Ugomvi wa Mengi na Prof. Muhongo nani msuluhishi?

Ugomvi wa Mengi na Prof. Muhongo nani msuluhishi?

Mengi anataka kutuibia kwa kisingizio cha uzawa,hana hela ya kuwekeza kenye gesi,anataka apewe kitalu kisha awe dalali,akiuze kwa wawekezaji wengine. Mengi ni mnafiki. Prof Mhongo komaa,nakuombea Mungu akupe nguvu na afya,akulinde..

Imeishaonekana kitaalam hela inayohitajika kwenye uwekezaji mengi hana hata robo,sasa analia nini?anataka matakwa yake binafsi ionekane ni matakwa ya watanzania wote. Mengi kafie mbele,serikalini wanamjua ni mnafiki mkubwa,hana la maana.

Sasa amebaki kuwahonga wabunge wenye njaa kama mbatia wakajiropokee bungeni ili ionekane anaonewa. Watu wenye akili hili wanalijua.

We mpuuzi nini ? Yaani unashikia bango wageni kuliko wazawa ? Kuna ubaya ngani hata mengi akipewa vitalu ?? Na hata kama akifanyia udalali lipi mbaya?? Yeye ni mtanzania na hata hela za udalali zitabaki Tz kuliko kuwapa madalali wa kigeni na kujiita wawekezaji wa kigeni kumbe ni madalali wa kigeni tu. Huyo muhongo hana lolote cha kutuambia ,ameshapata 10% yake.alilopoka kwamba mikataba ni ya ovyo na inaitajika kuangaliwa upya kule uingereza,leo hii kauza vitalu vyote hata kumpa mzawa mmoja. Wewe uoni hii ni hatari kwa rasilimali yote ya Taifa kushikwa na wageni??acha upuuzi wewe au mhungo babaako nini??au umeshapokea 10% nini??
 
Halafu mbatia anakubali kufanywa mdomo wa mengi bila hata aibu.
Body language ya mbatia inaonyesha amelipwa kitu ili afikishe message ndo maana hata alipoambiwa kaa chini akalazimisha kumaliza kudeliver message.
Kama watu kama mbatia wanaanza kutumika na matajiri bado hata hawajakamata madaraka,sijui inakuaje iwapo watakamata madaraka.
Mbatia alikuwa anaongea kwa hasira, kama vile ameguswa mboni ya jicho.
 
Hiyo ni kumiliki kitalu,je ya kuchimba gesi,kuweka miundombinu ya usambazaji ni kiasi gani? Mengi hana huo uwezo ndio maana analia lia aonewe huruma. Kitaalam hakuna mtanzania anaweza kumiliki kitalu,akachimba gesi na akaisambaza. Ili kufanya hivyo anatakiwa awe na sio chini ya CASH $1 billion,mengi ana NET WORTH YA $550M. Mengi kwa misifa angekua anaweza wala asingekua analalamika,angekua ameishaenda muda sana TPDC.

Watanzania sijui mmelogwa?Lini mtakuwa wajanja kama majirani zenu?Mimi bado ninamtetea Mengi na hoja yake ya Wazawa wamiliki vitalu vya gesi na mafuta,Najua Watanzania wengi hawana uwezo wa kumiliki hivyo vitalu hivyo ushauri wangu ungekuwa hivi;Ianzishwe kampuni ya umma ambayo itamilikiwa na Watanzania mbalimbali kupitia ununuzi wa hisa kisha hiyo kampuni iingie kwenye umiliki wa vitalu vya gesi na mafuta;Wafanyabiashara wakubwa wazawa wa nchii waunganishe nguvu kwa kuunda kampuni moja itakayojihusisha na gesi na mafuta;Na serikali iwadhamini/iwafadhili Wazawa katika kumiliki vitalu na hatimaye kuchimba mafuta na gesi.Tunajua kuwa Watanzania wengi hawana uwezo wa kuchimba mafuta na gesi hivyo watalazimika kuingia ubia na makampuni ya nje yenye kujihusisha na shughuli za uchimbaji mafuta na gesi.Hapa Wazawa watamiliki vitalu wakati Wageni watamiliki teknolojia na biashara itafanyika.Hata hili nalo ni gumu kufanyika isipokuwa kuwapa Wageni umiliki wa rasilimali zetu kwa 100%?
 
We mpuuzi nini ? Yaani unashikia bango wageni kuliko wazawa ? Kuna ubaya ngani hata mengi akipewa vitalu ?? Na hata kama akifanyia udalali lipi mbaya?? Yeye ni mtanzania na hata hela za udalali zitabaki Tz kuliko kuwapa madalali wa kigeni na kujiita wawekezaji wa kigeni kumbe ni madalali wa kigeni tu. Huyo muhongo hana lolote cha kutuambia ,ameshapata 10% yake.alilopoka kwamba mikataba ni ya ovyo na inaitajika kuangaliwa upya kule uingereza,leo hii kauza vitalu vyote hata kumpa mzawa mmoja. Wewe uoni hii ni hatari kwa rasilimali yote ya Taifa kushikwa na wageni??acha upuuzi wewe au mhungo babaako nini??au umeshapokea 10% nini??

Tatizo la Mengi ni ubinafsi uliopindukia.
 
Elungata kama ananunua hivyo kuwapa walemavu..ni sawa anaonyesha huruma yake na jinsi anavyojali.je we we elungata ulishawahi hata kumnunulia mlemavu hapa pipi ya sh kumi???acheni upuuzi.mzee huyu in kama tunu ama zawadi tuliyopewa kutoka kwa mungu.I wish I wish I wish mengi aje kuwa rais wa nchi hii
unamsaidia vipi mtu kwa kumpa mlo mmoja,kama ana hela aanzishe taasisi ya kuwapa mikopo walemavu.
 
Yani nikikumbuka alivyofilisi NBC mpaka leo inaitwa bank hovyo sina hamu na huyu mbinafsi hivi ile sumni alishamlipa manji au hakuipata tena? Serikali inamjua jamaa hamna kitu ndio maana inampuuza kwa ukimbelembele wake na inamjua ni mnafiki tu hana la zaidi.
 
Sasa nimeelewa kumbe una chuki binafsi na mengi ali aliyepewa kapewa tu.na atangaze kufilisika unadhani ingekuwa rahisi hivyo wengi wangeshafanya hivyo huo ni uvivu wa kufikiri

Wewe humjui mengi,tafta ujue ni kampuni ngapi za kwake ametangaza zimefilisika baada ya kua zimekopa mamilioni NBC na akagoma kulipa madeni.. Wala sina chuki na mengi mimi maana sio level yangu,ananizidi kila kitu. Wala mim sio mfanya biashara useme ni mshndani wangu. Ila kwenye ukweli lazma tuwe wakweli. Mengi ni janga,mnafiki,mfitina. Akigombana na mtu anataka hata sisi wengine tugombane nae au tumchukie huyo mtu. Jinga kabisa.
 
Zawadi labda mliyopewa huko moshi sio wa Tz usirudie kuropoka u.pu.m.bavu hapa jf.
unamsaidia vipi mtu kwa kumpa mlo mmoja,kama ana hela aanzishe taasisi ya kuwapa mikopo walemavu.
 
With due respect,mjinga ni wewe.Kuhusu Mengi kujitangaza anapotoa misaada sidhani kama yeye ni wa kwanza au wa mwisho.Mbona wakati wa sherehe kama chrismas,idd au pasaka tunaonyeshwa mkuu akiwa ametoa zawadi ya mbuzi,mchele na mafuta ya kupikia na haiwi nongwa?Zote hizo ni vitu vya kula mlo mmoja tu na shida inaendelea palepale but hapo amefikia yeye wewe sogeza mbele kwa kufanya kingine.
Mengi ni shujaa na anachokifanya katika jamii hakuna wa kumllinganisha nae.Anastahili kuungwa mkono sana.Acheni chuki kwa sababu za ukabila angalieni hoja kwanza je ushiriki wa wazawa siio jambo jema?.Kama ndio basi uwepo mfumo utsonufaidha wote bila kujali ni nani na si kufanyanya ujanjaujana wa kufufua vilinge vya utapeli na ufisadi kama TPDC na STAMICO


QUOTE=arola54;9608618]Watanzania ni watu wapumbavü sana sijawahi kuona.
Jitu zima bila aibu linatoka guest na maja.naba linatokwa povu eti linakuja hapa kumtetea tapeli na mtu mnafiki kama MENGI. Kwa wema gani yeye kama mzawa aliolitendea hili taifa???

Kachukua mkopo wa mabilioni NBC kakataa kuurejesha hatimae akaifilisi benki.

Kapewa vitalu vya madini kashindwa kuviendeleza hatimae leo hii yupo kama dalali wa kuvitafutia wawekezaji wa nje naye akizidi kupiga hela za dili.

Kagombana na mawazili chungu nzima pale alipoona hawalindi maslahi yake.
Kagombana na wafanyabiashara chungu nzima pale alipoona wanampa ushindani wa kibiashara, kisa wivü na roho ya korosho.

Amekua akiandaa vyakula vya hisani na kuwadhalilisha watu wenye matatizo kwa kuwaanika mbele ya kadamnasi. Na dunia nzima kuwashuhudia kama watu dhalili kana kwamba yeye ndo bingwa wa kusaidia watu kuliko hata akina Bakhresa wanaotoa misaada zaidi yake lakini kimyakimya kwa kuusitili UTU WA MTU.
Wakati akifanya hayo mkono wa kulia, kushoto umekua ukitumika kuwanyonya watumishi wake wanaoishi kama digidigi kwa kuwalipa vipato vidogo.

Bado hajalidhika anataka tumpe na gesi ili akaendeleze biashara zake za kitapeli na udalali kwa kisingizio cha uzawa??? Na mijitu mijinga bado inakuja hapa kumtetea huyu tapeli na fi.sadi.

Hawa wanaomtetea mengi ukiwafanyia uchunguzi wana element za uchagga, ukaskazini na harufu ya ukawa-ukawa.
Ki mtizamo hata kwa kumuangalia Mengi ni mtu mwenye roho mbaya na ndio maana ameamua kumgeged.a mjukuu wake na kuzaa naye.

MENGI TUONDOLEE UTAPELI WAKO KWA KUWATUMIA MISUKULE WASIOJITAMBUA, KWA KIGEZO CHA UZAWA.[/QUOTE]
 
ukitaka jina ntakwambia ila uniambie kwa nini unalitaka.

Sio kweli kua natetea wawekezaji wa njee ila penye ukweli lazma tuwe wakweli tuache unafiki. Kama mahitaji/vigezo vya kua mwalimu wa chuo kikuu ni kuanzia digrii ya uzamivu(phd) wewe umemaliza darasa la saba au form 4 hiyo kazi unaitaka wakati vigezo huna ukinyimwa ulaumu,ulie kwamba mzawa unanyimwa fursa??.

Imeonekana kitaalam mahitaji ya kifedha(financial resources) ya uvunaji wa gesi hakuna mtanzania anaweza kukidhi vigezo,sasa wakipewa watafanyaje kuvuna hiyo gesi?. Wanataka,hasa mengi apewe kisha awe dalali,akatafte wawekezaji. Huo utakua ni ujuha kama tunaweza kufanya uwekezaji wa aina hiyo.

Wewe niambie wazawa wakishapewa vitalu hiyo gesi wataivunaje wakati hawana hela? Tusipende kulaumu upuuzi.

Mkuu unaijua background ya hayo makampuni makubwa unayoyatetea hapa? Ebu fuatilia BP, STARTOIL au BRITISH GAS zimeanzaje kazi zake mpaka sasa unazipigia chapuo namna hiyo, halafu fuatilia wamiliki wa hizo kampuni utaelewa nini Mengi anataka. Kwa taarifa yako wewe huwajui madalali wa vitalu ni akina nani ila unasikia mambo ya kuambiwa then unameza tuu.
 
Tatizo la Mengi ni ubinafsi uliopindukia.

Ifikirieni hoja ya Mengi kama ina umuhimu kiasi gani kwa Taifa letu badala ya kumjadili yenye binafsi.Mengi anataka kuona serikali ikiwapatia wananchi wake a way up kwenye sekta ya mafuta na gesi je hilo nalo hamkubaliani naye?
 
wazawa wapi,mengi ndie wazawa?mbatia hakutakiwa kuropoka,tena halikua swali lake,tena swali halikuhusu gesi,ni chumvi yeye akajiropokea mengi anaonewa,kwa hiyo anayeitaka gesi ni mengi na sio wazawa.

Mengi leo hii na wazawa wenzake wanavyojiita(inajulikana mengi anatumia mgongo wa wazawa kutaka ajinufaishe) wakipewa vitalu vya gesi watavifanyaje ili gesi itoke?hawana hela. Mwisho wataenda kutafta wawekezaji nje,na huo udalali ndio haukubaliki. Sio ulilie nyama ya mfupa na meno huna alafu upewe kisha umtafte mwingine aile. Hilo jambo halikubaliki.

nani kakwambia anakuja na pesa kuwekeza hapa?mliowapa nbc walikuja na pesa?duniani kote sasa mitaji hutolewa na bank kwa dhamana ya serikali we uko wapi au unanufaika na ccm?
 
Mengi anataka kutuibia kwa kisingizio cha uzawa,hana hela ya kuwekeza kenye gesi,anataka apewe kitalu kisha awe dalali,akiuze kwa wawekezaji wengine. Mengi ni mnafiki. Prof Mhongo komaa,nakuombea Mungu akupe nguvu na afya,akulinde..

Imeishaonekana kitaalam hela inayohitajika kwenye uwekezaji mengi hana hata robo,sasa analia nini?anataka matakwa yake binafsi ionekane ni matakwa ya watanzania wote. Mengi kafie mbele,serikalini wanamjua ni mnafiki mkubwa,hana la maana.

Sasa amebaki kuwahonga wabunge wenye njaa kama mbatia wakajiropokee bungeni ili ionekane anaonewa. Watu wenye akili hili wanalijua.

wewe moja kati ya majinga mengine ninayoyafahamu yaani bora waje watu wa njee wachukue madini yenu kwa miaka mitano kwa kisingizio wanafanya utafiti

wewe ni mjinga neneda kanye kahawa story za kwenye kahawa kaongee na wazee wa manzese
 
Wabunge Wapo Bize Kusuluhisha Wema Na Kajala Wanaogombea Mabwana. Hayo Ya Kina Mengi Ambayo Yanaathiri Uwekezaji Hawana Habari Nayo!! Hii Ndo Tz Bwana.

Acha kusema ukweli bhana. tumezoea kusikia uwongo tu!
 
Sawa Prof Muhongo, ukweli tutaujua tu hata kama itachukua miaka 10 ijayo. Kumbuka EPA ilianza hivi hivi lakini mwisho was siku watu wameishia mahakamani japo wale wachache ila ukweli umejulikana.

Mkuu hizi ni facts wala hazijajificha. Nimetoa mfano wanahitaji ili uwe mwl chuo kikuu uwe na elimu ya phd,na wamesema kila mwenye phd atakaye omba lazima apewe kazi,sasa wewe unaanza kulalamika,kama vigezo unavyo si uende,ukinyimwa ndio ulaumu,na watu watakuelewa,sasa wewe unalaumu hata hujaenda,ni ishara kua huna vigezo ila unataka uhurumiwe maana ungekua na vigezo usingelalamika. Wazawa twendeni TPDC Tukapewe vitalu kama tunao uwezo.
 
Mengi ni mtu mmoja mwenye tamaa sana sijapata kuona. Halafu ni mnafik, eti anatumia kibwagizo cha uzawa ili apate sympathy.

Muhongo uzuri wake anampa za uso waziwazi.

Mengi kishakorofishana na kila mtu ambae anaona kwanini huyu kwanini siyo "mimi". Ana ubinafsi, uchoyo na roho mbaya sana. Hata sura yake inaonesha.

huenda uko sahihi madam
Lakini ninachojiuliza mie ni kwamba hivi miongoni mwao hakuna mwenye staha ya kauli na majibu ya kuudhi?
Mipasho hii wanayorushiana ni kwa faida ya nani?
Je kiongozi wa umma kama prof hawezi kuwa na namna nzuri ya kulimaliza hili kwa njia ambazo hazileti mihemuko kwa watanzania wengine?
TAFAKARI
 
We Mengi na utapeli wenu wachagga kaa mbali tu wewe, mlivyoifanya Air Tanzania hatuna imani na mchagga. Uligombana na Dr Kigoda, pia Zakhia Menghji kisa hawajakupa Kilimanjaro Hotel, je wewe ungejenga hivyo ilivyo?
Kwahiyo Zanzibar-Nyamwezi unataka kusema nini kuhusu lile chama lingine la Magwanda kama litachukua nchi,maana wako wengi wengi pale!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom