kuna mtu aliwahisema kuna aina fulani ya vyandarua zinaleta kunguni sikuamini nikaamua kutafuta aina hiyo ya chandarua nikaifunga chumba kitupu na haki lali mtu.baada ya wiki nikaona vitu vyeupe nikatoa chandarua nikaifua baada ya wiki 2 mazee hao mifugo ni wengi kona zote za chandarua! hata nilipo piga sumu wadudu hawa waliendelea kuwepo hadi nilipo itoa ile net nikaichoma moto nasikupiga dawa bali niliacha madirisha ya chumba hiko wazi ndo wakapotea mazima.hivyo kuna vyandarua vinaleta wadudu hao haya upige dawa hasikii watapotea kwa muda na hurudi kwa kasi