Lion01
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 491
- 927
Yaaah hazitakiwi kuvaliwa kabisa, nakumbuka advance pale Same Kuna watu waliadhibiwa Kwa kuvaa rozali na walimu wakristo wote waligwaya kuwaadhibu wale wanafunzi ndo akaja mwalimu mwislamu alikuwa anaitwa (sw*di) akawatandikaKwamba abaya kiingereza chake ni abaya.
Nimejua sasa hivi.
Hoja ni "Hutakiwi kuitambua dini kwa mavazi" nafikiri na rozali hazivaliwi shule zote za serikali ama sivyo?
Waliosoma same mwaka ule wanakumbuka na waliokuwepo assemble