Limao linafanya kazi au ni ndimu tu?Rekebisha kidogo ni Mshana sio mdhana naona ni typing error
Aaamen lakini ndimu si uchawiMkuu Mshana nadhani ni muda wa kufanya maombi kwa Mungu unayemuamini atakulinda,kwa sisi wakristo ukijitakasa,ukaomba kwa imani...Mungu ni mwaminifu kabisa...
Tumtegemee Yesu, kulala na ndimu kila siku nayo ni shughuli.
Si bora uongezee na ukali kabisa pilipili, utundike zote mlangoni, dawa ya kibaniani ya kuzuwia uchawi na uhasidi...Unaweza kuona ni kitu cha kufikirika au cha maskhara lakini mchawi na ndimu ni vitu viwili tofauti kabisaMchawi anapenda sana damu na damu kwenye ndimu inaganda fasta...pengine hiki ndio kisa kikuu
Ukiwa na mauzauza usiku ukiwa unaota ndoto za ajabu hasa kulishwa vitu na kujitafuna mdomo lala tu na kipande cha ndimu na kulamba pia! Jamaa wakija tu kuna hiyo malighafi hawasogei au wataenda kujipanga upya.
![]()
kumbe!!! mbona kesho nitakuwa nayo !![]()
Unaweza kuona ni kitu cha kufikirika au cha maskhara lakini mchawi na ndimu ni vitu viwili tofauti kabisaMchawi anapenda sana damu na damu kwenye ndimu inaganda fasta...pengine hiki ndio kisa kikuu
Ukiwa na mauzauza usiku ukiwa unaota ndoto za ajabu hasa kulishwa vitu na kujitafuna mdomo lala tu na kipande cha ndimu na kulamba pia! Jamaa wakija tu kuna hiyo malighafi hawasogei au wataenda kujipanga upya.
![]()
kuna uchawi wa kujifunza na wewe ni mchawi tayari shida tu haufanyii mazoezi ila unajua mengi na hapo ndio wazungu wachawi wanatuzidi kwani huwa wakifanya utafiti wanajaribu.mzungu mchawi ni mbaya jamanikuna vitu vingi sana unajua ila watu tu wamezoea kusoma vitu laini kama magazeti ya ijumaa .upo anga jingine na hata juzi unawaambia kuwa manii za kiume au mafuta ya krisma au ekaristi takatifu huwa inachukuliwa na hawa wachungaji wengine kupata nguvu za giza watu bado hawakuelewi.upo levo nyingine ambayo watafikiri wewe ni kichaa.Wbongo kusoma ni shida!!
kuna vitu vingi sana unajua ila watu tu wamezoea kusoma vitu laini kama magazeti ya ijumaa .upo anga jingine na hata juzi unawaambia kuwa manii za kiume au mafuta ya krisma au ekaristi takatifu huwa inachukuliwa na hawa wachungaji wengine kupata nguvu za giza watu bado hawakuelewi.upo levo nyingine ambayo watafikiri wewe ni kichaa.Wbongo kusoma ni shida!!

360gawa kwa 2=180![]()
Unaweza kuona ni kitu cha kufikirika au cha maskhara lakini mchawi na ndimu ni vitu viwili tofauti kabisaMchawi anapenda sana damu na damu kwenye ndimu inaganda fasta...pengine hiki ndio kisa kikuu
Ukiwa na mauzauza usiku ukiwa unaota ndoto za ajabu hasa kulishwa vitu na kujitafuna mdomo lala tu na kipande cha ndimu na kulamba pia! Jamaa wakija tu kuna hiyo malighafi hawasogei au wataenda kujipanga upya.
![]()
Limau vipi?![]()