Ugomvi wa Mengi na Prof. Muhongo nani msuluhishi?

Ugomvi wa Mengi na Prof. Muhongo nani msuluhishi?

Mengi ni dalali jamani. Kila kitu huwa ana lalamika tu. Alianza na Viwanja katikati ya jiji la Dar, alipopewa na Lowassa akauza kwa Mhindi, suala la Kilimanjaro Hotel aliponyimwa akagombana na Mkapa. Hakuishia hapo akaanza ugomvi na Manji. Amechukua vitalu vya madini ya Tanzanite muulize aliisha lipa mrabaha kiasi gani hadi sasa. Amechukua maeneo makubwa ya yenye madini huko Tanga hadi leo anatafuta wawekezaji na bado ana maeneo mengine kibaha yenye michanga anauza kwenye malori. Hivi vyote vimeleta faida gani kwa Taifa?
Mengi kamwe hawezi kupewa kitalu chochote cha gesi maana aliambiwa siku ile ya mdahalo pale Mlimani kuwa kama ana uwezo aende kuchuka fomu za maombi. Hajatuambia kama alinyimwa au bado anatafuta huruma za Watanzania.
 
Reginald Mengi anatumia neno uzawa kama rent-seeking.

Kuna baadhi ya wabunge nao wameanza kununua/ kununuliwa na propaganda zake.

Suala la uwekezaji kwenye gasi liko wazi na hakuna mtu aliyekatazwa kuwekeza. Form na tenda ziko kwa kila mtu. Hii ya kusema wananchi watengenezewe mazingira ili waweze kuwekeza kwenye utafutaji wa gasi ni maneno ya kisiasa yaliyoficha ajenda zake.

Hoja yake ya Uzawa ukiichunguza utagundua inazunguka tu kwenye gasi na siyo kwenye sector nyingine. Why?.

Kitu ninachokipenda ni kuwa wakati Reginald Mengi analifanya jambo la Uzawa katika sector ya gas kama la kisiasa, Waziri Muhongo analiweka katika mizani ya kitaalam na uhalisia.

Kama Rais Kikwete atamuondoa Prof. Muhongo katika Wizara, basi sina budi kusema, neno la Mh. Mnyika na baadhi ya wananchi wengine litakuwa vindicated.

Kama kuna wanachi wenye uwezo kwenye sector ya gas, kwa nini wasiende kwenye tovuti hii na kununua form za tender,

The 4th Tanzania Offshore Licensing Round
 
Mwaka 1994, alitoa kauli zake zenye sumu ya ubaguzi pale alipodai kwamba sehemu kubwa ya maeneo ya katikati ya Jiji la Dar es Salaam inakaliwa na Watanzania wenye asili ya Kiasia na kwamba “wazawa“ hawapo katika maeneo hayo. Aliyekuwa Rais wakati huo, Mzee Ali Hassan Mwinyi, akamuagiza Waziri aliyekuwa akishughulikia masuala ya ardhi, Mheshimiwa Edward Lowassa, kumpatia Mengi eneo kubwa la ardhi katikati ya jiji karibu na ilipo International House. Lakini mara tu alipopewa eneo hilo akaliuza kwa Fida Hussein, mfanyabishara Mtanzania mwenye asili ya Kiasia.

Na sasa analaumu wazawa hawana umiliki wa gesi, akipewa atauza tena kwa hao ambao sio wazawa. "wazawa" Mengi ni janga la taifa kama majanga mengine

Huyu bwana mlalamishi sana alishaambiwa kama anaomtaji aende TPDC kushindana. Sasa atuambie vp alienda wamemnyima? Amezoea kugombana na mawaziri ndiko anakozidi kujijenga.
 
Fox, Je wachimba chumvi wakiombewa kuwezeshwa Mengi anahusika vipi? Kuwezesha wazawa sifikiri kuna mhusu Mengi. Itengenezwe sera ya kuwawezesha wazawa. Inapoongelewa sera hii kutimizwa kwa ukamilifu tusiangalie nani ni nani ila tusikilize anasema nini.

Leo ukienda nyarugusu, kahama, Mtara wananchi ni masikini sana wana madini na gas ila wameachwa masikini. Mikataba inavyochorwa haiwalindi wazawa na wenyeji wa sehemu husika kama ilivyo mikaba ya oil and gas, plus mineral duniani.

Hii hoja nafikiri inafasi sana kujadiliwa badala ya sisi kujiingiza kwenye Ugomvi wa Mengi na Mhongo na mtu yeyote yule. Je tutafaidikaje sisi wasaka nyoka? Je kwasababu tayari Waziri anaamini kwamba Mengi anajipigia debe mwenyewe hivyo adhabu tupewe wote na gas na mafuta kuchukuliwa na wageni tu eti sababu hatuna uwezo? Norway ilivyogundua oil and gas ilikuwa na uwezo? Je Angola milikuwa na uwezo? wenzetu walifanyaje kuwezesha watu wo. Mengi is almost 80 years old. Mimi namwona kwasasa akiongea anaongelea Tanzania ya miaka 10 au 20 ijayo kwa umri wake atakuwa mzee sana tukianza kula fedha ya ukweli ya gas.

Tukiachwa leo nyuma kwenye huu uwekezaji, serikali isipoona kuna haja ya msingi kuwaingiza wazawa wengi kwenye hii sekta, tutazalisha vikundi vya masikini wenye hasira sana ndani ya hii nchi.
nafikiri watu tuna changanya mambo, kwanza mimi nilimsikia Mbatia akitaja hoja ya Muhongo vs Mengi, kwenye debate ya Chumvi, lakini ni vizuri kama mtu ata echo, hayo maneno ya Muhongo kwenye debate ya chumvi kwanini alimuingiza Mengi , au Mengi naye ni mdau kwenye chumvi, au ali reflect hilo na debate zilizopita za kwenye Gesi?
Ukija kwenye suala la uwekezaji wa wazawa i.e mimi na wewe ni vizuri kwanza tukawa na background ya huo mradi, yaani zamani tulikuwa tuna mgodi wa chumvi mfano ya mawe enzi zile sasa tunataka kwenda next level, hapo serikali au bank zinaweza kukusaidia iwe ni individualy au kwa vikundi kama wanavyo jaribu kuwa wezesha wajenzi, au leo hii tuna zungumzia wavuvi na wachungaji ngombe na kadhalika nitakuelewa.
ukija kwenye gesi na petrol na madini mengine, kama hatuja ujuzi au mitaji, serikali inaweza kutushirikisha kwa kuweka sheria zinazo mbana muwekezaji kutoa elimu na kuajiri locals, nyingine ni kutoa other services, mfano supply of petrol, stationery, spares, chakula , usafiri iwe ma lorry au mabasi ya wafanyakazi , masharti ya faida kuwekezwa locally, kuzuia ukwepaji kodi, lakini nature ya viongozi na wafanya biashara ya watanzania wengi ni ku-take advantage ya watu wasio elewa au wasio na uthubutu wa kufanya vitu fulani. ndio hao walio uziwa ranch lakini ngombe hawana au uwezo hawana, wengine mikopo ya viwanda vya nyama ambao wameshindwa kulipa matokea yake mimi na wewe tuna lipa kwa niaba ya hao wawekezaji wazawa/wa nje, kuna wengine leo tena mbunge anazungumzia yeye kuwa middle men wa kuuza ngombe akizitoa kwa wasukuma na wamasai, then yeye awanenepeshe then auze iwe ulaya/saudi arabia au kwenye soko la ndani, bila kufikiria yeye kama mbunge au kiongozi jukumu lake ni kumuelekeza huyu mfugaji njia bora za kuongeza thamani ya wale ngombe kabla ya kuuza. na utaona sehemu zote za s'wanga, katavi, lindi, mtwara, shinyanga , tabora, mwanza, arusha, singida, dodoma, morogoro kuna watu wame take advantage ya wazawa wasio na uelewa kujitajirisha na si kwa juhudi binafsi.
kwa hiyo hii concept ya kusaidiwa wazawa lazima tuiangalie kwa undani si juu juu tu
 
Wazawa wameambiwa waende kufanya nini huko TPDC?

Mapato ya taifa kwasasa yanafujwa, angalia TRA, tanesco nk, utofauti utatoka wapi inapokuja kwa TPDC?

Wataokubaliana na hili, basi siyo tu kwamba wananufaika na 10 percent, bali lazima ndo mnaofuja pesa za serikali, acheni ujinga!Mjadala wa kuhakikisha wananchi wanafaidika na rasilimali zao hauwezi kukwepeka!

TRA, Tanesco kote mapato yanapatikana, mnayafanyia nini mapato hayo hadi tukubali kuhusu TPDC?

Na TPDC inamiliki asilimia ngapi kwenye uwekezaji huo? I mean Capital investment.Kama TPDC inamiliki lets say 30%,kampuni ya nje inamili zilizobaki(70%), uwiano huo siyo mzuri kwetu endapo makampuni hayo hayauzi hisa zake nchini.Wananchi watanunuwa hisa lakini hawafaidiki na rasilimali vile inavyotakiwa.Tutakuwa hatuna sauti kwenye uwekezaji kwa asilimia 70, kwa maana hatunufaiki nazo!

Tunataka tuone manufaa haswa Ikiwemo upatikanaji wa kazi pamoja na ukuaji wa uchumi.Bila kusahau miundo mbinu ya kufacilitate uwekezaji kwenye sekta ya biashara kwa ujumla for the sake of economy and our people!

Kama umilikaji utashikiliwa na makampuni ya nje kwa asilimia kubwa, na huku makampuni hayo hayauzi hisa kwa wananchi, hilo ndilo wengine hatukubaliani nalo.Tatizo mmegeuza issue hii kuwa ni Mengi vs Muhongo, where as kiukweli ni zaidi ya hao wawili, Its about our nation and the future generation!

Mkuu Mushi, umesema yale ambayo wengine tumeshindwa kuyaweka kwa maandishi.
Hoja yako ina mashiko; washabiki na wenye maneno mengi hapa wameikwepwa.
Nafikiri na wewe utakuwa umerogwa, unachotakiwa ni kuwatetea wazawa na si mengi. Na kama inatetea wazawa kuna TPDC na Stamico, na kama huna imani nayo basi tuanzishe nyingine kama NICO???
Lakini anacho kitetea Mengi ni nafsi yake na Kikundi fulani? Sasa hapo wewe utafaidika vipi? NA kama Mengi ana watetea wazawa , basi turudi kwenye Policy za Nyerere mpaka hapo mashirika/makampuni hayo yakisimama vizuri shares au hisa ziuzwe kwenye soko la mitaji, hivyo ndio utakuwa umemkomboa mzawa. Mwl alisema ujinga wenu mmeacha mazuri mkabeba mabaya yetu badala ya kuya sahihisha. Play your part Technology

Mkuu August, unaamini mashirika yatasimama siku moja?! Seriously?!
Ni mashirika yepi hayo unamaanisha?
Yauzwe, yaanguke, yafilisiwe kwanza ndio yaje siku moja kusimama? Inawezekana kweli?
Fox, Je wachimba chumvi wakiombewa kuwezeshwa Mengi anahusika vipi? Kuwezesha wazawa sifikiri kuna mhusu Mengi. Itengenezwe sera ya kuwawezesha wazawa. Inapoongelewa sera hii kutimizwa kwa ukamilifu tusiangalie nani ni nani ila tusikilize anasema nini.

Leo ukienda nyarugusu, kahama, Mtara wananchi ni masikini sana wana madini na gas ila wameachwa masikini. Mikataba inavyochorwa haiwalindi wazawa na wenyeji wa sehemu husika kama ilivyo mikaba ya oil and gas, plus mineral duniani.

Hii hoja nafikiri inafasi sana kujadiliwa badala ya sisi kujiingiza kwenye Ugomvi wa Mengi na Mhongo na mtu yeyote yule. Je tutafaidikaje sisi wasaka nyoka? Je kwasababu tayari Waziri anaamini kwamba Mengi anajipigia debe mwenyewe hivyo adhabu tupewe wote na gas na mafuta kuchukuliwa na wageni tu eti sababu hatuna uwezo? Norway ilivyogundua oil and gas ilikuwa na uwezo? Je Angola milikuwa na uwezo? wenzetu walifanyaje kuwezesha watu wo. Mengi is almost 80 years old. Mimi namwona kwasasa akiongea anaongelea Tanzania ya miaka 10 au 20 ijayo kwa umri wake atakuwa mzee sana tukianza kula fedha ya ukweli ya gas.

Tukiachwa leo nyuma kwenye huu uwekezaji, serikali isipoona kuna haja ya msingi kuwaingiza wazawa wengi kwenye hii sekta, tutazalisha vikundi vya masikini wenye hasira sana ndani ya hii nchi.

Hii ndio hoja ya Mbatia. Amegomba sera ya kushirikisha wazawa (ambayo ipo, tena kwenye ilani ya MaCCM) kutokuzingatiwa kwa sababu ya bifu lake (Muhongo) na Mengi.
Mashaka yangu yako kwa huyo ambaye yuko nyuma ya Muhongo, kwani kila akisimama kujieleza, huwa anatokwa na povu jingi na mzuka wa hali ya juu.
 
Hapana baba yangu nimekataa kutoa kitu kidogo. Mana ndo wanachodai sisi wasalendo tutowe sasa mimi hii nnji sijui sisi wawekesaji wasawa wanataka tutoe kitu kidogo kama hawa wasee wa UK ndio ugomfi wetu tuu wanangu.
 
nafikiri watu tuna changanya mambo, kwanza mimi nilimsikia Mbatia akitaja hoja ya Muhongo vs Mengi, kwenye debate ya Chumvi, lakini ni vizuri kama mtu ata echo, hayo maneno ya Muhongo kwenye debate ya chumvi kwanini alimuingiza Mengi , au Mengi naye ni mdau kwenye chumvi, au ali reflect hilo na debate zilizopita za kwenye Gesi?
Ukija kwenye suala la uwekezaji wa wazawa i.e mimi na wewe ni vizuri kwanza tukawa na background ya huo mradi, yaani zamani tulikuwa tuna mgodi wa chumvi mfano ya mawe enzi zile sasa tunataka kwenda next level, hapo serikali au bank zinaweza kukusaidia iwe ni individualy au kwa vikundi kama wanavyo jaribu kuwa wezesha wajenzi, au leo hii tuna zungumzia wavuvi na wachungaji ngombe na kadhalika nitakuelewa.
ukija kwenye gesi na petrol na madini mengine, kama hatuja ujuzi au mitaji, serikali inaweza kutushirikisha kwa kuweka sheria zinazo mbana muwekezaji kutoa elimu na kuajiri locals, nyingine ni kutoa other services, mfano supply of petrol, stationery, spares, chakula , usafiri iwe ma lorry au mabasi ya wafanyakazi , masharti ya faida kuwekezwa locally, kuzuia ukwepaji kodi, lakini nature ya viongozi na wafanya biashara ya watanzania wengi ni ku-take advantage ya watu wasio elewa au wasio na uthubutu wa kufanya vitu fulani. ndio hao walio uziwa ranch lakini ngombe hawana au uwezo hawana, wengine mikopo ya viwanda vya nyama ambao wameshindwa kulipa matokea yake mimi na wewe tuna lipa kwa niaba ya hao wawekezaji wazawa/wa nje, kuna wengine leo tena mbunge anazungumzia yeye kuwa middle men wa kuuza ngombe akizitoa kwa wasukuma na wamasai, then yeye awanenepeshe then auze iwe ulaya/saudi arabia au kwenye soko la ndani, bila kufikiria yeye kama mbunge au kiongozi jukumu lake ni kumuelekeza huyu mfugaji njia bora za kuongeza thamani ya wale ngombe kabla ya kuuza. na utaona sehemu zote za s'wanga, katavi, lindi, mtwara, shinyanga , tabora, mwanza, arusha, singida, dodoma, morogoro kuna watu wame take advantage ya wazawa wasio na uelewa kujitajirisha na si kwa juhudi binafsi.
kwa hiyo hii concept ya kusaidiwa wazawa lazima tuiangalie kwa undani si juu juu tu
Tatizo letu tunakuwa warahisi sana kuingizwa kwenye mambo ambayo hayatuhusu. Ugomvi wa Mengi na Muhongo hautuhusu kinachotuhusu sisi ni jinsi gani tutafaidika na rasilimali zetu. Tukitumia akili kidogo hapo ndipo sehemu tunahitaji kumsikiliza mengi na muhongo na kuona nani ana make sense.

Pili Mfanyabiashara siku zote anatafuta faida, hata hayo makampuni makubwa ambayo Muhongo anayapigia chapuo huuza vitalu pale yanapoona yanatengeneza fedha yakiuuza au huuza yakiona biashara sio nzuri. Udalali ni neno tu linalotumika vibaya kwenye biashara kila mtu au kampuni ni dalali.

Kina Muhongo kama serikali inabidi wawe na sera nzuri za uwekezaji zitakazo mnufaisha mwananchi. Ndio tuna TPDC ila haitoshi inabidi kuangalia uchimba huu unamfanya vipi mtanzania kunufaika na hizi rasilimali kama nchi za Norway, Angola, South Africa, Nk kwingineko.

Kuhusu watu kupewa vitalu, mikopo, na serikali na kusepa hiyo ni tatizo la serikali yetu dhaifu. Narudia mfanya biashara bila policy na ufutaliaji wa karibu pamoja na adhabu za ukweli pale wanapokwenda kinyume cha makubaliano, sheria nk hata aje nani atatupiga. Nchini USA hawana makampuni ya serikali kama nchi nyingi duniani zinavyofanya, ila kila mfanyabiashara anajua nini atakipata akicheza na mkata au makubaliaona, na ni pamoja na kulipa kodi, na sheria za mji au kijiji husika.

Tujikite zaidi kwenye malia asili zetu, Muhongo na Mengi kesho hawapo ila sisi na haya madini, gas, mafuta, wanyama, chumvi tutakuwepo. Je tupo tayari kuwa vibarua kwenye nchi yetu? Tofauti ya hili linalofanyika na ukoloni ni nini? Walikuja wakoloni wakatulimisha mkonge, pamaba, kahawa, nk wakavichukua wakapeleka kwao wakajiendeleza wakarudsha bidhaa zilizokwisha tengenezwa wakatuuzia tukatumia zile fedha zao walizotulipa kufanya vibarua kuwalipa zikaenda kwao tena tukaendelea kuwa masikini.

Leo tunakumbatia ubeberu huku tukiaminisha sisi ni duni hatujiwezi, hatuwezi kuwekeza wala ksuhiriki uwekezaji. Je Serikali inasemaje kuhusu kuwekeza kwenye elimu ya mafuta na gas, madini na utalii?

Lazima wananchi wahusishwe moja kwa moja kwenye hili, fedha nyingi huwa zinatumika kwenye kulipa mishahara na huduma za jamii, je wangapi wameandaliwa kwenye sector hii kiajira, kielimu nk. Tunaposema wazawa washirikishwe ni pamoja na utaalamu, ushiriki katika huduma, uchumbaji, nlk
 
Inasikitisha kuona watu wanavyoongea dhidi ya muhongo, hasa magazeti ambayo yameyapa kisogo mambo muhimu Na kumshanikia mengi. Kama Kuna mtu aliangalia ule mdahalo waliofanya pamoja, waziri alikuwa na facts ambazo ziliwaumbua mengi na wenziwe, na alionesha vizuri jinsi gani wazawa wenuewe wanavyoimaliza nchi hii na wakina mengi wakaomba wapewe wiki moja iliwajibu hizo tuhuma, matokeo take ameishia kumshambulia waziri kana kwamba anawabania wazawa kupitia vyombo vyake. Anatakiwa atufafanulie marejesho anayofanya kwa taifa hili kupitia uwekezaji wake hasa madini, na ardhi, kisha amshambulie waziri. Na ieleweke kwamba wazawa hawajazuiliwa kuwekeza ila kwenye uwezo akanunue data, na gharama za hizo data ziliainishwa kuonesha zinavyofika around 11Bil. USD Dollars, na huo ndo utaratibu uliofanyika kwa nchi zinazozalisha mafuta kwa sasa. Mfano stateoil ya Norway, CNOCC ya china, gazprom ya urusi n.k ambazo zinazosimamia uzalishaji na utafiti wa mafuta kwenye nchi zao, so kwa tz Ni tpdc inatakiwa hilo jukumu la kuingia ubia na private company na si kina mengi ambao wachukue chao afu kijipande wagawe kwa nchi.
 
Sio kweli mengi ni mtu mwenye tamaa sana inasemekana hata wafanyakazi wake wengi wao ni vibarua tu hawaajiriwi yeye mwenyewe ni dhulumati halafu utamwona anaandaa pilau na kuwakusanya walemavu ili aonekane ni mwema sana.....Kinachomsaidia mengi ni vyombo vyake vya habari na amejipenyeza mahala pengi kumwaga fitna
Hawa ma tycoon wa kibongo wengi wao ni dhulumati,hebu pia fikiria wafanyakazi wa makampuni haya ya matajiri kama vile Caspian( Rostam),Azam,mishahara wanayolipa wafanya kazi wao ambao ndio wana henyeka na kuwatajirisha ni aibu wengi wao wanapata per day ya TZS 8000 na hapo ni kila kitu ndio mwisho,halafu wakati wowote ni kama umekalia kuti kavu waweza pigwa teke.
 
Wewe --------- na muhongo ili kupotosha ukweli wazawa wanaouwezo wa kuwekeza!

Uwezo upi?uwezo gani?kama kuna mzawa anaweza aende tpdc. Nimekwambia gesi sio karanga wala viazi kwamba inachimbika kirahisi.

Uchimbaji wa gesi unahitaji mabilioni ya dola,hakuna mzawa mwenye huo uwezo. Wewe unaongea kishabiki kua wanaweza,uwezo huo uko wapi. Acha hisia leta facts wa uwezo wao.
 
Mengi Hana maana katika nchi hii kwani Hana msaada wowote kwanza mke Wake mama Regina yupo wapi?
 
​

Mkuu Mushi, umesema yale ambayo wengine tumeshindwa kuyaweka kwa maandishi.
Hoja yako ina mashiko; washabiki na wenye maneno mengi hapa wameikwepwa.

​

Mkuu August, unaamini mashirika yatasimama siku moja?! Seriously?!
Ni mashirika yepi hayo unamaanisha?
Yauzwe, yaanguke, yafilisiwe kwanza ndio yaje siku moja kusimama? Inawezekana kweli?

​

Hii ndio hoja ya Mbatia. Amegomba sera ya kushirikisha wazawa (ambayo ipo, tena kwenye ilani ya MaCCM) kutokuzingatiwa kwa sababu ya bifu lake (Muhongo) na Mengi.
Mashaka yangu yako kwa huyo ambaye yuko nyuma ya Muhongo, kwani kila akisimama kujieleza, huwa anatokwa na povu jingi na mzuka wa hali ya juu.
iwe shirika binafsi au la umma kinachokosekana tz ni uongozi bora na kutosimamia sheria.
Sasa mashirika au makampuni ya mengi mbona hatuyaoni yakijitanua zaidi , badala yake yana sinyaaa, licha ya tax holiday, exemptions n.k.
alianzisha bingo ikashindwa, just to mention a few
 
Mengi ni fisadi mkubwa sana sema watanzania wengi hawajui. Mengi ni kama kupe anaewanyonya watanzania bila wao kujijua,ni kama panya,anauma na kupuliza. Nilishangaa kwa nini Dr slaa hakumtaja kwenye orodha yake ile ya mwembe yanga. Na hata sasa nashangaa kwa nini hatajwi kwama mwizi,mzulumaji wa watanzania. Fisadi sio lazima awe mwanasiasa tu,hata wafanyabiashara kama mengi. Huwezi kua na akili timamu ukamtetea Mengi.
 
Halafu watu hamuelewi hizo fedha anazotoa kwa wale mavu ni tax exempted or say allowable deduction kwenye tax, hivyo in directly ni sisi sisi tulio wasaidia hao walemavu, jamaa anajua kucheza na akili za watu wasio fikiria kwa kina
 
Mengi ni mtu mmoja mwenye tamaa sana sijapata kuona. Halafu ni mnafik, eti anatumia kibwagizo cha uzawa ili apate sympathy.

Muhongo uzuri wake anampa za uso waziwazi.

Mengi kishakorofishana na kila mtu ambae anaona kwanini huyu kwanini siyo "mimi". Ana ubinafsi, uchoyo na roho mbaya sana. Hata sura yake inaonesha.

Acha chuki binafsi. Yaani unaangalia sura ya mtu kujua kama ni mbinafsi na hata wanufaisha watanzania wenzake. Mbona nimemuona mengi akichangia ujenzi wa shule kibao hata ya mama kikwete. Tatizo hamthamini michango ya kujenga shule ila mnathamini mtu akiwafuturisha.
 
Mengi anataka kutuibia kwa ,hana hela ya kuwekeza ,anataka apewe kitalu kisha ,akiuze kwa wawekezaji . Mengi ni mnafiki. Ukiwa masikini unaona wote ni masikin je una ushaidi wa haya maneno yako? Mengi unanjua we?

Acheni wivu wakijinga. Kama mnaona mengi anataka kufanya udalali akipewa kitalu simuweke sera za uwekezaji ambazo zitazuiya udalali. Sera zenyewe mmezi tengenza kiuni bila kuwa na mjada wa wananchi wakutosha alafu mnaarakisha kuuza vitalu. Tatizo sio mengi kuwa dalali bali ni serekali hii kutaka kufanya udalali pekeyake na kupewa 10% ambazo mengi hatoi. Mbona makampu muliyoyapa vitalu yanafanya udalali ma juzi tu moto mabanga alilalamika kampuni aliyoisaidia kupata kitalu haikumpa shea yake baada ya kuuza kitalu. Sasa huo sio udalali?
 
Halafu watu hamuelewi hizo fedha anazotoa kwa wale mavu ni tax exempted or say allowable deduction kwenye tax, hivyo in directly ni sisi sisi tulio wasaidia hao walemavu, jamaa anajua kucheza na akili za watu wasio fikiria kwa kina

Watu hawaelewi hilo,wanajua anatoa kwa moyo kabisa tena kwa maumivu kuwasaidia walemavu na yatima. Kumbe mwishoni anaifanyia deductions kama donations to cheritable organizations.

Yani Dr anacheza na akili za watu wajinga na anajua kuwapumbaza sana. Dr hana la maana nchi hii..
 
Toa jina tukujue wewe unaeshangilia watu wa nje tu kuwekeza tz huo ni utumwa wa fikra na ndio utumwa mkubwa zaidi duniani
Vibaraka wa mengi utawajua tu mengi mwizi kama wezi wengine kwa kutumia mwamvuli wa wazawa na uzalendo hana lolote kabisa.
 
Watu hawaelewi hilo,wanajua anatoa kwa moyo kabisa tena kwa maumivu kuwasaidia walemavu na yatima. Kumbe mwishoni anaifanyia deductions kama donations to cheritable organizations.

Yani Dr anacheza na akili za watu wajinga na anajua kuwapumbaza sana. Dr hana la maana nchi hii..
very cheap professor!banking on wazunguu!TZ is for watanzania no reciprocation...
 
Back
Top Bottom