Ugomvi wa Mengi na Prof. Muhongo nani msuluhishi?

Ugomvi wa Mengi na Prof. Muhongo nani msuluhishi?

Mkuu nimeongea kiswahili wewe ukajibu kiingereza, inaonekana unaweza kusoma kiswahili but huwezi kuandika kiswahili, you have to embrace your mother tongue, ok, what point am I missing? TPDC is controlling our gas and oil reserves and it is working hard to attract investment but it is being frustrated by some greedy people with selfish agendas.

You are good in arguing (reactive, erratic) but [very] poor in thinking. In my opinion, it will take ages for you to understand Mr. Mengi's thesis and therefore, I call it quits.
 
ukitaka jina ntakwambia ila uniambie kwa nini unalitaka.

Sio kweli kua natetea wawekezaji wa njee ila penye ukweli lazma tuwe wakweli tuache unafiki. Kama mahitaji/vigezo vya kua mwalimu wa chuo kikuu ni kuanzia digrii ya uzamivu(phd) wewe umemaliza darasa la saba au form 4 hiyo kazi unaitaka wakati vigezo huna ukinyimwa ulaumu,ulie kwamba mzawa unanyimwa fursa??.

Imeonekana kitaalam mahitaji ya kifedha(financial resources) ya uvunaji wa gesi hakuna mtanzania anaweza kukidhi vigezo,sasa wakipewa watafanyaje kuvuna hiyo gesi?. Wanataka,hasa mengi apewe kisha awe dalali,akatafte wawekezaji. Huo utakua ni ujuha kama tunaweza kufanya uwekezaji wa aina hiyo.

Wewe niambie wazawa wakishapewa vitalu hiyo gesi wataivunaje wakati hawana hela? Tusipende kulaumu upuuzi.

Alishapewa akawa DALALI au Mengi ni DALALI??
 
Tunampa guarantee, anakopa anakwenda baharini kudril anakosa, nani atalipa?

Mkuu katika kuwekeza ni kucheza na kitu kinaitwa Risks and Opportunity Cost!! Kwa mantiki hii we always guided with assumptions na kwa mwekezaji ni lazima uwe na assupmtions optimistic and not pessimistic vinginevyo kila mtu angeogopa kuwekeza. Hivyo wawezeshwe tu. Pia wakinunua vitalu si lazima wao wawekeze moja kwa moja!!! Kuna tena wao kutafuta shareholders wengine and business goes on.
 
Mkuu, ukurasa wa FORBS unaonyesha Mengi ana nusu bilioni ya Dola ($). Hizi zinatosha sana kuwekeza kwenye Gas hadi kuchimba kama ulimsikiliza Muhongo. Hivyo kama akiungana na wengine wawili, watakuwa na fedha ya kutosha kuwekeza hadi kuchimba kwenye Gas, hilo halina ubishi.

Ila nakubaliana na Muhongo kuwa Mengi ana historia mbaya sana ya wizi kwa kutumia neno Mzawa. Hata kama ningelikuwa mimi ni Waziri, ningelikaa naye mbali kabisa. Kazurumu hadi watu binafsi na ni mtu hatari sana.

Muhongo ukiacha lugha yake ya dharau, ndiye waziri sahihi kuwa Tanzania kwenye hiki kipindi cha mchakato wa GAS. Lugha yake inaonyesha siku zote kuwa hajui SIASA na hiyo ndiyo nafuu ya Tanzania. Angelikuwa Mwana Siasa, sasa hivi tayari angelikuwa anaelekea kuwa Bilionea.

Muhongo ameonyesha faida ya kuwa na Mawaziri wasio WANA SIASA. Long live Prof. Muhongo ingawa sifurahishwi sana na lugha yako. Ila Watanzania wana shida ya kuondolewa umasikini na si LUGHA NZURI. Nitakuvumilia.
Mengi anataka kutuibia kwa kisingizio cha uzawa,hana hela ya kuwekeza kenye gesi,anataka apewe kitalu kisha awe dalali,akiuze kwa wawekezaji wengine. Mengi ni mnafiki. Prof Mhongo komaa,nakuombea Mungu akupe nguvu na afya,akulinde..

Imeishaonekana kitaalam hela inayohitajika kwenye uwekezaji mengi hana hata robo,sasa analia nini?anataka matakwa yake binafsi ionekane ni matakwa ya watanzania wote. Mengi kafie mbele,serikalini wanamjua ni mnafiki mkubwa,hana la maana.

Sasa amebaki kuwahonga wabunge wenye njaa kama mbatia wakajiropokee bungeni ili ionekane anaonewa. Watu wenye akili hili wanalijua.
 
Mengi hataki kuambiwa ukweli alishagombana na Waziri Masilingi, Waziri Masha, Malima, Manji na Jenerali Ulimwengu kwa sababu walimwambia ukweli. Mengi anapenda kunyenyekewa hata kama anavyofanya sivyo. Huyu mzee ni pasua kichwa asitupotezee muda wetu.
 
Mkuu, ukurasa wa FORBS unaonyesha Mengi ana nusu bilioni ya Dola ($). Hizi zinatosha sana kuwekeza kwenye Gas hadi kuchimba kama ulimsikiliza Muhongo. Hivyo kama akiungana na wengine wawili, watakuwa na fedha ya kutosha kuwekeza hadi kuchimba kwenye Gas, hilo halina ubishi.

Ila nakubaliana na Muhongo kuwa Mengi ana historia mbaya sana ya wizi kwa kutumia neno Mzawa. Hata kama ningelikuwa mimi ni Waziri, ningelikaa naye mbali kabisa. Kazurumu hadi watu binafsi na ni mtu hatari sana.

Muhongo ukiacha lugha yake ya dharau, ndiye waziri sahihi kuwa Tanzania kwenye hiki kipindi cha mchakato wa GAS. Lugha yake inaonyesha siku zote kuwa hajui SIASA na hiyo ndiyo nafuu ya Tanzania. Angelikuwa Mwana Siasa, sasa hivi tayari angelikuwa anaelekea kuwa Bilionea.

Muhongo ameonyesha faida ya kuwa na Mawaziri wasio WANA SIASA. Long live Prof. Muhongo ingawa sifurahishwi sana na lugha yako. Ila Watanzania wana shida ya kuondolewa umasikini na si LUGHA NZURI. Nitakuvumilia.

Mkuu nashukuru kwa maelezo yako mazuri kiongozi. Unakubaliana na wengi kua mengi ni fisadi mkubwa anaeibia watu kwa mgongo wa uzawa. Hana usafi wala upendo wowote kwa watanzania kama anavyotaka aonekane,ni fisadi kama mafisadi,wanyonyaji na wezi wengine.

Unamisi pointi ndogo mkuu. Kujenga kiwanda yan plant ya kuchimba gesi na kusambaza inahitaji zaidi ya $ 10 billioni cash,karibu budget ya tz. Mengi ana net worth $550 milioni. Hata waungane 15 hawawezi mkuu. Nadhan umeelewa logic hapo. Mengi na wazawa wenzake wanalaumu bure,uwezo haupo hata kama watapewa vitalu bure,uchimbaji utawashinda,watalazmika kwenda kutafta wawekezaji nje wakubwa,huo ni udalali mkuu ambao haukubaliki.
 
Mengi anataka kutuibia kwa kisingizio cha uzawa,hana hela ya kuwekeza kenye gesi,anataka apewe kitalu kisha awe dalali,akiuze kwa wawekezaji wengine. Mengi ni mnafiki. Prof Mhongo komaa,nakuombea Mungu akupe nguvu na afya,akulinde..

Imeishaonekana kitaalam hela inayohitajika kwenye uwekezaji mengi hana hata robo,sasa analia nini?anataka matakwa yake binafsi ionekane ni matakwa ya watanzania wote. Mengi kafie mbele,serikalini wanamjua ni mnafiki mkubwa,hana la maana.

Sasa amebaki kuwahonga wabunge wenye njaa kama mbatia wakajiropokee bungeni ili ionekane anaonewa. Watu wenye akili hili wanalijua.

Mengi anawakilisha TPSF yenye vichwa hasa na wanajua wanachokihoji kwa mustakabali wa nchi hii.
 
Kila mmoja aandae andiko lake kitaalamu ili hatimaye maandiko yao
yapitiwe na jopo la wataalam kwa uamuzi.

Maelezo ya jumla jumla pekee juu ya umiliki wa rasilimali kwa wananchi
bila andiko lolote si hoja,au maelezo ya jumla jumla eti watanzania hawawezi
kumilikishwa rasilimali zao bila uthibitisho wowote si hoja.

Uzuri wote hawa ni wasomi waliobobea kila mmoja ajikite katika maelezo ya
kisomi kwa maandishi na si majukwaani kana kwamba wao ni wanasiasa.

Usuluhishi hapa ni rahisi sana kwanza wote waache kubezana
pasipo facts na kama wanazo facts basi wazifanzie maandiko
na ikiwezekana zipitiwe na wataalamu pamoja na watunga sera.

Si sawa hata kidogo kwa wafanyabiashara kutumia mgongo wa
watu maskini kujitajirisha na si vema pia kwa wanasiasa wasomi
kukataa ukweli wa kisomi kwa mashinikizo ya kisiasa na kuwasaliti
watu wao.
 
You are good in arguing (reactive, erratic) but [very] poor in thinking. In my opinion, it will take ages for you to understand Mr. Mengi's thesis and therefore, I call it quits.

Arguing in English in a swahili thread is one of the symptoms of an enslaved mind.
 
Prof Muhongo,endelea kufanya kazi kwa weledi,hujui siasa na usiweke siasa,nchi hii inahitaji viongozi aina ya Prof Muhongo wanaosema A ni A na B ni B wala hakuna kupindisha
 
Nilitegemea ukabila utakuwa ni sababu! Mijitu mengine bwana. Huwezi ukaliona jambo kama jambo ni lazima utupie huko ukabila, udini na pengine ujisia! Bure kabisa!

Lakini kwa uhakika, Muhongo ni adui namba wani wa Taifa! Hivi pamoja na mishahara haba kule IPP, ni nani anaweza kubishia kwamba Mengi katatua matatizo ya ajira kuliko wawekezaji wengi nchini? Muhongo ametusaidia nini? Kututukana? Ana nia ambacho anachoweza kujivunia taifa hili tukamwona mwenzetu? Angekuwa ni Mzee Bakheresa ana bifu na MENGI INGEKUWA TOFAUTI, LAKINI SIO HUYO MALAYA WA KITALUMA!
Hao wafanyakazi wa media companies zake wamechoka na ndala mbovu, studio wanaazimwa makoti na nguo ili raia tuwaone wanawake, kumbe nje wanagombania mihogo ya kuchoma, narudia wachagga wana shetani la kitapeli kama mateja, au tujikumbushe makampuni na mashirika ya ummah wa watanzania yaliyoharibiwa na wachagga?
 
Watanzania sijui mmelogwa?Lini mtakuwa wajanja kama majirani zenu?Mimi bado ninamtetea Mengi na hoja yake ya Wazawa wamiliki vitalu vya gesi na mafuta,Najua Watanzania wengi hawana uwezo wa kumiliki hivyo vitalu hivyo ushauri wangu ungekuwa hivi;Ianzishwe kampuni ya umma ambayo itamilikiwa na Watanzania mbalimbali kupitia ununuzi wa hisa kisha hiyo kampuni iingie kwenye umiliki wa vitalu vya gesi na mafuta;Wafanyabiashara wakubwa wazawa wa nchii waunganishe nguvu kwa kuunda kampuni moja itakayojihusisha na gesi na mafuta;Na serikali iwadhamini/iwafadhili Wazawa katika kumiliki vitalu na hatimaye kuchimba mafuta na gesi.Tunajua kuwa Watanzania wengi hawana uwezo wa kuchimba mafuta na gesi hivyo watalazimika kuingia ubia na makampuni ya nje yenye kujihusisha na shughuli za uchimbaji mafuta na gesi.Hapa Wazawa watamiliki vitalu wakati Wageni watamiliki teknolojia na biashara itafanyika.Hata hili nalo ni gumu kufanyika isipokuwa kuwapa Wageni umiliki wa rasilimali zetu kwa 100%?
Nafikiri na wewe utakuwa umerogwa, unachotakiwa ni kuwatetea wazawa na si mengi. Na kama inatetea wazawa kuna TPDC na Stamico, na kama huna imani nayo basi tuanzishe nyingine kama NICO???
Lakini anacho kitetea Mengi ni nafsi yake na Kikundi fulani? Sasa hapo wewe utafaidika vipi? NA kama Mengi ana watetea wazawa , basi turudi kwenye Policy za Nyerere mpaka hapo mashirika/makampuni hayo yakisimama vizuri shares au hisa ziuzwe kwenye soko la mitaji, hivyo ndio utakuwa umemkomboa mzawa. Mwl alisema ujinga wenu mmeacha mazuri mkabeba mabaya yetu badala ya kuya sahihisha. Play your part Technology
 
ukitaka jina ntakwambia ila uniambie kwa nini unalitaka.

Sio kweli kua natetea wawekezaji wa njee ila penye ukweli lazma tuwe wakweli tuache unafiki. Kama mahitaji/vigezo vya kua mwalimu wa chuo kikuu ni kuanzia digrii ya uzamivu(phd) wewe umemaliza darasa la saba au form 4 hiyo kazi unaitaka wakati vigezo huna ukinyimwa ulaumu,ulie kwamba mzawa unanyimwa fursa??.

Imeonekana kitaalam mahitaji ya kifedha(financial resources) ya uvunaji wa gesi hakuna mtanzania anaweza kukidhi vigezo,sasa wakipewa watafanyaje kuvuna hiyo gesi?. Wanataka,hasa mengi apewe kisha awe dalali,akatafte wawekezaji. Huo utakua ni ujuha kama tunaweza kufanya uwekezaji wa aina hiyo.

Wewe niambie wazawa wakishapewa vitalu hiyo gesi wataivunaje wakati hawana hela? Tusipende kulaumu upuuzi.

Wewe hujiu uwekezaji na naamini umeajiriwa mahali tu. Wafanyabiashara wazawa kama Mengi, Bakresa n.k. si lazima wawe na cash yote ndiyo wawekeze kama Muhongo anavyohubiri. Uwekezaji wao mpya unawezekana kwa kutumia mtiririko wa biashara zao za sasa.
 
Mkuu katika kuwekeza ni kucheza na kitu kinaitwa Risks and Opportunity Cost!! Kwa mantiki hii we always guided with assumptions na kwa mwekezaji ni lazima uwe na assupmtions optimistic and not pessimistic vinginevyo kila mtu angeogopa kuwekeza. Hivyo wawezeshwe tu. Pia wakinunua vitalu si lazima wao wawekeze moja kwa moja!!! Kuna tena wao kutafuta shareholders wengine and business goes on.
Risk and Opportunity ya nini? akitaka afungue kiwanda cha saruji kama Dangote asilete ujanja ujanja wake hapa ameshtukiwa

Mengi anawakilisha TPSF yenye vichwa hasa na wanajua wanachokihoji kwa mustakabali wa nchi hii.
NICO iko wapi? Mengi amejilimbikizia vitalu vya madini kibao bila ya kuviendeleza (anasubiri udalali)huku wachimbaji wadogowadogo wakihangaika kutafuta maeneo, anataka pia kufanya udalali wa vitalu vya gesi anapingana na maamuzi ya watanzania kumilikishwa kupitia TPDC na STAMICO
 
Mengi anawakilisha TPSF yenye vichwa hasa na wanajua wanachokihoji kwa mustakabali wa nchi hii.

Hakuna ukichwa hapo mkuu. Maana najua unamaanisha anawakilisha watu wenye uwezo mkubwa wa akili au kufikiri. Hapo hakuna ukichwa,kichwa ni pesa sio akili kwenye hili la gesi. Mwenye pesa ya kuweza kuwekeza ndio kichwa wala hakuna porojo.

Wangekua vichwa wasingekua wanalaumu laumu,kulalamika lalamika ili waonewe huruma kwa kigezo eti wazawa,wakati hela hiyo inayohitajika hawana. Wewe niambie ukichwa wao uko wapi. Hao vichwa waende tpdc wakapewe vitalu.

Mengi na hao vichwa wamezoea ujanja ujanga,wakishndwa wanataka waonekane wameonewa,malalamiko kibao. Ili uone kua hoja ya mengi na hao vichwa unaowaita haina mashiko gugo uone pesa inayotakiwa kwenye kuchimba na kusambaza gesi. Ni zaidi ya bajeti ya Tanganyika.

Hao vichwa akiwemo mengi wanamiliki makumi ya vitalu vya dhahabu wameshndwa kuviendeleza,tena vinavyohitaji mtaji mdogo sembuse gesi?

Hao vichwa wanataka wapewe vitalu kisha wavifanyie udalali,jambo hilo halikubaliki. Ukipewa kitalu uwe na uwezo wako mwenyewe wa kuchimba na kusafirisha gesi hadi inapohitajika. Mengi na vichwa wengine uwezo huo hawana.
 
Mengi ni mtu mmoja mwenye tamaa sana sijapata kuona. Halafu ni mnafik, eti anatumia kibwagizo cha uzawa ili apate sympathy.

Muhongo uzuri wake anampa za uso waziwazi.

Mengi kishakorofishana na kila mtu ambae anaona kwanini huyu kwanini siyo "mimi". Ana ubinafsi, uchoyo na roho mbaya sana. Hata sura yake inaonesha.
Muhongo is the most corrupt minister we ever had.
 
Back
Top Bottom