Uhuru, Kikwete agree to defuse tourism dispute

Uhuru, Kikwete agree to defuse tourism dispute

Mkenya hana time ya kubembeleza mnafki na mvivu kama mtz asiyetaka kutumia akili kujiendeleza bali kulalamika na njia mkato. sheria zenu munazounda zitawatenga zaidi na nchi jirani, mukifukuza wakenya, rwanda, ugandans, malawi kutoka kwa nchi zenu unadhani hizi nchi hazitalipiza.. CoW itafanya mikutano ya pamoja na kufurusha watanzania wote toka nchi zao hii itawaumiza sana hasa kiuchumi..GoT inatakiwa kufikiri kabla ya kutoa tamshi au jambo, nyinyi hamna rafiki ni uadui munautafuta kwa wingi

Afadhali umekuja huku ni jukwaa la hoja.
1.mtz mvivu ktk nini ?kwani tz inajengwa na wakenya mpaka useme mtz mvivu?au una attack tu kama mnyama wa porini?
2.nchi yoyote ina sheria zake juu ya wageni hata ulaya.hata kenya nk,iweje wewe unailaumu tz?unataka mkenya awe free kwani tz ni kwake?
3.Tz inaweza kuishi bila chochote kutoka huko kwenu,kwasababu sisi tuna export raw materials zaidi wakati kenya ina export products.what if tukiamua kusindika wenyewe?tutaumia nini wakati tunaweza kuuza sadc?
4.sisi hatuna rafiki wewe?umefikiria vzuri au unaongea bila utafiti?
5.kenya inafanya mambo kwa kushinikizwa na Rwanda,sasa nyie kati ya rwanda na tz mnamuhitaji nani zaidi kiuchumi?mtaweza kupeleka route 42 za kq rwanda mtapata faida?nyie ndo mfikirie COW inawapoteza bila tz.
jibu kwa hoja.
 
Hii imenifurahisha saaaana

hawa tumeshawajulia,wakimwaga ugali sisi tunamwaga mboga,hakuna nchi East Africa yenye ubavu wa kutunishiana msuli na Tanzania,wakenya wamebeep wakaisoma sidhani km watakaa warudie huo mchezo tena......poor Kenyans.
 
Lowassa ndo ana-fit vizuri trust me chini ya Lowassa Serengeti road itajengwa na Magadi soda factory itajengwa na kuondoa dominance ya Kenya kwenye glass industry na Bolongoja gate haitafunguliwa! KIA itapanuliwa maana anayajua matatizo ya hawa jamaa kuliko kumbuka alivyoshikilia bango la uwanja wa Taveta Kenya!

Lowassa akiona sehemu kuna deal la hela huwa anafanya, na pale ikitokea watu wakujua kumuhonga mkwanja mrefu kuanzia BILIONI 50, pia vyote hivyo vitafanyika
 
Na FASTJET je???
Hohoho amri haija salimika, fast jet is suffering
 
hawa tumeshawajulia,wakimwaga ugali sisi tunamwaga mboga,hakuna nchi East Africa yenye ubavu wa kutunishiana msuli na Tanzania,wakenya wamebeep wakaisoma sidhani km watakaa warudie huo mchezo tena......poor Kenyans.
Wameufyata. Walikuwa wanatingisha kiberiti kumbe kimejaa.
 
We could have accessed more than that bro.

JKIA, Fast Jet etc
Yes we could have. We got JKIA didn't we? Cos fastjet is a matter of business, KQ bid on ATC's space and got it. Once ATC is back, even under partnership, there'll be more arguments over our airspace.
 
Siyo Kweli, Sisi Watanzania Ndio Tumenyea. Zanzibar Wameandamana Kuhusu safari za KQ. Wafanyabiashara Pia Wamepinga safari za KQ kupunguzwa.

Hatukuwa na Ubavu wa Kupunguza Safari za KQ wakati hatuna mbadala (alternatives). Ni Kichekesho Kujifanya kidume eti tu kwa Sababu Kenya Wamegoma Kutuazimisha BVR-Kit kwa ajili ya Kuandikisha wapiga Kura.

kama jambo hujui afadhal ukae kimya, hata source ya mgogoro hujui, tz tulikuwa tunademand magar yetu ya kubeba watalii yaweze kuacces viwanja vya ndege vya kenya, na wamekubali.
 
Nop....TISS...!?

Stop giving TISS empty credits...!!!

Myopic senses of urs lied u...!!!


TCAA and Sitta are the ones to be accredited for good job..!! Not TISS @ all....know the INNER TRUTH...!!!


That is very true kwa hili tuwape pongezi TISS na serikali kwa kutumia akili zaidi. Nigeshangaa kama KQ wangeruhusiwa kurudisha ndege zao pasipo tours wetu kuruhusiwa. Once again we won..
 
Na FASTJET je???
Hohoho amri haija salimika, fast jet is suffering

demand yetu haikuwa fastjet, tulitaka magari yetu ya kubeba watalii yaingingie uwanja wa ndege wa jomo kenyata, issue ya fastjet ni ya mda sana wala hatukuhangaika nayo, pia haina faida ya moja kwa moja kwa watz but n magar ya watalii, koz watz wanapata kipato, je wananch wakenya wanapata direct profit kutoka kq? taifa lenu lina share% ngap kq?
 
Rais wa Tanzania na Kenya wamekutana kwa faragha Namibia na kukubaliana kuboresha mahusiano ya kidiplomasia kwa kufungua mipaka na kuruhusu magari ya watalii ya Tanzania kufika kwenye viwanja vya ndege vya kenya na kuruhusu ndege za Kenya kutua kwenye airport ya TZ kama ilivyokua awali,....(Kumbuka TZ walizuia idadi yaa flight za KQ kutoka 42 kwa wiki mpaka 14 kwa wiki, punguzo la almost 60%, baada ya Kenya kuzuia magari ya watalii ya Tanzania kuvuka mpaka wa kenya ili kwenda kuchuikua watalii kwenye airport ya kenya......)

Hongera Tanzania, hapa mmecheza kama pele, baada ya Kenya kumwaga mbonga, si tukamwaga ugari,...wenyewe wamelegea..... :dance::dance::dance::dance::dance:

Ila inapaswa iwe fundisho kwa Tanzania kuboresha Air Tanzania.......
 
Uhuru kwa picha hizi tu anaoneka jeuri na hajali kabisa
Kikwete anaoneka yuko busy waelewane...

hii team 'uhuruto' majeuri

nashangaa why tunawabembeleza mno
Nyani Ngabu EMT

kwani unajua nani kanyoosha mikono kati ya uhuru na jk?au umechangia mada tu.
 
Back
Top Bottom