Marekani mahindi hutumika kama chakula cha mifugo kwa 80% 20% for fuel(ethanol) and for export inasemekana utumiaji mkubwa wa nafaka za maindi hupelekea akili kuwa pumbafu hvyo uwezo wa kung'amua mambo huwa mdogo
Ndugu, achana na mawazo ya kishetani. Hapa hakuna ulinganifu wowote. Pili tumetofautiana sana na Wamarekani. Hivyo ukututendea haki.
Inaelekea uliacha hela ya chapati maini ukakuta ugali na kiporo cha maharage.. Af kwenye tv likapita tangazo la wali mboga mboga na roast ya kuku af kwa jirani ako anakaanga sato wenye vitunguu swaumu na makashda mengine..cheza nin hapo lazima network connection error ..hahhaaasikwambie mtu, mtu unapika tuugali twako na tudagaa twako ukatuweka tundimu af ukatupia tembele pembeni parachichi..aiseeeee ao wamarekani wakafie mbele uko..Yani nyumbani nyumbani tuu,namiss kwetu jamn..dahh mtu unanunua dagaa packed,lemon readmade, ugali fufu, izo organic tuu bei zake lazima ugeuke..uwii e tena ata amna tembele
ivi tembele linaitwaje in English.Umeona eeee....
Marekani mahindi hutumika kama chakula cha mifugo kwa 80% 20% for fuel(ethanol) and for export inasemekana utumiaji mkubwa wa nafaka za maindi hupelekea akili kuwa pumbafu hvyo uwezo wa kung'amua mambo huwa mdogo
Nyambaf weeh;.. tumekulia kwa ugali na maharage halafu unasema hatuna akili? Maskini,.. sawa sibishi, lakini eti hatuna akili wakati kina lukuvi na sofia simba wanaendesha nchi yetu swafi tu! Aiseeh,..wacha utani bana!Marekani mahindi hutumika kama chakula cha mifugo kwa 80% 20% for fuel(ethanol) and for export inasemekana utumiaji mkubwa wa nafaka za maindi hupelekea akili kuwa pumbafu hvyo uwezo wa kung'amua mambo huwa mdogo
Marekani mahindi hutumika kama chakula cha mifugo kwa 80% 20% for fuel(ethanol) and for export inasemekana utumiaji mkubwa wa nafaka za maindi hupelekea akili kuwa pumbafu hvyo uwezo wa kung'amua mambo huwa mdogo
Tumia chakula kitokanacho na ngano na utakuwa na akili sawa na wazungu,utalala kitanda kimoja na mbwa,utawabusu mbwa,utaongea na mbwa na utamfanya mbwa ndio kila kitu hakuna mwandani na rafiki kama madog!