pale Somalia akasema wacha KQ iendelee Hahaha coward Wachawi of the south
Does KQ fly in Tz?
Yes.
Are Tanzanian tour operators allowed to pick at airports in kenya?
NO A BIG NO

AND THAT IS WHY KENTA WILL ALWAYS SIT ON OUR ASSES TZ HAHAHAHA
 
Kwa hiyo Kikwete anaingilia kazi za watu hapo Tanzania's civil authority? Je kuna mtu anawezakuyaingilia madaraka yake? Kikwete sio wakuaminika kama kasema hivyo basi inawezekana alikuwa anafurahisha baraza.

Onyo kwa wakenya wasio mjua huku Prof wetu feki, Kikwete ni mtu wa visasi
 
10906585_1033474996681053_5969082398518500147_n.jpg

Developing story: After meeting at the sidelines of the inauguration of the new president of Namibia, the official Kenyan statehouse spokesman has announced that the Tanzanian president has ordered Tanzania's civil authority to allow Kenya Airways to resume its full schedule to Tanzania immediately.

While expressing his desire to solve the issue amicably, the Tanzanian president indicated that the reduction of flights had greatly restricted travel to Tanzania and that the economic ramifications were going to be felt by all the parties involved.

This comes after the Zanzibar tourism association read Dar es Salaam the riot act over the limitation of Kenya Airways flight to the island. Kenya Airways is the airline of choice for over 80% of visitors to Zanzibar.

More to come...

Moderator, Invisible, Ab-Titchaz can the office of the President be used for smear campaigns and distortion to satisfy ill motives of the culprit and go unpunished? Just asking since we don't know what next gonna come from this mad man!
 
While expressing his desire to solve the issue
amicably, the Tanzanian president indicated
that the reduction of flights had greatly
restricted travel to Tanzania and that the
economic ramifications were going to be felt
by all the parties involved.

Hahahaha ha Wachawi Inaitwa embarrassing moments zenu mnaanza war hamta wezana Hahaha
 
source for this pls :Tanzanian president has ordered Tanzania's civil authority to allow Kenya Airways to resume its full schedule to Tanzania immediately.

You forgot to report that our tour opearators cars will enter your airports freely, who has conceded?
 
Kikwete ameondoka Namibia jana na hayo mazungumzo wameyazungumza lini? na Ikulu Propaganda mbona ipo kimya?
 
I think we shouldn't be doing this Kenyans in JF.
kikwete did not see the wiseness in banning KQ.
uhuru should also not see the wiseness of banning vehicles from jkia in return.

we shouldn't just create too much hatred btn us Kenyans and tzs in JF
 
Hahahaha uhuru alimshow ata amua kuingia na achukue 350kms in towards tz from Kenya border akasema pole!! N that ana regret vijitoto zake vichawi vya Dar vilivyo amua akasema hata issues ya tour vans amedrop akaambiwa uhuru pole na kubeg kenya isi invade kama ilivyo fanya jana na leo asubuhi pale Somalia akasema wacha KQ iendelee Hahaha coward Wachawi of the south
Does KQ fly in Tz?
Yes.
Are Tanzanian tour operators allowed to pick at airports in kenya?
NO A BIG NO

AND THAT IS WHY KENTA WILL ALWAYS SIT ON OUR ASSES TZ HAHAHAHA
haya ndio matatizo ya kusoma mashinani,hata hueleweki.rudi shule kijana ukajifunze kuandika.
 
Makelele ya waliokaa nyuma ya tarakilishi wasioelewa kitu hayazuii ukweli kujitokeza. Some people here think laws are made to please them. Where are Geza Ulole, Kadoda, Bulldog and the idiocy crew?
 
Mchawi hana mengi, kajiwangia mwenyewe...leo nitabaki kucheka umburura, ujura, ubwege, unafki, uchawi wa ndugu zetu wa toka nitoke, KQ endeleeni kutengeza faida mwanga kajiwanga mwenyewe
 
Kwa hiyo Kikwete anaingilia kazi za watu hapo Tanzania's civil authority? Je kuna mtu anawezakuyaingilia madaraka yake? Kikwete sio wakuaminika kama kasema hivyo basi inawezekana alikuwa anafurahisha baraza.

Onyo kwa wakenya wasio mjua huku Prof wetu feki, Kikwete ni mtu wa visasi

Mkiendelea na maneno Za Aina Haya ..tutamuambia Ban iendelee ...
 
If Kikwete did this he is the highest level hypocrite because the issue of tour vans is not solved.
 
Back
Top Bottom