wewe unae fahamu tujuze basiiii.....sio unaleta mboyoyo nyingi
Mwaka juzi Petrobas na Shell wametumia zaidi ya dola milioni 300 kuchimba visima na hawakupata kitu, haya makampuni yana fedha zimetengwa kwa ajili ya utafutaji mafuta na gas, sasa niambie ni mtanzania gani ana uwezo wa kuwa na dola Milioni 300 za kwenda kumwaga baharini? Na itakuwa ghali zaidi ya hizo kwa sababu haya makampuni tayari yana technologia, ndo maana tunasema, wewe njoo na pesa zako, tunakupa kitalu, ukikosa gas ni hasara yako ukipata asilimia 60 yetu, kama Mengi ana hela aende akapewe kitalu atafute, akikosa imekula kwake, akipata asilimia 60 yetu. Na sio tumpe kitalu bure akatafute mwekezaji halafu akipata anampa yeye percent, hapana.