Ufisadi wa Johnson Lukaza

Ufisadi wa Johnson Lukaza

hilo wengine tuliliona siku nyingi mpaka tukaogopa kununua hizo nyumba za sigara!!!!!
 
Baada ya kuona serikali inafuatilia mali za mafisadi ili kuzitaifisha naomba niikumbushe serikali hiyo kwamba isisahau kutaifisha yale majengo yaliyokuwa yanamilikiwa na Kampuni ya Sigara pale Segerea (Barakuda) Maana huyu fisadi aliyanunua kwa Tsh 4 billioni fedha za wananchi yageuzwe shule watoto waweze kusoma. Eneo linazo facilitities mbali mbali kuanzia shule nzuri ya watoto wadogo (Chekechea, Uwanja mzuri wa mpira na kadhalika.

Hivi unafikiri hawajui mali za mafisadi wenzao????.... by the way mchezo ni mdogo tuu anabadili jina la umiliki na kuliweka la mkewe... dk 90 zinaishia hapo
 
sasa kama dada yake ni mke wa "mshikaji wako wa karibu sana" what the **** are you doing betraying their confidence in public? is it because haukunufaika? you make me sick!

Ni nani atakae lijenga hili taifa kama tumeamua na bado tunataka kutunziana siri..... kokote duniani na mbinguni pia WIZI HAUTAKIWI....
 
Asante sana Nyambala, je unajua Adadi alimuuzia nini Johnson mpaka wakadaiana? je ni kweli alimtumia majambazi au group ya Zombe? au vijana wake mapolisi waliovalia sare? napenda kujua tu kwani kwenye luninga alionekana hana wasiwasi kabisa as if alikuwa picnic

KM,
Kwa wanaokaa bongo wanajua uhusiano uliokuwapo kati ya Adadi na Johnson kuwa wa biashara. Yaani Johnson alikuwa ni msimamizi wa Mafusso ya adadi pale Jangwani (yalikuwapo kama tisa au kumi hivi) - ukiachilia mbali saloon ndogo pale kwa madalali Lumumba. Fusso zilikuwa zinabeba mizigo kwenda mikoani na saloon zilikuwa zinauzwa. Johnson alikuwa alimdhurumu Adadi na ushirikiano ukawa kama huo wa kufarakana.
 
Bwana mdogo sasa hivi yumo kwenye matatizo makubwa sana na serikali, hasa baada ya kuleta gari lake bongo la Range Rover kwenye ndege ya BA, akajiingiza kwenye msafara wa rais kwenda US na kukata tiketi ya First Class, ili aweze kupata fursa ya kuongea na rais kule, lakini kumbe alikuwa anazidi kujiponza,

Mmoja wa dada za huyu mkulu ni mke wa mshikaji wangu wa karibu sana, na wamenufaika sana na ufisadi wa mkulu, lakini sasa mambo sio mazuri kabisa, maana mkulu sasa is going down the hill kwa kukaliwa kooni na uwt!

Mkuu,

Unajua wazungu ni watu makini sana na mtu asijidanganye kwamba anaweza kulipia gari ya Range Rover katika ndege zile za BA.

Wao(wazungu) wana "list" ya watu ambao wanaweza kufanya hivyo kama kusafirisha gari ndani ya ndege ya BA.
 
sasa kama dada yake ni mke wa "mshikaji wako wa karibu sana" what the **** are you doing betraying their confidence in public? is it because haukunufaika? you make me sick!

Wewe na wewe fisadi nini? Umesoma motto yetu hapo juu?

Hapa anasemwa mungu, itakuwa Lukaza?
 
haya ndio magorofa ya sigara aliyoyanunua lukaza na kuyauza
 

Attachments

  • DSC01009.JPG
    DSC01009.JPG
    202.1 KB · Views: 144
  • DSC01012.JPG
    DSC01012.JPG
    213 KB · Views: 134
  • DSC01013.JPG
    DSC01013.JPG
    183.7 KB · Views: 132
Mkuu ES,

Huyu jamaa si ndie kaalikwa mpaka kuhudhuria Sullivan summit kule Arusha? Huyu kweli kakaliwa kooni?

Au JK ni usanii mwingine anatufanyia?

Angalieni hapa:

The 8th Sullivan Summit - Business Profiles Informations

Atapigana vikumbo na JK huko Arusha.

Ndg zanguni hawa vijana wengine ni papa tu wanaotumiwa na manyangumi.Nyangumi hawashikiki hawaonekani wako kulinda hivi vipapa
mapambano bado kabisa mnakata matawi hamjafikia kwenye mizizi ndo maana miti haishituki.Wenyew mtakapo wajua "mafisadi halisi"nchi itatetemeka kama haijapata tetemeko.
 
hii kweli bado inastahili kuwa kwenye jukwaa la Siasa? Naona ingefaa kwa maselebriti
 
He's nobody in politics or national leadership only a petty criminal. Alitumiwa na mke wa marehemu Balali kuunda ka-kampuni walikotumia kuchua pesa ya EPA.

Familia yao wana uzoefu na haka kautamaduni ka ufisadi; kaka yake aitwaye Makubo aliwahi kuchukua pesa za OGL na DCP miaka ya '80s kwa mtindo huu, wakazitafuna hadi zikaisha na wakapigika kisawasawa hadi kuamua kuwa wakawa walokole familia nzima. Tangia wapate dili la EPA hawajaonekana tena kanisani.
Mmmmmmmmhhhhhhhhhh kyonka bojo!!!!!!!!!!!!!!
 
updates? maana last time niliskia alikuwa hana hata pesa ya petroli sijui ukweli ukoje
mkuuu juzijuzi nimemuona mlimani city yuko kwenye VX katulia utafikiri nothing is goin on in other words kama vile kesi imeisha na yuko huru uraiani .......
ufisadi kwisha kazi ...mwe!!!............
 
mkuuu juzijuzi nimemuona mlimani city yuko kwenye VX katulia utafikiri nothing is goin on in other words kama vile kesi imeisha na yuko huru uraiani .......
ufisadi kwisha kazi ...mwe!!!............
The end is coming soon! the nation shall rise and gain his status!
'Ndikupasya Buno malafyale anganie kangi ambokie'.
 
johnson alikuwa mchovu sana aomba bia pale rose garden sasaiv daa ni fisadi kwa kuiba hela za umma...govt pls put him behind bars..he belongs there..
 
Ufisadi pembeni for a min,

Hivi mtu ukiwa na milioni 35 unaweza kuchukua ki flat cha two bedrooms uwaweke wadogo bongo? au hii ilikuwa then and this is now utaambiwa bei za ajabu?
 
Ufisadi pembeni for a min,

Hivi mtu ukiwa na milioni 35 unaweza kuchukua ki flat cha two bedrooms uwaweke wadogo bongo? au hii ilikuwa then and this is now utaambiwa bei za ajabu?
ukiwa mwenyewe bongo utapa bila matatizo, lakini kwenye internet upati hata hufanyeje...
hizo bei unazoziona kwenye internet nyumba nyingi haizuziki na sasa hivi hamna hela utapata tu kama hauna haraka
 
Back
Top Bottom