Ugenini kuna kunguni, sijui nifanye nini!

Ugenini kuna kunguni, sijui nifanye nini!

Ukauzu ndio itakuhepusha na dhahama hiyo kama unavyoogopa maji ya mtoni au kisimani ugenini tumia njia hiyo hiyo kudhibiti hao kunguni kama muda unaruhusu ingia dukani kanunue dawa wala usiufunike moto kabisa moshi utakuumbua. Ukiwaonea aibu wenyeji basi watakudharau watu siku umechomekea smart zaidi ya phone kisha wanaona wakaguzi wanakatiza kwenye nguo zako.
 
Hiyo ndio dawa,kunguni hawaishi kwa njia nyingine tofauti na hiyo. Kwake anatakiwa kuingia mtupu.
Wee jamaa umenichekesha sana.Kuingia mtupu nyumba zenyewe za kupanga...unaweza kuhisiwa vibaya[emoji13] [emoji12] [emoji3]
 
Weweeeeee kimbia fasta nunua dawa piga chumbani kwako hao wa dyudyu usiku hata ukilala chini wa nakufuata hahahahhaa
 
Haotayari umesha wabeba hata kama hujalaa,ulipokaribishwa na ukakaa tu umepatwa,pole
 
Waite watu wa fumigation ili wawapulizie dawa na kuwaua hao kunguni, utakuwa umemsaidia sana mwenyeji wako lakini pia na wewe utapata nafasi ya kufanya kazi iliyokupeleka huko
Sio kwa watanzania sisi.
Utaambiwa unamtoa kasoro mwenyeji wako
 
Mkuu huko ulikoenda hakuna nyumba za kulala wageni? Kwa nini ufikie kwa mtu? Hukuwa umejipanga? Mwambie jamaa yako mchepuko wako uko hapo town kwa hiyo hutalala hapo?
 
Kimsingi vumilia sana na pia nakushauri bora uwe unalala uchi ili kuepuka kuhama nao baada ya ugeni wako.
 
Kimsingi vumilia sana na pia nakushauri bora uwe unalala uchi ili kuepuka kuhama nao baada ya ugeni wako.
Sasa ndugu yangu, akilala uchi ataongeza kiwango cha kufyonzwa.

Pia baadhi ya wadudu wanaweza kupenya kwenye uwazi wa nyuma kujitafutia makazi zaidi.

Au wewe humuonei huruma nduguyo kwa kumshauri alale uchi?.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sasa ndugu yangu, akilala uchi ataongeza kiwango cha kufyonzwa.

Pia baadhi ya wadudu wanaweza kupenya kwenye uwazi wa nyuma kujitafutia makazi zaidi.

Au wewe humuonei huruma nduguyo kwa kumshauri alale uchi?.
Unamaanisha kunguni wanauwezo kuingia kupitia ule mtandao pendwa wa tigo na kufyonza damu?
 
Kwa kweli kama una stress njoo jf, ni full shangwe.
Mimi miaka ya 93 nilikuwa na chupi yangu ya VIP ilikuwa na chawa na kunguni nilikuwaga naichemsha, na maji yake namwagia kitandani ilikuwa inasaidia, ila ukiwazoea huwasikii tena
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Nakumbuka tuliwahi andamana school kisa hao viumbe watu tulikua tunakesha prepo asee !
 
kuna kijiji fulani hapa hapa TZ hao wadudu ni mboga....hatari sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom