Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Habari wakuu,

Nimekuwa nikinywa sana maji, kula mboga za majani na matunda. Naomba kama mtu ambaye alishawahi kuumwa bawasiri/hemorrhoids na akapona kabisa, anijuze alifanya nini akapona.

Ahsanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu usipalamie mambo usiyo yajua.. nikikuuliza hemorrhoid inasababishwa na nn unaweza nipa jibu???

Acha watu wa afya tutoe ushaur usiingilie... Maswali hayo niliyo uliza yana mahusiano na tatizo lake sanaaa...
Acha upuuzi bwana we msaidie namna ya kupona,umri amekutajia kazi yake we ya nini?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole mkuu ila kuna uzi humu ndani unaelezea vizuri kabisa ugonjwa huu na tiba zake na pia kuna mtaalam mmoja yuko dar anatibu kabisa na unapona mkuu, kuna jamaa yangu alimtumia akapona kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kukaa muda mwingi chooni kutokana na tatizo la kuharisha au tatizo la kukosa haja kabisa na kuwa na choo kigumu sana ndio hasa upelekea tatizo hili..

Kwa hyo mkuu epuka pia swala la kuharisha kwa kula chakula safi na salama.

Pia nakushauri jaribu kutumia dawa za tiba asilia za kutengeneza mzunguko wa damu vizur. Dawa hizo huwa na mchanganyiko wa kahawa.

Pia kama tatizo limekua kubwa sana, suluhisho ni upasuaji tu kwenda kukakata.

Pia endelea kula matunda na fanya mazoezi madogo madogo.

Hiyo hali ya kukaa sana wakati wa kazi haifai sana so, jitahid utumie kahawa za watu wa tiba asilia, ili kuimalisha mzunguko mzur wa damu.
Ni mwanaume, kazi zangu zinahusisha kutumia computer siku nzima

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…