Chick_tz
JF-Expert Member
- Mar 2, 2025
- 2,365
- 3,066
HeeeeeGraduated 2003 sikumbuki kabisa
HeeeeeGraduated 2003 sikumbuki kabisa
Sumu?😀Tuliita SUMU
Wale wa Halfmile na Msiwasi mtataja wenyewe jina la shule yetu pendwa.
SumuUgali ni mlo maarufu shuleni kipindi tunasoma miaka hiyo
Binafsi nimehitimu kidato cha nne 2009
Ugali uliitwa
1. Bondo
2. Cha Kikwete
3. Nguna
4. Muvero
Tosa BoysTuliita SUMU
Wale wa Halfmile na Msiwasi mtataja wenyewe jina la shule yetu pendwa.
Walikua wanaqeka mafuta ya taa eti tusidindishe qmmk walahNguna na ndondo lenye mafuta ya taa aah tulikua tunamind kuwekewa mafuta ya taa sana🤣
😀😀 kwa sisi wadada eti tusiwe na hamu, ilikua inakera sana, hivi ni kweli ilikua inasaidia?Walikua wanaqeka mafuta ya taa eti tusidindishe qmmk walah
Inasaidia wapi watu tulikua tunapiga chaputa sana😆😀😀 kwa sisi wadada eti tusiwe na hamu, ilikua inakera sana, hivi ni kweli ilikua inasaidia?
Hii shule ilikua TZ hii hii mkuu, hilo jina😀Ndigwa,,,Kigozi
Walikua wanatutesa tu, chakula chenyewe bondo na maharage+mafuta ya taa= bomu😀Inasaidia wapi watu tulikua tunapiga chaputa sana😆
Hivi mafuta walikuwa wanaweka purposely au Kwa bahati mbaya??Nguna na ndondo lenye mafuta ya taa aah tulikua tunamind kuwekewa mafuta ya taa sana🤣
Ushuzi wake ulikua ni balaa!!!Domitory yalikua ni mabomu kwenda mbele!Kuna mwana alikua akichana msamba lazima mfungue milango na madirisha!Walikua wanatutesa tu, chakula chenyewe bondo na maharage+mafuta ya taa= bomu😀
Chua tunakomenti wapi?Tuliita SUMU
Wale wa Halfmile na Msiwasi mtataja wenyewe jina la shule yetu pendwa