Mengi ni balaa alidai Serikali itoe ruzuku kwa ITV kama vile inavyotoa ruzuku kwa TBC eti ili kuweka ushindani sawa wa kibiashara.Hii hata akilini haiingii,nyie tumikeni tu kama mpira ya stareheMuhongo is the most currupt minister we ever had.
Mengi ni balaa alidai Serikali itoe ruzuku kwa ITV kama vile inavyotoa ruzuku kwa TBC eti ili kuweka ushindani sawa wa kibiashara.Hii hata akilini haiingii,nyie tumikeni tu kama mpira ya stareheMuhongo is the most currupt minister we ever had.
Mengi ni shidaa,yani ananunua mchele junia tano,viazi junia tatu,ndizi mikungu kumi na ng'ombe wawili pamoja na viungo na kuwaandalia walemavu chakula kisha anaita media zake wamrushe hewani eti na uwezo mkubwa na roho nzuri sana za kusaidia walemavu,duh?!!
Astawishe watumishi wa makampuni yake kwanza charity began at home.Wewe na mwenzio Faiza mmeshanunua japo kilo moja ya mchele mkawaita hao walemavu wale?
Mbona mnazungumzia chakula cha walemavu tu lakini hamsemi kuhusu michango mbalimbali anayotoa kwa jamii? Nina uhakika munaijua lakini mmeamua kuwa chuki tu na muhusika kama ilivyo kawaida yetu waswahili
Amechoka hana soko Mzee yeye ni sket za mamic tu hatari!Alafu wanasemaga huyu mbatia ni kama walivyomnini yule mbunge wa arusha eti huwa anatoa hiyo huduma labda huyu mengi ni mdau wake wa iyo bidhaa
Muhongo is the most currupt minister we ever had.
Wewe ndio Muhongo mwenyewe au mwanae !??? Cuz ur sound like ur the one
mengi sio mtu mzuri kwenye maendeleo ya taifa hili.
currupt --- corrupt Faiza, spelling mistakeSijaelewa hapo.
Mkuu katika kuwekeza ni kucheza na kitu kinaitwa Risks and Opportunity Cost!! Kwa mantiki hii we always guided with assumptions na kwa mwekezaji ni lazima uwe na assupmtions optimistic and not pessimistic vinginevyo kila mtu angeogopa kuwekeza. Hivyo wawezeshwe tu. Pia wakinunua vitalu si lazima wao wawekeze moja kwa moja!!! Kuna tena wao kutafuta shareholders wengine and business goes on.
Mengi sio mtu mzuri kwenye maendeleo ya taifa hili.
Mkuu huwa ameshatoa vimilioni 100 mara kadhaa kuwezesha vikundi vidogovidogo kiuchumi. Ila kuna tuhuma iliwahi kutolewa na Hasimu wake (ambaye ni Manj) kuwa ni mlalamisha lakini akishapewa hicho anacholalamikia huishia kuuzia wageni. Manji alitoa mfano wa kiwanja alichopewa kariakoo baada ya kulalamika kuwa kariakoo wamepewa wahindi badala ya wazawa. Kulingana na taarifa za Manji, jamaa aliishia kuuza hicho kiwanja kwa wahindi. Kama ni kweli mwenye data atuthibishie. Lakini pamoja na udhaifu wake huo, kumuwezesha mzawa kuna faida nyingi kuliko kumuwezesha mgeni.
mimi namjua mengi zaidi ya wengi wanavyomjua.alisha nita pale ofisini kwake haidari plaza twice nikaongea nae dili kubwa pia nilikua na kampuni yangu pamoja na proposal nzuri worth milion200,akanishawishi nimpe document.za kampuni yangu original.certificate akanibadilishie jina brealla ili liendane na ule mradi, akamwita.bint mmoja alikua anaitwa sylivia na alikua mwanasheria.wake akanihakikishia ndani ya siku tatu nitakua na document mpya, but mpaka leo sijazipata document zangu na mwisho ile project aka i run mwenyewe akabadili vitu vichache, namlaani yule mzee zaidi ya mtu yoyote, ni mwizi na mdhulumati mkubwa, i will never trust him, nawala usirogwe kama una brilliant ideas kumpa lazima atakuzunguka. mengi sio mzalendo period
Mengi ni mtu mmoja mwenye tamaa sana sijapata kuona. Halafu ni mnafik, eti anatumia kibwagizo cha uzawa ili apate sympathy.
Muhongo uzuri wake anampa za uso waziwazi.
Mengi kishakorofishana na kila mtu ambae anaona kwanini huyu kwanini siyo "mimi". Ana ubinafsi, uchoyo na roho mbaya sana. Hata sura yake inaonesha.
Kila la heri mkuu, katika uwekezaja na investments kila mtu ana mtizamo wake. Mengi yeye anataka waungane wawe na vitalu anajua ni kwa nini. Mimi nisiye na hela za kutosha vitalu basi nitaingia TPDC. Cha msingi serikali iwe na sikio sikivu kwa wazalendo wake.
ukitaka jina ntakwambia ila uniambie kwa nini unalitaka.
Sio kweli kua natetea wawekezaji wa njee ila penye ukweli lazma tuwe wakweli tuache unafiki. Kama mahitaji/vigezo vya kua mwalimu wa chuo kikuu ni kuanzia digrii ya uzamivu(phd) wewe umemaliza darasa la saba au form 4 hiyo kazi unaitaka wakati vigezo huna ukinyimwa ulaumu,ulie kwamba mzawa unanyimwa fursa??.
Imeonekana kitaalam mahitaji ya kifedha(financial resources) ya uvunaji wa gesi hakuna mtanzania anaweza kukidhi vigezo,sasa wakipewa watafanyaje kuvuna hiyo gesi?. Wanataka,hasa mengi apewe kisha awe dalali,akatafte wawekezaji. Huo utakua ni ujuha kama tunaweza kufanya uwekezaji wa aina hiyo.
Wewe niambie wazawa wakishapewa vitalu hiyo gesi wataivunaje wakati hawana hela? Tusipende kulaumu upuuzi.
Muhongo ameweka vigezo vya juu au ndio vigezo halisi vya kitaalam. Wewe,mengi na wazawa wengine leteni vigezo vyenu vinavyohitajika ili kuvuna gesi ili tulinganishe tuone kua mhongo kakosea,leta facts sio porojo.
Kaa ukijua kua gesi sio karanga au viazi kila mtu anaweza kuchimba hata kwa mikono. Gesi inahitaji vast capital,tech,skills. Mengi na wazawa wengine ukiwemo wewe,mimi hatuna uwezo huo.. Just simple kama anao aende TPDC. Mbona iko wazi mkuu