Ugali maharage uliitwaje shuleni kwenu?

Ugali maharage uliitwaje shuleni kwenu?

Ndio, tuliita sumu.
Kuna jamaa aliumwa tumbo siku moja usiku tukampeleka hospitali ya Tosamaganga kule Ipamba. Daktari anauliza ulikula nini mara ya mwisho? Jamaa akajibu SUMU.....daktari na manesi wakawa wanashangaa ikabidi tuwaweke sawa jamaa anamaanisha kala ugali maharage.
Jina lilikua limezoeleka hadi unajisahau jina halisi la ugali maharage😀😀
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom