Ugenini kuna kunguni, sijui nifanye nini!

Ugenini kuna kunguni, sijui nifanye nini!

Toka nimezaliwa sijawahi kuona hao wadudu nawasikia tu...pole ndugu sipendi mtu umelala then unasikia kero hizo
 
we nae usituletee mashauzi ya kiboya hapa, huwajui kunguni wewe?? au tu ni kwakuwa uko behind the keyboard?
mkuu haki ya nani siwajui na sijawahi kuwaona nasidhan nitawahi kuwaona
 
mkuu haki ya nani siwajui na sijawahi kuwaona nasidhan nitawahi kuwaona
Unaweza kuwa hujawahi kuwaona ila usiongelee lijalo.....unaweza kuwa rafiki zako ndg siku zijazo,nahisi unaongea hivyo kwa kuwa unaziona mali za baba au mama......haya maisha tu....binafsi kwa macho hivi hata mimi cwajui kunguni zaidi ya kuona ktk picha ila maisha ya kivyanguvyangu ctashangaa one day nikikumbana na saga hilo.
 
Uwiiiiii ninavyowaogopa hao wadudu nisingelala hapo hata kama ni usiku mkubwa kiasi gani.
 
kuna usemi "mgeni njoo mwenyeji apone" utendee haki usemi huu,amka mapema utoe godoro,kitanda nje kwenye jua.
 
Nahisi kuna mtu aliwahamishia ghetto, yaan ghafla wameibuka kwa kasi ya ajabu....sio kila mwanamke anatakiwa kulala kwako aisee
 
Nashindwa kuelewa hii nyumba niliyofikia hawa wenyeji wangu wanapata vipi usingizi. Kunguni niliowaona baada ya kulinyanyua godoro ni wengi utadhani mchanga umemwagwa hapo kitandani!

Siwapendi kwa usumbufu wao lakini pia unaweza kuaibika mbele za watu unakuta dudu limeshiba halafu linatembea kwenye nguo zako tena shati jeupe. Naona noma hata kumwambia jamaa kwa jinsi anavyokuwa akijipaisha. Wasiwasi wangu nisije nikatoka na mbegu hapa.

Nifanyaje?
Waite Polisi, meza valium au kama vipi lala ila nguo hizo usichanganye na nguo zako ukirudi kabla ya kuzipa "tiba kuntu"...
Tahadhari; kunguni wanapenda sana damu mpya(Mgeni) elewa kwamba watakushughulikia ipasavyo. Am just saying....🙄
 
ha hahah mkuu nimewaza wakuume kwenye korodani na kichwa cha chini unajikunaje ?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bora iwe hvyo kuliko kuhama nao.

Kicha cha chini kina mfuniko bado hawezi kung'atwa.
 
Sasa ndugu yangu, akilala uchi ataongeza kiwango cha kufyonzwa.

Pia baadhi ya wadudu wanaweza kupenya kwenye uwazi wa nyuma kujitafutia makazi zaidi.

Au wewe humuonei huruma nduguyo kwa kumshauri alale uchi?.
ha hahaha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom