Ugali maharage uliitwaje shuleni kwenu?

Ugali maharage uliitwaje shuleni kwenu?

Ushuzi wake ulikua ni balaa!!!Domitory yalikua ni mabomu kwenda mbele!Kuna mwana alikua akichana msamba lazima mfungue milango na madirisha!
😀😀😀😀 ila kweli mtu anakula mafuta ya taa unategemea nini, usiombe mpishi azidishe kuweka yaani kabla hata hujaanza kula unaskia kushiba, mafuta yanavyonuka🙌
 
Ugali ni mlo maarufu shuleni kipindi tunasoma miaka hiyo

Binafsi nimehitimu kidato cha nne 2009
Ugali uliitwa
1. Bondo
2. Cha Kikwete
3. Nguna
4. Muvero
Ndo maana ni kizazi cha miaka ya 1990s. 2009 nipo kazini kitambo sana nikiwa nmemaliza masters udsm ya miaka hiyo when education was education.

Nyie madogo huwa sometimes mnajichetua tu na kuleta usela choo kwa watu ambao basically ni baba zenu kabisa.

Siku utamwona mtu anatokea room anayolala mama yako ukaitwa kutambulishwa kumbe ndo komeo la chuma mwenyewe ambaye when you are here unajaribu kujitanua mbavu maana hata kifua huna kumtukana.
 
Wa wa East Zoo a.k.a Mazengo Boys au Alliance Dodoma uji uliitwa NYUKA. Na kweli kuupata huo uji lazima kuwe na mnyukano kwenye mstari
 
Ndo maana ni kizazi cha miaka ya 1990s. 2009 nipo kazini kitambo sana nikiwa nmemaliza masters udsm ya miaka hiyo when education was education.

Nyie madogo huwa sometimes mnajichetua tu na kuleta usela choo kwa watu ambao basically ni baba zenu kabisa.

Siku utamwona mtu anatokea room anayolala mama yako ukaitwa kutambulishwa kumbe ndo komeo la chuma mwenyewe ambaye when you here unajaribu kujitanua mbavu maana hata kifua huna.
Sasa nyie wa 1990's mmeleta mchango gani kwenye taifa?
Halafu nyie ndo mlitakiwa mboreshe elimu kwaajili ya vizazi vijavyo ila cha kushangaza mnabaki kuwalaumu younger generation ya kuwa hawapo serious na eti elimu imeshuka thamani sasa si mngeiongezea thamani kama kweli elimu yenu iliwasaidia.
 
Nyie madogo hata uelewa wenu mbovu sana.nani kasema ni wa 1990s soma vizuri. Mbona nimeandika kiswahili chepesi tu cha kueleweka?
 
Sasa nyie wa 1990's mmeleta mchango gani kwenye taifa?
Halafu nyie ndo mlitakiwa mboreshe elimu kwaajili ya vizazi vijavyo ila cha kushangaza mnabaki kuwalaumu younger generation ya kuwa hawapo serious na eti elimu imeshuka thamani sasa si mngeiongezea thamani kama kweli elimu yenu iliwasaidia.
Soma uelewe bwana mdogo. Hapa imeonesha Elimu ya sasa ni hovyo sana.maana hata comprehension imekuwa changamoto.
 
Sawa uelewa wangu mdogo ila turudi kwenye hoja. Nyie ndo mlitakiwa mboreshe elimu ila cha kushangaza mnachojua ni kulalama tu na kukejeli kizazi cha sasa.
Hatukejeri. Wanasiasa wameharibu Elimu. Sisi wenye akili hawataki ushauri wetu.wao watoto wao wanawapeleka kusoma nje.nyie ndo wanawapa Elimu mbovu msishindane na watoto wao
 
Shida nyie wenye akili ni waoga? Na pia mnakejeli younger generation mna zile kauli za "sisi enzi zetu" sio mtaani tu hata hapa JF zipo.
 
Ndo maana ni kizazi cha miaka ya 1990s. 2009 nipo kazini kitambo sana nikiwa nmemaliza masters udsm ya miaka hiyo when education was education.

Nyie madogo huwa sometimes mnajichetua tu na kuleta usela choo kwa watu ambao basically ni baba zenu kabisa.

Siku utamwona mtu anatokea room anayolala mama yako ukaitwa kutambulishwa kumbe ndo komeo la chuma mwenyewe ambaye when you here unajaribu kujitanua mbavu maana hata kifua huna.
Heshima kwako Mzee wangu
 
Hata sikumbuki vizr, Ila nakumbuka uji walikuwa wanaita 'pora' kuna Mwamba alikuwa anakunywa uji kisado kizima na maandazi ya Amina mtoto WA mzee kinara

Wazee wa penda watoto wanakumbuka
😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom