Ugomvi wa Mengi na Prof. Muhongo nani msuluhishi?

Ugomvi wa Mengi na Prof. Muhongo nani msuluhishi?

Mengi ni mtu mmoja mwenye tamaa sana sijapata kuona. Halafu ni mnafik, eti anatumia kibwagizo cha uzawa ili apate sympathy.

Muhongo uzuri wake anampa za uso waziwazi.

Mengi kishakorofishana na kila mtu ambae anaona kwanini huyu kwanini siyo "mimi". Ana ubinafsi, uchoyo na roho mbaya sana. Hata sura yake inaonesha.

Una maana ile pua au? mwacheni mzee wa watu jamani sasa ivi yuko bize na kulea mapacha
 
Tumechoshwa na malumbano ya kijinga anayoyaendeleza Mengi dhidi ya Profesa Muhongo. Mengi amekuwa akiyatumia magazeti yake pamoja na Tanzania Daima kuandika mengi ya uongo kuhusu profesa. Hivi tumuulize huyu Mengi ana matatizo gani? Mbona anataka kuwa adui wa kila mtu? Ebo!
 
JK na Pinda walishamaliza suala hilo ila Mengi bado anaweka bifu kwani JK alisema Serikali yake haiwezi kumwezesha mtu yoyote kifedha katika maeneo ambaoyo hakuna uhakika wa kupata chochote kwa maana ya gesi na madini na ndiyo maana hata Serikali haijawekeza kwenye vitalu vya gesi. kwani hamjui kwamba Mengi anamiliki vitalu 54 vya madini lakini ameshindwa kuviendeleza na sasa anaviuza kwa wageni. vile vile Mengi, Masawe na Maramba wanamiliki kampuni ya uchimbaji wa gesi ya SWALA ambayo kwa kuwa hawana mitaji wameamua kuwatafuta wageni wa ASTRALIA washirki katika uchimbaji huo. Nenda katika WESITE ya TPDC ujue sasa Mbatia anamtetea Mengi wote ni jamii moja ya wachaga. kaka ogopa sana makabila makubwa matatu hapa nchini wachaga, wanyakyusa na Wahaya. hawaogopi kusaidiana wenzetu akiingia mmoja mahali lazima avute wenzake. mmesahau pale BOT na Wizara ya Fedha wakati wa Waziri Mramba wachaga kibao hadi wakaandikwa magazetini!!! Wanyakyusa mtakumbuka wakati wa marehemu Mwaikambo pale NIC.

werevu walisema "usibishane na mjinga kwa kuwa na wewe utaonekana mjinga"
 
Wameshafanya ujanjaujanja sana mpaka kupelekea kuua mashirika yetu hapa nchini,moja wapo ni sakata la NBC na mkopaji Mengi,sasa yupo Prof. Muhongo mwenye utaalamu wa kutosha na vision za mbali wanaanza kuhaha.
Na kizuri zaidi prof. hamumunyi maneno,anawachana live.

Mi mweyewe Ukawa,lakini kwa hili la gesi Bw.Mengi na wenzake wajipange kisawasawa.
 
Ni tatizo kumshambulia Prof. Muhongo eti kwa kuwa Bw. Mengi hakupata kitalu, hata hivyo Bw. Mengi kashindwa mwenyewe kuomba vitalu maana vilitangazwa. Mambo ya ajabu haya! hata ushiriki wa TPDC bado hauonwi na wachache kama ni muhimu? Prof. Muhongo kafanya mambo ya maana sana katika masuala mazima ya Nishati na Madini inapaswa aungwe mkono.

Tafakari
 
ukitaka jina ntakwambia ila uniambie kwa nini unalitaka.

Sio kweli kua natetea wawekezaji wa njee ila penye ukweli lazma tuwe wakweli tuache unafiki. Kama mahitaji/vigezo vya kua mwalimu wa chuo kikuu ni kuanzia digrii ya uzamivu(phd) wewe umemaliza darasa la saba au form 4 hiyo kazi unaitaka wakati vigezo huna ukinyimwa ulaumu,ulie kwamba mzawa unanyimwa fursa??.

Imeonekana kitaalam mahitaji ya kifedha(financial resources) ya uvunaji wa gesi hakuna mtanzania anaweza kukidhi vigezo,sasa wakipewa watafanyaje kuvuna hiyo gesi?. Wanataka,hasa mengi apewe kisha awe dalali,akatafte wawekezaji. Huo utakua ni ujuha kama tunaweza kufanya uwekezaji wa aina hiyo.

Wewe niambie wazawa wakishapewa vitalu hiyo gesi wataivunaje wakati hawana hela? Tusipende kulaumu upuuzi.

Kwani kama Mengi akipewa "atauza kama dalali" kama unavyodhani wewe, shida iko wapi as long as serikali inapata same return kama ikiuza yenyewe (kama dalali pia )?...
 
Kwani kama Mengi akipewa "atauza kama dalali" kama unavyodhani wewe, shida iko wapi as long as serikali inapata same return kama ikiuza yenyewe (kama dalali pia )?...
Shida hawatakiwi madalali ila wanatakiwa wawekezaji wenye uwezo,utalaamu na uzoefu wa masula ya gesi.
 
Shida hawatakiwi madalali ila wanatakiwa wawekezaji wenye uwezo,utalaamu na uzoefu wa masula ya gesi.

Baada ya hapo ulipoweka red nimeendeleza kwa kusema "as long as serikali inapata same return"...
Consider that before you hurry replying
 
Baada ya hapo ulipoweka red nimeendeleza kwa kusema "as long as serikali inapata same return"...
Consider that before you hurry replying
Kama mwenye nyumba huko ya nini kupitia kwa dalali ilhali unajua atazidisha gharama ya pango?
 
Kama mwenye nyumba huko ya nini kupitia kwa dalali ilhali unajua atazidisha gharama ya pango?

As long as wewe mwenye nyumba unapata kiasi kile kile ambacho ungepata, inakuuma nini mpangaji akilipa zaidi?
 
Sheria na sera ya gesi vikiwa wapi?
Sheria na sera hizohizo ndizo zimeliona hilo na zimetutaka tuingie kwenye uwekezaji wa gesi kupitia STAMICO au TPDC wala siyo kuleta ujanja ujanja.
 
Sheria na sera hizohizo ndizo zimeliona hilo na zimetutaka tuingie kwenye uwekezaji wa gesi kupitia STAMICO au TPDC wala siyo kuleta ujanja ujanja.

Simtetei Mengi or anyone else. .. lakini naamini serikali ina wajibu wa kuhakikisha goals zote mbili zinafikiwa kwa ufanisi wa hali ya juu. Kwanza gesi uvunwe ili taifa lipate mapato lakini pili faida itakayotengenezwa na biashara ya gesi iwafaidi Watanzania as much as possible. Hili halutafanikiwa kama hakutakuwa na juhudi kubwa na za makusudi kuhakikisha mtaji wa kuchimba hii gesi unatoka ndani ya nchi as much as possible lakini pia faida itakayotengenezwa inaingia kwenye mzunguko wa fedha hapa nchini as much as possible.
 
Back
Top Bottom