Anamiliki vitalu vya madini mengine 59 ameshndwa kuviendeleza,anafanya udalali. Huo ndio umekua mwenendo wake. Akishndwa jambo anaanza kufitinisha watu eti wazawa wanaonewa. Ameambiwa kama ana hela aende TPDC ameshndwa kwenda amebakia lawama. Mengi ni janga la taifa.
Watanzania ni watu wapumbavü sana sijawahi kuona.
Jitu zima bila aibu linatoka guest na maja.naba linatokwa povu eti linakuja hapa kumtetea tapeli na mtu mnafiki kama MENGI. Kwa wema gani yeye kama mzawa aliolitendea hili taifa???
Kachukua mkopo wa mabilioni NBC kakataa kuurejesha hatimae akaifilisi benki.
Kapewa vitalu vya madini kashindwa kuviendeleza hatimae leo hii yupo kama dalali wa kuvitafutia wawekezaji wa nje naye akizidi kupiga hela za dili.
Kagombana na mawazili chungu nzima pale alipoona hawalindi maslahi yake.
Kagombana na wafanyabiashara chungu nzima pale alipoona wanampa ushindani wa kibiashara, kisa wivü na roho ya korosho.
Amekua akiandaa vyakula vya hisani na kuwadhalilisha watu wenye matatizo kwa kuwaanika mbele ya kadamnasi. Na dunia nzima kuwashuhudia kama watu dhalili kana kwamba yeye ndo bingwa wa kusaidia watu kuliko hata akina Bakhresa wanaotoa misaada zaidi yake lakini kimyakimya kwa kuusitili UTU WA MTU.
Wakati akifanya hayo mkono wa kulia, kushoto umekua ukitumika kuwanyonya watumishi wake wanaoishi kama digidigi kwa kuwalipa vipato vidogo.
Bado hajalidhika anataka tumpe na gesi ili akaendeleze biashara zake za kitapeli na udalali kwa kisingizio cha uzawa??? Na mijitu mijinga bado inakuja hapa kumtetea huyu tapeli na fi.sadi.
Hawa wanaomtetea mengi ukiwafanyia uchunguzi wana element za uchagga, ukaskazini na harufu ya ukawa-ukawa.
Ki mtizamo hata kwa kumuangalia Mengi ni mtu mwenye roho mbaya na ndio maana ameamua kumgeged.a mjukuu wake na kuzaa naye.
MENGI TUONDOLEE UTAPELI WAKO KWA KUWATUMIA MISUKULE WASIOJITAMBUA, KWA KIGEZO CHA UZAWA.