unanitaka
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 2,178
- 1,047
mbona nyinyi mnaongoza kwa kuwa na maraisi wenye sura mbaya na za kutisha sisi hatusemi?!!.
haya pokea zawadi yako hiyo kamuonyeshe mkeo.
View attachment 236733
Hahahahahaha
mbona nyinyi mnaongoza kwa kuwa na maraisi wenye sura mbaya na za kutisha sisi hatusemi?!!.
haya pokea zawadi yako hiyo kamuonyeshe mkeo.
View attachment 236733
Unaandika husichokielewa. Tanzania imeshaondokana na hiyo sera ya majority ownership kitambao. Sheria zetu zinaruhusu (na ni kwa mujibu wa kanuni za kimataifa chini ya ICAO) kudesignate shirika la ndege la nchi ambalo principal place of business ni Tanzania na limesajiliwa na kusimamiwa kwa sheria za Tanzania. Kenya wanafanya hivyo kuilinda KQ ambayo kwa ujumla inawanyonya abiria wa Africa mashariki kwa kukosa ushindani na kuwatoza gharama zisizo za haki. Hivi kwa nini waliruhusu shirika la ndege la uganda wakati linamilikiwa kwa asilimia 100 na mtu wa nje? Ni nini hofu yao ya fast jet?
Jibu hoja, huyo Lowassa angechukulia Kenya hatua gani ikiwa nchi yenyewe tayari ina ushawishi mkubwa zaidi wa kibiashara?Super power kwenye kifamilia chako.
Mkenya hana time ya kubembeleza mnafki na mvivu kama mtz asiyetaka kutumia akili kujiendeleza bali kulalamika na njia mkato. sheria zenu munazounda zitawatenga zaidi na nchi jirani, mukifukuza wakenya, rwanda, ugandans, malawi kutoka kwa nchi zenu unadhani hizi nchi hazitalipiza.. CoW itafanya mikutano ya pamoja na kufurusha watanzania wote toka nchi zao hii itawaumiza sana hasa kiuchumi..GoT inatakiwa kufikiri kabla ya kutoa tamshi au jambo, nyinyi hamna rafiki ni uadui munautafuta kwa wingi
Lazima tuwabembeleze tumeua air Tanzania so unategemea wzungu utawaleta kutoka ulaya na basis acha tuendelee kupiga siasa majitaka wenzetu wapige kazi viva jk potelea mbali "better something than nothing"
Kenya tunajua mna uchumi mzuri, mmetutangulia kimaendeleo, ila mna tatizo moja la kujiona kuwa nyie ndio kila kitu na wengine wote hawana thamani. Mnasahau kuwa kwa nchi kama TZ inashikilia sehemu muhimu sana ya uchumi wenu. Dharau zenu ni mbaya sana ndio maana "sometimes we need to fight back to prove that we are men"!. Kukomoana sio kitu kizuri kwa EA coz end of the day wote tutakuwa wajinga. Cha msingi ni kuwa mtake msitake sisi TZ ni jirani/ndugu zenu wa damu na mtuheshimu kama nasi tunavyowaheshimu. Siasa zenu za kibepari za kumthamini mwenye nacho ndio zinawafanya muidharau sana TZ. Tulieni mjifunze kuishi na watu tuijenge EA. Mambo hayo muwafanyie wengine watakaowalilieni njaa sio TZ. Big Up to GOT.
Looks like i am the only one who is not celebrating, i wanted KQ to exit Tanzania airspace and concentrate on other markets; they can always do without that 5%
Te teh tehAngefanya nini yeye?
Kenya ni regional super power sisahau... :eyebrows:
Tanzania got what she wanted - Access to JKIA. The rest is bullshit!!
Mkenya hana time ya kubembeleza mnafki na mvivu kama mtz asiyetaka kutumia akili kujiendeleza bali kulalamika na njia mkato. sheria zenu munazounda zitawatenga zaidi na nchi jirani, mukifukuza wakenya, rwanda, ugandans, malawi kutoka kwa nchi zenu unadhani hizi nchi hazitalipiza.. CoW itafanya mikutano ya pamoja na kufurusha watanzania wote toka nchi zao hii itawaumiza sana hasa kiuchumi..GoT inatakiwa kufikiri kabla ya kutoa tamshi au jambo, nyinyi hamna rafiki ni uadui munautafuta kwa wingi
Kuna sehemu yoyote ya maandishi yangu nimetaja Rwanda Air? Air Uganda ili operate route ya Nairobi na mombasa ingawa haikuwa majority owned by Ugandans! Hakuna sheria ya BASA iliyotofauti katika EAC. Na kwa taarifa yako ni kenya wanaokwamisha kufanyasoko la usafiri wa anga kuaa domestic kwa airlines zilizosajiliwa na kusimamiwa kwa mujibu wa sheria zetu za africa mashariki.Read my post carefully, the process of majority ownership is already ongoing. Respond perspectively and factually don't be a prig
On the issue of RwandanAir which you allude to mind that Rwanda is an EAC country and hence BASA rules allow for issue Fifth Freedom Flight right since local majority ownership is catered for in Rwanda and Uganda has no major locally owned Airline
Tanzania mbona mmelaaniwa na ufupi hivo? Rais wenu wote wafupi