Ugwadu! Kiboko ya mchawi

Ugwadu! Kiboko ya mchawi

Haivunji ila inafreeze kama kuna usumbufu ulikuwa unapata unakoma ila Inategemea ni uchawi wenye nguvu kiasi gani
Aisee, kuna nyumba ya bi mkubwa wangu alizinguana na mpangaji akamtimua loo akasema utafugia vumbi tu tangu januari mpaka leo watu wanakuja kuangali hawarudi, haaahaa nacheka kweli kila akiniambia "leo tena mwingine kaja lakini hajarudi". ila nimemwambia asiamini sana ulozi ni mambo ya mwendo kasi tu watu wana hali mbaya., teh!
 
Mshana kuna mambo mengine uwa unaongea nashindwa jua utafiti unaufanya vipi....yaani mchawi anauwezo wa kuingia ndani huku kila upenyo umeufunga....aje hashindwe kuiona ndumu/ugwadu uliouweka chini ya mto?
Kumbuka mchawi/mwanga kwanza ni kiumbe muoga sana na ndio maana mambo yake hufanya kwa kificho na hizo ishu za ndimu ni huu uchawi/ulozi daraja la kawaida
Kama akiwa mahiri kweli hahitaji kukufuata mpaka ndani bali kivuli chako tu kinatosha
Hivyo kuiweka ndimu chini ya mto itabidi akusogeze kwanza ndio aitoe
Vilevile ukuta hauna roho hivyo ni rahisi kuingia lakini kukufikia ili akusogeze ni kazi na ukizingatia kuwa tayari kuna nguvu ya ndimu
 
Aisee, kuna nyumba ya bi mkubwa wangu alizinguana na mpangaji akamtimua loo akasema utafugia vumbi tu tangu januari mpaka leo watu wanakuja kuangali hawarudi, haaahaa nacheka kweli kila akiniambia "leo tena mwingine kaja lakini hajarudi". ila nimemwambia asiamini sana ulozi ni mambo ya mwendo kasi tu watu wana hali mbaya., teh!
Njoo pm
 
Kumbuka mchawi/mwanga kwanza ni kiumbe muoga sana na ndio maana mambo yake hufanya kwa kificho na hizo ishu za ndimu ni huu uchawi/ulozi daraja la kawaida
Kama akiwa mahiri kweli hahitaji kukufuata mpaka ndani bali kivuli chako tu kinatosha
Hivyo kuiweka ndimu chini ya mto itabidi akusogeze kwanza ndio aitoe
Vilevile ukuta hauna roho hivyo ni rahisi kuingia lakini kukufikia ili akusogeze ni kazi na ukizingatia kuwa tayari kuna nguvu ya ndimu

Mshana unataka nambia wachawi hawajui kuwa hii nguvu inayomzuia kufikia windo lake ni ya kitu gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom