Nimeshindwa kuki-attach. Ingia google download kitabu cha UTENGENEZAJI CHAKULA CHA KUKU cha LRDCVyanzo vizuri zaidi vya madini ni mifupa na chokaa chokaa. Vyote hivi vinapatikana kwenye maduka ya vyakula vya mifugo. Pia waweza tumia DCP au Premix.
Chanzo kizuri zaidi cha protein ni soya. Ila kumbuka protein yoyote itokanayo na mimea hukosa elementi mbili za Lysine na Methionine. Hivyo utalazimika kutumia premix yenye hivyo viwili ndani yake.
Hakikisha pia chakula chako kinawekwa virutubisho kwa uwiano sahihi. Mfano, protein yapaswa kuwa 16% - 22% ya chakula chote. Angalia kwenye desa la uandaaji chakula cha kuku lifuatalo.
Safi sana, mimi nimeanza kufuga kuku 6, jogoo mmoja mitetea 5, sasa hivi wote wanataga nnatarajia mda siyo mrefu nitakuwa na vifaranga siyo chini ya 60, ambao nitawachukua kutoka kwa mama yao, baada ya hapo kazi yangu itakuwa kula mayai na nyama wakipungua nazalisha wengine, sifanyi kwa ajili ya biashara, ila nimegundua kufuga wanyama/ndege inakufanya uwe active sana, furaha na stress vyote vyako, kuna kuku mmoja namkubali sana sana sijui kama nitakuja kumla kwa kweli, actually hawa kuku wote nilioanza nao sitawala
aliuza simu apate pesa ya kununua chakula cha kuku, watakuwa wamekuwa wengi sana.Mtoa post kadedi nini? mbona kimya sana?
Anawakukula ama anawauzaKuna binadamu hawana huruma kabisaa mwaka 2017 mwisho december nilinunua kuku kutoka mbeya jumla majike na majogoo kama 70 ila mpaka hivi hela hawajaongeza kabisaa zaidi naona wamebakia 30 kila siku mfanyakazi anasema wanaumwa na kufaaaaa
Utawakula tu nakwambia.Safi sana, mimi nimeanza kufuga kuku 6, jogoo mmoja mitetea 5, sasa hivi wote wanataga nnatarajia mda siyo mrefu nitakuwa na vifaranga siyo chini ya 60, ambao nitawachukua kutoka kwa mama yao, baada ya hapo kazi yangu itakuwa kula mayai na nyama wakipungua nazalisha wengine, sifanyi kwa ajili ya biashara, ila nimegundua kufuga wanyama/ndege inakufanya uwe active sana, furaha na stress vyote vyako, kuna kuku mmoja namkubali sana sana sijui kama nitakuja kumla kwa kweli, actually hawa kuku wote nilioanza nao sitawala
Nashukuru Mungu ufugaji ulienda vizuri ingawa changamoto zilikuwepo kwani kuku walikufa sana mwanzoni ila baadae walikaa vyema, walitaga mzao mmoja baada ya vifaranga kuchangamka niliwauza wale wakubwa sasa nina kizazi kipya ndio naendelea nacho
Kuku Kula Mayai Husababishwa Na Sababu Kuu NneMsaada Wandugu... Kuku wanaokula mayai, dawa Yao NI nini ili waache..??
Kama hautojali uniambie hapa ama PM idadi ya kuku ulionao hadi sasa...jumla kuu.Nashukuru Mungu ufugaji ulienda vizuri ingawa changamoto zilikuwepo kwani kuku walikufa sana mwanzoni ila baadae walikaa vyema, walitaga mzao mmoja baada ya vifaranga kuchangamka niliwauza wale wakubwa sasa nina kizazi kipya ndio naendelea nacho
Hapa mtoa mada ametupa chaikuku wa kienyeji kutaga akiwa na miezi 3?hatari fire
Huyu anaota ndoto. Kuku hawana banda, chakula cha kuanzia, hawauguwi, wanataga na kutotoa mayai yote, na vifaranga hawafi hata mmoja. Huyu ni mwandishi wa tamthilia na hajawahi kufuga kuku. Atawapoteza wengi.Mbona hujaeleza hao kuku watalala wapi,watakula nini nk?!