Ugenini kuna kunguni, sijui nifanye nini!

Ugenini kuna kunguni, sijui nifanye nini!

chukua chumvi mafuta ya taa na sabuni ya unga changanya vyote subiri baada ya dakika 6 anza kunyunyiza kila kona
 
Kuna siku nililala kwenye Kiti dadekiii hao wadudu siooo...
 
Napendaga kale kaarufu ka Kunguni nikimbinya na vidole afu apasuke...naweza nusa vidole all day and all night long!

I wish hata perfumes company watengeneze Kunguni essence, au Kunguni fragrance, Kunguni aroma..I'm me!
Khaaaa!?Astaghifilullah!Naamini unatania.Ile harufu!?
 
Hakuna mdudu nisiyempenda kama kunguni....na siwez kulinda heshima ya mtu yeyte kisa kunguni....kiufupi siwez lala sehemu yenye kunguni by any cost
 
Nashindwa kuelewa hii nyumba niliyofikia hawa wenyeji wangu wanapata vipi usingizi. Kunguni niliowaona baada ya kulinyanyua godoro ni wengi utadhani mchanga umemwagwa hapo kitandani!

Siwapendi kwa usumbufu wao lakini pia unaweza kuaibika mbele za watu unakuta dudu limeshiba halafu linatembea kwenye nguo zako tena shati jeupe. Naona noma hata kumwambia jamaa kwa jinsi anavyokuwa akijipaisha. Wasiwasi wangu nisije nikatoka na mbegu hapa.

Nifanyaje?

Hahaa hapo lazima uondoke na mbegu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom