Ugomvi wa Mengi na Prof. Muhongo nani msuluhishi?

Ugomvi wa Mengi na Prof. Muhongo nani msuluhishi?

Watanzania ni watu wapumbavü sana sijawahi kuona.
Jitu zima bila aibu linatoka guest na maja.naba linatokwa povu eti linakuja hapa kumtetea tapeli na mtu mnafiki kama MENGI. Kwa wema gani yeye kama mzawa aliolitendea hili taifa???

Kachukua mkopo wa mabilioni NBC kakataa kuurejesha hatimae akaifilisi benki.

Kapewa vitalu vya madini kashindwa kuviendeleza hatimae leo hii yupo kama dalali wa kuvitafutia wawekezaji wa nje naye akizidi kupiga hela za dili.

Kagombana na mawazili chungu nzima pale alipoona hawalindi maslahi yake.
Kagombana na wafanyabiashara chungu nzima pale alipoona wanampa ushindani wa kibiashara, kisa wivü na roho ya korosho.

Amekua akiandaa vyakula vya hisani na kuwadhalilisha watu wenye matatizo kwa kuwaanika mbele ya kadamnasi. Na dunia nzima kuwashuhudia kama watu dhalili kana kwamba yeye ndo bingwa wa kusaidia watu kuliko hata akina Bakhresa wanaotoa misaada zaidi yake lakini kimyakimya kwa kuusitili UTU WA MTU.
Wakati akifanya hayo mkono wa kulia, kushoto umekua ukitumika kuwanyonya watumishi wake wanaoishi kama digidigi kwa kuwalipa vipato vidogo.

Bado hajalidhika anataka tumpe na gesi ili akaendeleze biashara zake za kitapeli na udalali kwa kisingizio cha uzawa??? Na mijitu mijinga bado inakuja hapa kumtetea huyu tapeli na fi.sadi.

Hawa wanaomtetea mengi ukiwafanyia uchunguzi wana element za uchagga, ukaskazini na harufu ya ukawa-ukawa.
Ki mtizamo hata kwa kumuangalia Mengi ni mtu mwenye roho mbaya na ndio maana ameamua kumgeged.a mjukuu wake na kuzaa naye.

MENGI TUONDOLEE UTAPELI WAKO KWA KUWATUMIA MISUKULE WASIOJITAMBUA, KWA KIGEZO CHA UZAWA.

Naona umeamua kuanika chuki zako na wakaskazini kwa kumtumia mengi. Chuki yako inadhirika kwa kumlinganisha mengi na bakharesa. Kwanza naye amefaidika kwa kuuziwa NMC kwani wote tunajua CCM imeuza mali za umma kihuni. Pili japo unalalamika Mengi wa kaskazini ambako anahaki ya kupendelewa kama mzawa wakati bakharesa ni mzanzibar ambae hana haki ya kupendelewa kama mzawa wa tanganyika. Na swala la kuwapendelea wazawa katika sekta nyingine, kwanini lisiwepo kwenye gas na mafuta?.
 
Vibaraka wa mengi utawajua tu mengi mwizi kama wezi wengine kwa kutumia mwamvuli wa wazawa na uzalendo hana lolote kabisa.

Ndiyo ya tatizo la kugeuza siasa kuwa ushabiki wa simba na yanga!Sijui kama Sera za chama chako unazifahamu?Mweke Mengi kando,Tuzungumze kama Watz wenye kujali rasilimali zetu,Huoni kama hoja ya Wazawa kushirikishwa kwenye miradi ya gesi na mafuta ina mashiko?
 
Mengi ana maeneo makubwamakubwa ya ardhi sehemu mbalimbali za nchi hii, ikiwemo kijiji cha Matimira, songea vijijini karibia ekari 50,000 anaifanyia nini?. Huyu ni mwi...zi kama walivyo wez...i wengine tu. Kama anataka uwekezaji, arejeshe kwanza fedha alizotui....bia katika benki ya NBC hadi ikafilisika miaka ya nyuma!
 
Mengi lazima ashinde kwenye hili saga muulizeni masha

Hawezi kushinda mkuu. Sasa hivi watu wameshamjua janja yake ya wizi kupitia uzawa. Na hata serikalini wanamjua ndio maana wamempuuza. Maana mambo yako wazi kitaalam yeye na wazawa wenzake mziki ule wa gesi hawauwezi hata kwa dawa.

Ametumia vyombo vyake kulalamika ila amekosa atensheni ya umma sasa ameona ahonge wabunge wenye njaa kama Mbatia WAKAROPOKE NA KUPAYUKA BUNGENI ili aweze kupata atensheni toka kwa wananchi. Hiyo janja watu washaishtukia

kama jambo lingekua na mantiki watu tungeungana nao kuipinga serikali kwa kuwaonea,ila imethibitika kitaalam mengi hana uwezo sasa yeye analazimisha ili apewe huku akijua hana uwezo ili badae auze. Serikali imeshtukia mchezo mchafu wa udalali hapo.

Huwa watu wanasema utadanganya watu flani kwa muda flani ila hutodanganya watu wote kwa muda wote. Mengi kadanganya watanzania kwa muda kupitia uzawa na akagombana na viongozi akilalamika ameonewa,watu wakajua ni kweli,sasa tumemshtukia,atalalamika na kulia lia mwisho ataenda kulala.
 
Mzawa unaetaka kuingia katika biashara ya gesi nunua hisa za TPDC ndio shirika letu linalotuwakilisha na tumelipatia mtaji, iwapo unajiona unauwezo ingia kwenye ushindani kama wawekezaji wa biashara hii wengine. Hizi janja janja za misheni town kama za Mengi hazisaidii.
 
Sio kweli mengi ni mtu mwenye tamaa sana inasemekana hata wafanyakazi wake wengi wao ni vibarua tu hawaajiriwi yeye mwenyewe ni dhulumati halafu utamwona anaandaa pilau na kuwakusanya walemavu ili aonekane ni mwema sana.....Kinachomsaidia mengi ni vyombo vyake vya habari na amejipenyeza mahala pengi kumwaga fitna

Acheni wivu wakike. Yaani mengi kuandaa pilau kwa walemavu na yatima ni kuwazalilisha. Ila CCM kuchaguliwa vijiji kwa kuhonga wali na maarage ni halali. mengi alianza biashara kenya kabla ya kuja bongo. Sasa niambie mfanyabiashara gani mwingine wa kibongo ana ujanja huo zaidi ya kupata mitaji kwa ufisadi.
 
Napendaga sana Waziri anavyoongea kwa fact ! tena bila kutetemeka ...Jamaa anaufahamu wa anachokisema ....Wabongo tunapenda huruma tu !
 
Risk and Opportunity ya nini? akitaka afungue kiwanda cha saruji kama Dangote asilete ujanja ujanja wake hapa ameshtukiwa


Mburula hata Dangote ameangali risk and opportunity kwenye kujenga kiwanda cha saruji. Tatizo umemuingiza Dangote mnajeria muislam kulinganisha na mengi mkristo mzawa. Angalia utanufaikaje mtu mwenye maisha ya kiwango kama chako.
 
Risk and Opportunity ya nini? akitaka afungue kiwanda cha saruji kama Dangote asilete ujanja ujanja wake hapa ameshtukiwa


Mburula hata Dangote ameangali risk and opportunity kwenye kujenga kiwanda cha saruji. Tatizo umemuingiza Dangote mnajeria muislam kulinganisha na mengi mkristo mzawa. Angalia utanufaikaje mtu mwenye maisha ya kiwango kama chako.
 
Mburula hata Dangote ameangali risk and opportunity kwenye kujenga kiwanda cha saruji. Tatizo umemuingiza Dangote mnajeria muislam kulinganisha na mengi mkristo mzawa. Angalia utanufaikaje mtu mwenye maisha ya kiwango kama chako.
We ndo Mburula kweli, unajua risk ya utafutaji gas? Hivi unajua Pertrobas na Shell wameshapoteza kiasi gani hapo Mtwara, au unaongea tu?
 
Nafikiri na wewe utakuwa umerogwa, unachotakiwa ni kuwatetea wazawa na si mengi. Na kama inatetea wazawa kuna TPDC na Stamico, na kama huna imani nayo basi tuanzishe nyingine kama NICO???
Lakini anacho kitetea Mengi ni nafsi yake na Kikundi fulani? Sasa hapo wewe utafaidika vipi? NA kama Mengi ana watetea wazawa , basi turudi kwenye Policy za Nyerere mpaka hapo mashirika/makampuni hayo yakisimama vizuri shares au hisa ziuzwe kwenye soko la mitaji, hivyo ndio utakuwa umemkomboa mzawa. Mwl alisema ujinga wenu mmeacha mazuri mkabeba mabaya yetu badala ya kuya sahihisha. Play your part Technology

nakubaliana na wewe mkuu,mzawa anayejiona anauwezo aende TPDC atapata nafasi ya kuwekeza ktk gesi na mafuta,tuache Prof apige kazi
 
Nakumbuka ugomvi wa Mengi na Jenerali Ulimwengu enzi hizo akiwa gazeti la Mtanzania lilifichua namna gani mengi alihusika na kashfa ya kutorudisha mkopo benki ya NBC. ndio hao kina Mengi walioiua benki ya NBC..HAKUNA WAZIRI BORA YEYOTE KWENYE WIZARA YA NISHATI NA MADINI KULIKO PROFESSA MUHONGO. HII NI VITA ANAPIGWA KUTOKANA NA KUDHIBITI ULAJI KATIKA UZALISHAJI UMEME NA TANESCO. HUYU PROFESSA NI MKWELI HAMLAZII MTU DAMU. BRAVOOOOOO PROFESSA NAKUFAGILIA KABISA KWA KAZI YAKO. VITALU VYA GESI VIPO HATA KWA WAZALENDO. MWAGA DATA ZAKO HAPO ZIPITIWE NA WATAALAMU NA SIO WAZIRI KAMA UA VIGEZO UPEWE VINGINEVYO UNATAKA UDALALI TU KUJA KUVIUZA
 
Acheni wivu wakike. Yaani mengi kuandaa pilau kwa walemavu na yatima ni kuwazalilisha. Ila CCM kuchaguliwa vijiji kwa kuhonga wali na maarage ni halali. mengi alianza biashara kenya kabla ya kuja bongo. Sasa niambie mfanyabiashara gani mwingine wa kibongo ana ujanja huo zaidi ya kupata mitaji kwa ufisadi.

Mfanyabiashara mwingine ni Mzee Matemba, Ule ni udhalilishaji kabisa kwani mfano yani wewe unanjaa unaniomba chakula nakupa halafu kesho nakutangaza jamaa anatembea ameshiba chakula changu unajisikiaje mkuu...?
 
Mburula hata Dangote ameangali risk and opportunity kwenye kujenga kiwanda cha saruji. Tatizo umemuingiza Dangote mnajeria muislam kulinganisha na mengi mkristo mzawa. Angalia utanufaikaje mtu mwenye maisha ya kiwango kama chako.

Ukristo na uislam umeingiaje hapa?!

Isitoshe Mengi na Muhongo wote ni wakristo!
 
Kwa kweli umemaliza.....tatizo la wengi hatuelewi kuwa sasa westerners wanatumia lugha ya uwekekezaji kwa ajili ya kuchota mali zetu.

Muhongo na elimu yake aanposema hakuna mtanzania mwenye uwezo kipesa kuwekeza...Je hawa wawekezaji wana pesa gani????? mi ninavyoelewa wao ni madalali mara wanapopata kibali wanenda kuomba mikopo au wanauza share.

Kinachoumiza waaafrika kina Muhogo and co ni hiyo ten percent hakuna cha zaidi.

........Leo tunakumbatia ubeberu huku tukiaminisha sisi ni duni hatujiwezi, hatuwezi kuwekeza wala ksuhiriki uwekezaji. Je Serikali inasemaje kuhusu kuwekeza kwenye elimu ya mafuta na gas, madini na utalii?

Lazima wananchi wahusishwe moja kwa moja kwenye hili, fedha nyingi huwa zinatumika kwenye kulipa mishahara na huduma za jamii, je wangapi wameandaliwa kwenye sector hii kiajira, kielimu nk. Tunaposema wazawa washirikishwe ni pamoja na utaalamu, ushiriki katika huduma, uchumbaji, nlk
 
We ndo Mburula kweli, unajua risk ya utafutaji gas? Hivi unajua Pertrobas na Shell wameshapoteza kiasi gani hapo Mtwara, au unaongea tu?

wewe unae fahamu tujuze basiiii.....sio unaleta mboyoyo nyingi
 
We mpuuzi nini ? Yaani unashikia bango wageni kuliko wazawa ? Kuna ubaya ngani hata mengi akipewa vitalu ?? Na hata kama akifanyia udalali lipi mbaya?? Yeye ni mtanzania na hata hela za udalali zitabaki Tz kuliko kuwapa madalali wa kigeni na kujiita wawekezaji wa kigeni kumbe ni madalali wa kigeni tu. Huyo muhongo hana lolote cha kutuambia ,ameshapata 10% yake.alilopoka kwamba mikataba ni ya ovyo na inaitajika kuangaliwa upya kule uingereza,leo hii kauza vitalu vyote hata kumpa mzawa mmoja. Wewe uoni hii ni hatari kwa rasilimali yote ya Taifa kushikwa na wageni??acha upuuzi wewe au mhungo babaako nini??au umeshapokea 10% nini??

ndugu yangu umesahau sifa ya watz? wana roho mbaya sana kwa wenzao hasa inapokuwa kwenye mambo ya kuleta fedha, yupo radhi ampe mgeni kukukosesha wewe eti utaringa sana, hii ndio roho ya kitz,historia pia inaonyesha hivyo, umesahau viongozi wanaouza ardhi ya wananchi kukaribisha wageni na kuwaacha wananchi wakikosa hata sehemu za kulima? kwenye suala la uwekezaji muhimu kunufaisha wazalendo hata kama tunahitaji gesi hiyo haraka kwa maendeleo yetu, hivyo wawekezaji wa kizalendo wangepewa fursa ili wathibitishe uwezo wao klwanza na kwamba serikali inaweza kuwasaidi katika maeneo fulani ambayo wataonekana wana upungufu na si kuweka sheria kama za mpira wakati unajua kabisa unapambanisha brazil na Taifa stars ni upumbavu kabisa. Tuache roho za chuki na wivu wa kijinga, kwani hayo ndio mabo ambayo yanasababisha hii ngozi yetu nyeusi ionekane ni kikwazo mpaka dada zetu( na wanaume wengine) kuanza kujichubua kwa mikrimu.Inasikitisha sana.
 
Back
Top Bottom