Uhuru, Kikwete agree to defuse tourism dispute

Uhuru, Kikwete agree to defuse tourism dispute

Mkenya hana time ya kubembeleza mnafki na mvivu kama mtz asiyetaka kutumia akili kujiendeleza bali kulalamika na njia mkato. sheria zenu munazounda zitawatenga zaidi na nchi jirani, mukifukuza wakenya, rwanda, ugandans, malawi kutoka kwa nchi zenu unadhani hizi nchi hazitalipiza.. CoW itafanya mikutano ya pamoja na kufurusha watanzania wote toka nchi zao hii itawaumiza sana hasa kiuchumi..GoT inatakiwa kufikiri kabla ya kutoa tamshi au jambo, nyinyi hamna rafiki ni uadui munautafuta kwa wingi

Afadhali umekuja huku ni jukwaa la hoja.
1.mtz mvivu ktk nini ?kwani tz inajengwa na wakenya mpaka useme mtz mvivu?au una attack tu kama mnyama wa porini?
2.nchi yoyote ina sheria zake juu ya wageni hata ulaya.hata kenya nk,iweje wewe unailaumu tz?unataka mkenya awe free kwani tz ni kwake?
3.Tz inaweza kuishi bila chochote kutoka huko kwenu,kwasababu sisi tuna export raw materials zaidi wakati kenya ina export products.what if tukiamua kusindika wenyewe?tutaumia nini wakati tunaweza kuuza sadc?
4.sisi hatuna rafiki wewe?umefikiria vzuri au unaongea bila utafiti?
5.kenya inafanya mambo kwa kushinikizwa na Rwanda,sasa nyie kati ya rwanda na tz mnamuhitaji nani zaidi kiuchumi?mtaweza kupeleka route 42 za kq rwanda mtapata faida?nyie ndo mfikirie COW inawapoteza bila tz.
jibu kwa hoja.
 
Jamaa wanafurahia kuingia ndege zao kwa sasa, tuko kwenye uchaguzi now, ukishapita mtatujua. Kwanza terminal yetu mamba 3 itakuwa imekamilika, pili tutakuwa na ndege mungu baliki zitakuwa zishaingia zikiwa na yuke twiga wetu ambaye tumemmis sana, ishu ya first jet bado tunaifanyia kazi, mumshukuru kikwete kwa huruma yake.
 
Maana alshabab kashaweka watu zaidi ya 30,000 nje ya kazi, na hili la ndege je si ingekuwa kiama huko kenya. Muwe na akili nyinyi watu, mtanzania wa leo sio wa jana
 
JK kwa hili ameonyesha udhaifu wa hali ya juu... Nani asiejua kuwa loser angekuwa Kenya? Jeuri ya Wakenya itaongezeka sana... ona walivyoripoti hili tukio!!! ... ATC iko ICU ... Ujangili Unashamiri, Tunapigwa bit kila kona!! ... CCM must go!!! Hakuna namna..
On the sidelines of Namibias president Inauguration

attachment.php




attachment.php


attachment.php

attachment.php


attachment.php
 
Unfortunately you president has other ideas. I still think it seems Kenya couldn't afford to lose the flights, measured by the outcry from each and every Kenya Propaganda mouth in the past few days.

This shows how little Kenya cares for fair trade,begging for their Airline while banning other Airlines. I can imagine the body language when a Kenyan PR machine explains themselves about not granting landing license to another foreign airline now.

Last time i checked Rwandair was flying here, Uganda is still allowed but their carrier buckled due to stiff competition and ATCL would be allowed any time they apply. Bringing a British owned airline through the back door will not cut it; start by calling it your national airline.
 
This is never enough, access to JKA is not our needful desire we want to be fully independent in all aspects especially on the prominent channels of our economics we can't relying on Kenyans just for having airliners while even us we have big opportunity to own them why Tanzania failed to fly our own flights?????

We need durable solution.
 
Huyu jamaa ni muongeaji sana Kikwete) haishiwi maneno picha zote anaonekana ni yeye tu anayeongea Uhuru msikilizaji tu

BACK TANGANYIKA
 
Hatimaye serikali ya Kenya imeondoa marufuku iliyowekwa kwa magari ya kubeba watalii kutoka Tanzania kuingia Jomo Kenyata I.Airport.

Kwa mujibu wa taarifa ya habari ya saa 1 jioni ya EBRU AFRICA Tv. Aidha, waziri wa mambo ya nje ya Kenya, safari za ndege za KQ ambazo zilipunguzwa kuja viwanja wa JNIA kwa % 60 zimerejeshwa tena.

Hatua hiyo imefikiwa baada ya rais JK na U K kukutana huko Namibia. aidha, mazungumzo zaidi kufanyika wiki ijayo DSM.
 
marais jk na kenyata wakiwa namibia wamekubaliana magari ya tz kubeba watalii nairobi, na kq yaruhusiwa kurejesha route zake kama mwanzo. that's good and fair!!. tujenge EA kwa pamoja, tuache ubinafsi.
 
Kenya depriving Fastjet rights on their sky by the reason they are British company but have forgotten all their fertile lands owned by British until forever.
 
Last time i checked Rwandair was flying here, Uganda is still allowed but their carrier buckled due to stiff competition and ATCL would be allowed any time they apply. Bringing a British owned airline through the back door will not cut it; start by calling it your national airline.

Fastjet is not TZ national Airline, Fastjet Tanzania is just an airline with majority ownership by Tanzanians. Apparently Tanzanians are better at Fair trade than Kenya, since Fastjet has been allowed in TZ without Prejudice regardless of Air Tanzania.

Denying Fastjet Landing rights is a very anti fair trade tactic from a nation that claims to be good in business, so far i only see good in bullying and protectionism.

It's time you get to taste the bitter pill.
 
Naamini ni kazi mahiri ya wanausalama wetu yaani TISS kwa kuweza kukusanya taarifa na kuja na mapendekezo.Mapendekezo yaliyopelekea rais Uhuru Kenyata kuamua kuzungumza na rais Jakaya Kikwete ili kupata suluhu ya sekeseke lililoanzishwa na wakenya.

Wiki kadhaa zilizopita tulishuhudia madereva tours kutoka Tanzania wakipata kadhia ya kutoingia JKIA.

Tukashuhudia na maneno ya mbwembwe toka kwa waziri wa utalii wa kenya juu ya msimamo wa kitoto.

Hatimaye watz hawakukurupuka na wakatafuta jibu au retaliation inayotia adabu na kurudisha heshima,hekima na akili.

Sitaki hadithi nyingi ila nitoe pongezi kwa mtanzania aliyechagua pigo dhidi ya KQ kwani ameleta amani na kurudisha mambo katika hali ya kawaida.
 
JK ni rais dhoofu ambaye analengwa na kuongozwa na akili zilizopitwa na wakati. Si alipokelewa na diwani alipokwenda Kenya, je maslahi ya Watanzania kaweka mbele? This story has not finished yet, The new president need to check economic benefit of Tanzanians before Manyang'au wishes.
 
Kenya depriving Fastjet rights on their sky by the reason they are British company but have forgotten all their fertile lands owned by British until forever.

Very good point since even KQ is owned by KLM by significant percentage. These people are a class case of hypocrites. and JK is just taking them for a ride.
 
Hatimaye Kenya waondoa zuio la magari ya Tz kuingia Kenya air port.
Chanzo ITv
 
Wakenya hawana uaminifu kabisa. Hawapendi maendeleo ya wenzao, shame to them
 
Back
Top Bottom