mkuu umewahi rogwa wewe?Ukifanya haya anayokuelekeza mshana jr sio ajabu wewe ukawa mchawi. Hivi unaanzaje kulala na ndimu kitandani?
Chukua muda ujifunze zaidi kuna mengi bado huyajuiwa2 wa imani haba kama mimi, tujiulize, Yesu na Mtume Mohammad walikua wanalalia kipande cha ndimu na sindano na kisu? Dunia ya sasa hivi wa2 kama tumekua na aleji ya kufikiria.. duh
Nimegundua hujaelewa kitu kuhusiana na ishu nzima ya ndimu, siamini kwamba ukienda kwa nabii ukaombewa basi utamuabudu huyo nabii au ukitumia quinine ikakuponya malaria basi utaiabudu hiyo dawa...huo utakuwa ni mtindio wa ufahamuignorance is bliss my friend, hao mitume ndio muongozo wa maisha yetu, nnachojua kuhusu maisha yao inatosha kuniongoza.. chochote kimsaidiacho mwanadamu katika maisha ndicho akiabuducho, ukiwa mcha Mungu na asubuhi umeamka salama utasema asante Mungu kwa kuniepusha na balaa, ukiwa mtumia ndimu utaamka asubuhi na kusemaje? asante kipande cha ndimu kwa kuniepusha na wachawi? yani bila kujijua ndimu inakua ndo Mungu wako.. naheshimu ujuzi wako kuhusu haya mambo, inawezekana ukawa na jicho la tatu linaloona sisi watu wa kawaida tusiyoweza kuyaona, ila kama uwezo huo hautoki kwa Mungu basi ni batili, na kama unatoka kwa Mungu basi hutahitaji ndimu wala sindano.
Nilikuwa najiuliza kwanini wadosi huku india wananinginiza ndimu milangoni pamoja ma pilipili ....kumbe ni kinga
Unaweza kuona ni kitu cha kufikirika au cha maskhara lakini mchawi na ndimu ni vitu viwili tofauti kabisaMchawi anapenda sana damu na damu kwenye ndimu inaganda fasta...pengine hiki ndio kisa kikuu
Ukiwa na mauzauza usiku ukiwa unaota ndoto za ajabu hasa kulishwa vitu na kujitafuna mdomo lala tu na kipande cha ndimu na kulamba pia! Jamaa wakija tu kuna hiyo malighafi hawasogei au wataenda kujipanga upya.
huwezi kumwabudu mtumishi wa Mungu coz unajua nguvu zake anapatia wapi, na huwezi kuiabudu dawa ya malaria coz utengenezaji wa dawa hizo unafahamika na unaleta logic, sasa hizo nguvu za ndim kisu na sindano zinatoka wapi? na hio ndimu inafanyaje kazi? hii ni sawa na shirki tu.Nimegundua hujaelewa kitu kuhusiana na ishu nzima ya ndimu, siamini kwamba ukienda kwa nabii ukaombewa basi utamuabudu huyo nabii au ukitumia quinine ikakuponya malaria basi utaiabudu hiyo dawa...huo utakuwa ni mtindio wa ufahamu
... si wataisogeza; ndio waendelee na kilichowaleta
Unaweza kuona ni kitu cha kufikirika au cha maskhara lakini mchawi na ndimu ni vitu viwili tofauti kabisaMchawi anapenda sana damu na damu kwenye ndimu inaganda fasta...pengine hiki ndio kisa kikuu
Ukiwa na mauzauza usiku ukiwa unaota ndoto za ajabu hasa kulishwa vitu na kujitafuna mdomo lala tu na kipande cha ndimu na kulamba pia! Jamaa wakija tu kuna hiyo malighafi hawasogei au wataenda kujipanga upya.
Kwa akili wako unadhani kwamba kila anayejiita mtumishi wa Mungu anatenda miujiza kwa nguvu ya Mungu?huwezi kumwabudu mtumishi wa Mungu coz unajua nguvu zake anapatia wapi, na huwezi kuiabudu dawa ya malaria coz utengenezaji wa dawa hizo unafahamika na unaleta logic, sasa hizo nguvu za ndim kisu na sindano zinatoka wapi? na hio ndimu inafanyaje kazi? hii ni sawa na shirki tu.
Dah....Profesa umeharibu bana..... Huku gengeni kwetu zilikuwa zinauzwa mia 2 kwa moja.... baada ya uzi huu moja buku 5... na zimeanza kufichwandimu ni backup