Ugenini kuna kunguni, sijui nifanye nini!

Ugenini kuna kunguni, sijui nifanye nini!

Viumbe.wanatesa.hao.n.balaaa, nmewajulia pwan.enz hizoo,nilidhan n.mende watt,...aisee
 
hahahahahaaa pole sana jamaa yangu vumilia kwani uja mshirikisha mtu hata mmoja. ukilala lala na boxer na ukitoka kuoga ussivae chagua boxer moja au nguo moja kwa ajili ya kulalia tu. ukiamka unaivua unavaa safi
Hv utalalaje na.boxer tuu wakat kuna.kunguni,wanasumbua wale jamaa.balaaa,ubavuni,kwenye vidole...hakika ukiweza kusinzia ww n.shujaa
 
Aisee pole sana mara ya kwanza nilikutana nao usiku nikajua na ng'wata na mmbu nikawa navumilia kadri siku zikawa zinaenda nikaja kujua nikunguni nilipata shida sana
 
Napendaga kale kaarufu ka Kunguni nikimbinya na vidole afu apasuke...naweza nusa vidole all day and all night long!

I wish hata perfumes company watengeneze Kunguni essence, au Kunguni fragrance, Kunguni aroma..I'm me!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] mmh! kama una ujauzito ni sawa
 
Hivi kweli kuna kitu kunguni ama ni myths tu? Yani siamin
Nenda.mabibo.hostel mkuu.sujui km.bado wapo..wale viumbe hawafai unakesha..yaan ilibd smtym.unalala umechokea shat la Mikono mirefu,na miguun unavaa soksi ili usinzie kesho uwai mtihan..maana unaweza kukesha,hata ulale chin wanafwata,ukilala juu ya meza wanafwata....sina.hamu,ila naona.wapo pwan,ukiwa.mchafu plus.joto n sheeda
 
Dah umenikumbusha shule Fulani hv boarding

Hawa wadudu hawafai ,ukijiegesha tu kitandani unao halafu wajanja kinoma

Hawa defender wasikie tu mie nilihama chumba kbs nilikuwa nalala kwenye meza darasani

Kunguni usiombe ase
 
Watanzania bhana, yaan kumuambia mwenyej wako ukwel unaona noma, unakuja ropoka huku. Muambie live na mkanunue dawa utakua umemsaidia na umejsaidia pia.
 
Ukifika kwako nenda bafuni moja kwa moja loweka hizo nguo zoote ulizotkanazo safari, alafu zifue na kunyoosha pasi utakuwa umewamaliza
 
kuna mtu aliwahisema kuna aina fulani ya vyandarua zinaleta kunguni sikuamini nikaamua kutafuta aina hiyo ya chandarua nikaifunga chumba kitupu na haki lali mtu.baada ya wiki nikaona vitu vyeupe nikatoa chandarua nikaifua baada ya wiki 2 mazee hao mifugo ni wengi kona zote za chandarua! hata nilipo piga sumu wadudu hawa waliendelea kuwepo hadi nilipo itoa ile net nikaichoma moto nasikupiga dawa bali niliacha madirisha ya chumba hiko wazi ndo wakapotea mazima.hivyo kuna vyandarua vinaleta wadudu hao haya upige dawa hasikii watapotea kwa muda na hurudi kwa kasi
 
Huku kwetu simiyu kunguni ni ishara ya baraka kwa hiyo hatujisumbui kuwaua. Hapo ulipofikia ni mkoa gani? Kama ni simiyu,shy,mwanza,geita,tabora,kuwa mpole.
 
Asee...fanya tuu uondoke kunguni hawazoeleki hata kidogo asee
Ila kunawatu wanalala na ucngiz juu nashangaa
 
tena utaondoka nao...
na utaenda nae kwenu, na utakua nao wakubwaaa kwako
pole sana
 
Wee jamaa umenichekesha sana.Kuingia mtupu nyumba zenyewe za kupanga...unaweza kuhisiwa vibaya[emoji13] [emoji12] [emoji3]
Sio kuhisiwa vibaya tu,kuna nyumba zingine zimezindikwa ikipita uchi mtu mzima utachezea mikwaju pasipokujua akutandikae.
hahahaaaa!!we kesho toa godoro nje!!.

Kunguni sio kabisa...ni ishara ya uchafu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom