Ufisadi wa Johnson Lukaza

Ufisadi wa Johnson Lukaza

Siwapendi mafisadi lakini nawachukia zaidi wanaowaona mafisadi wakiendelea na mambo yao BILA KUSEMA CHOCHOTE labda pengine wanakuwa wakipewa "kidogodogo" ili wasibwatuke na kuanza kubwabwaja wanayoyaona?

Ningekuwa nawajua mafisadi... well, wapo, na kila wanapofanya wanayoyafanya huwa ninabwata... bora nibwate kuliko kukaa kimya, nafsi yangu ikinisuta kwa kuuendekeza ufisadi!
 
hii kweli bado inastahili kuwa kwenye jukwaa la Siasa? Naona ingefaa kwa maselebriti

Mkuu Zanaki, heshima mbele - tunaomba ufafanuzi kidogo, leo hii wezi wetu wamekuwa 'MACELEBRITY'???!!!!

Ama kweli Wabongo wepesi sana kusahau!
 
makubwa hayo.

haya sie yetu macho. CCM .....UFISADI...boti moja ila nahodha tafauti
 
Back
Top Bottom