miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
kunguni wa kiwepo ni mbiringiko tuNisije kuta kunguni lakini, inilazimu kulala uchi.
kunguni wa kiwepo ni mbiringiko tuNisije kuta kunguni lakini, inilazimu kulala uchi.
[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]kunguni wa kiwepo ni mbiringiko tu
We kiboko unafaa kuwa mbunifu, believe meNapendaga kale kaarufu ka Kunguni nikimbinya na vidole afu apasuke...naweza nusa vidole all day and all night long!
I wish hata perfumes company watengeneze Kunguni essence, au Kunguni fragrance, Kunguni aroma..I'm me!
hahahahaKunakipindi madereva wa daladala tuligoma tukakamatwa na kuwekwa sero mkoa furani, nadhani siku hiyo kunguni kama walinyonya kidogo ni damu Lita mbili.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nahisi kuna mtu aliwahamishia ghetto, yaan ghafla wameibuka kwa kasi ya ajabu....sio kila mwanamke anatakiwa kulala kwako aisee
Thanks bro for your appreciation...my potential and ability always go anonymously sabab watu wanaonijudge wanakosa that's creativity perspective. I liked it umekuwa tofauti.We kiboko unafaa kuwa mbunifu, believe me
Lady gaga alitengeneza perfume ya blood and semen lakini alisema unapojipuliza unakuwa umejipulizia yeye maana alitumia damu yake.
Na alisema the perfume would smell like expensive hooker [emoji3]
Rather than blood and semen
hahahahahaaa pole sana jamaa yangu vumilia kwani uja mshirikisha mtu hata mmoja. ukilala lala na boxer na ukitoka kuoga ussivae chagua boxer moja au nguo moja kwa ajili ya kulalia tu. ukiamka unaivua unavaa safi
Kunguni sio wiki mbili ni Mwaka anakaa bila kula .ni hatari hao jamaawajinga sana, yaani anaweza jibanza juu ya dari ama kwenye pindo ya neti wiki 2 ajala kitu. we unajua wameisha ukija shtuka wamejaa kijiji
Asante mkuu, yaan hawa wanawake wa mkoani sio wa kuwaamini[emoji35] [emoji35][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pole
Hivi kweli kuna kitu kunguni ama ni myths tu? Yani siamin
Bed bug - WikipediaPia wana kaugonjwa hao kunguni, sijui wanaitwa kwa kiinglish,soma ukipata muda
Well done bro. Napenda ubunifu ulio tofauti kama ulivyoeleza maana kila wakati huwa naangalia strange things and weird stuff na kuona watu wanavyobuni vitu,Thanks bro for your appreciation...my potential and ability always go anonymously sabab watu wanaonijudge wanakosa that's creativity perspective. I liked it umekuwa tofauti.
Nitatengeneza hata nikiwa alone maana nimegundua watu wengi wanapenda unique aroma and fragrance.
Peace!
Well done bro. Napenda ubunifu ulito tofauti kama ulivyoeleza maana kila wakati huwa naangalia strange things orThanks bro for your appreciation...my potential and ability always go anonymously sabab watu wanaonijudge wanakosa that's creativity perspective. I liked it umekuwa tofauti.
Nitatengeneza hata nikiwa alone maana nimegundua watu wengi wanapenda unique aroma and fragrance.
Peace!
Hahahahahh kweli mkuutabu ya kunguni ukihama nae 1 tu hahahahah baada ya miez unakuwa nao maelfu, wapuuzi sana hao jamaa.
He!!!!!!![emoji15]Napendaga kale kaarufu ka Kunguni nikimbinya na vidole afu apasuke...naweza nusa vidole all day and all night long!
I wish hata perfumes company watengeneze Kunguni essence, au Kunguni fragrance, Kunguni aroma..I'm me!
Watu mna vituko JF!!!!!Sasa ndugu yangu, akilala uchi ataongeza kiwango cha kufyonzwa.
Pia baadhi ya wadudu wanaweza kupenya kwenye uwazi wa nyuma kujitafutia makazi zaidi.
Au wewe humuonei huruma nduguyo kwa kumshauri alale uchi?.
wanateketeaje hao wadudu mbona kwangu nimepambana nao huu mwezi wa 3 lkn hawaishi naomba msaada
wanateketeaje hao wadudu mbona kwangu nimepambana nao huu mwezi wa 3 lkn hawaishi naomba msaada