Omary Ndama
JF-Expert Member
- Apr 16, 2017
- 3,367
- 4,072
JF wote tutakuwa wachawi

Tupeleke kwenye utengenezaji wake jr mshana

Tupeleke kwenye utengenezaji wake jr mshana
Labda huna bandle...Lakini kama hyo link haifunguki hivi
Tafadhali
Meseji pm kwako haziingii sijui kumejaa....Click avatar yangu itatokea profile yangu na sehemu ya msg click tena hapo kisha fuata maelekezo
Hapo ulipoandika "Usichanganye na dini ya kiarabu" . Ulikusudia au ni makosa ya kiuandishi ?View attachment 456932
Unaweza kuita uchawi au ushirikina lakini sigils ni alama za kishetani ambazo ukizichanga kwa kufuata mifumo yake hukupa matokeo unayotaka iwe ni kwenye ishu za mapenzi ngekewa bahati mali umaarufu nk
Ukiangalia huo uso hapo una point zote muhimu za sigils lakini ya muhimu sana ni point no moja ambayo haijajirudia na imekaa kwenye nafasi ya jicho la tatu
Paji la uso ndio lango la kiroho kwenye mambo mengi sana ya kiza na mwangaView attachment 456941
Sigils za kawaida ni mbinu za kawaida za kichawi ambazo ukiipatia formula yake itakutimizia mahitaji yako yote...sigils si chochote kigeni bali alama za kawaida kwa macho zinazofanana fanana na number za kirumi ama kwa sehemu maandishi ya kiarabu (usichanganye na dini ya kiarabu)
Kuna formula ya kutengeneza sigils zenye nguvu hata ya kudhuru na kuangamiza(hypersigils)lakini hapa si mahala pake...hapa tunapeana tu elimu
Kiasili sigil ni mhuripicha wa shetani ambao unaweza kuuchora kwa namna tofauti kuficha uhalisia lakini ndani yake mhuri ukibaki bila kuathirika kabisa...na ni mhuri huo wa kishetani unaowapa watu nguvu kubwa ya kufanya wapendacho na kupata chochote watakacho iwe kulaani kuua kuogopwa na hata kutengeneza maumbomawazo yenye roho zinazoweza kufanya yote hayo
Nimeandika kwa ufupi lakini angalizo kubwa ni kwamba sigils ni alama za kishetani tofauti kabisa na uchawi wa kawaida na wengi wetu tumeubeba huu mhuri kupitia mapambo yetu na hata tattoos tunazojichora
Cc: tetee
Hapa kaka nina swali la kuuliza,kipi kilicho kujulisha hizo alama ni za kishetani na huo muhuri halikadhalika ni wa kishetani ?View attachment 456932
Unaweza kuita uchawi au ushirikina lakini sigils ni alama za kishetani ambazo ukizichanga kwa kufuata mifumo yake hukupa matokeo unayotaka iwe ni kwenye ishu za mapenzi ngekewa bahati mali umaarufu nk
Ukiangalia huo uso hapo una point zote muhimu za sigils lakini ya muhimu sana ni point no moja ambayo haijajirudia na imekaa kwenye nafasi ya jicho la tatu
Paji la uso ndio lango la kiroho kwenye mambo mengi sana ya kiza na mwangaView attachment 456941
Sigils za kawaida ni mbinu za kawaida za kichawi ambazo ukiipatia formula yake itakutimizia mahitaji yako yote...sigils si chochote kigeni bali alama za kawaida kwa macho zinazofanana fanana na number za kirumi ama kwa sehemu maandishi ya kiarabu (usichanganye na dini ya kiarabu)
Kuna formula ya kutengeneza sigils zenye nguvu hata ya kudhuru na kuangamiza(hypersigils)lakini hapa si mahala pake...hapa tunapeana tu elimu
Kiasili sigil ni mhuripicha wa shetani ambao unaweza kuuchora kwa namna tofauti kuficha uhalisia lakini ndani yake mhuri ukibaki bila kuathirika kabisa...na ni mhuri huo wa kishetani unaowapa watu nguvu kubwa ya kufanya wapendacho na kupata chochote watakacho iwe kulaani kuua kuogopwa na hata kutengeneza maumbomawazo yenye roho zinazoweza kufanya yote hayo
Nimeandika kwa ufupi lakini angalizo kubwa ni kwamba sigils ni alama za kishetani tofauti kabisa na uchawi wa kawaida na wengi wetu tumeubeba huu mhuri kupitia mapambo yetu na hata tattoos tunazojichora
Cc: tetee
Kila kitu kina pande mbili... Upande wa nuru na upande wa giza, upande wa mema na upande wa mabaya nk.Hapa kaka nina swali la kuuliza,kipi kilicho kujulisha hizo alama ni za kishetani na huo muhuri halikadhalika ni wa kishetani ?
Ukinijibu swali hilo kuna mengine nitakuuliza bro !
Bro bado hujaonyesha ni kipi kilichokujulisha kama hizo ni alama za shetani.Kila kitu kina pande mbili... Upande wa nuru na upande wa giza, upande wa mema na upande wa mabaya nk.
Katika kila upande kuna alama na viashiria vyake vinavyotumika kama kiwakilishi
Angalia kwa mfano nyota, ncha moja ikiangalia juu na mbili chini hutumiwa kama kiwakilishi cha nuruni, lakini ncha mbili nikiangalia juu ni alama na kiwakilishi cha giza (shetani)
Angalia pia shwastika iliyotumiwa na Hitler na ile iliyotumiwa na mabudhist au wakatoliki
Matumizi yake kama nilivyoainisha kwenye mfano huo wa nyota...Bro bado hujaonyesha ni kipi kilichokujulisha kama hizo ni alama za shetani.
Tumia tiba rahisi sana ya kuogea chumvi ya mabonge... Tiba hii haina maagano, haina viapo, haina kafara, haina gharama na matokeo yake ni makubwa navya hakikaMzee Mshana mi walishaniumiza nimefurukuta hadi leo sijapata majibu nasubiri kufa tu maana ni miaka mingi nimepanda milima na mabonde bila majibu, nina maumivu yasiyoisha, umasikini wa kuogofya, n.k. laikini elimu yangu ni University, mwajiliwa wa kudumu, lakini maisha kwangu ni machungu kama shubiri na sijamfanyia mtu ubaya wowote, je kupitia elimu ya SIGIL naweza pata ahuweni?
Mwisho wake ndio huu tumia chumvi ya mabonge kiganja kimoja kwenye ndoo ya Lita 20 ogea kila siku mfululizo kwa siku 30, nyingine nyunyiza kuzunguka nyumba nje na ndani... Utashangazwa na matokeoJamaa walinifungia nyota, mali, heshima, elimu, ndoa, n.k. Lakini Mungu si athumani elimu niliipata ingawa kwa taabu sana mfano kila ilipokaribia fina examination lazima nikalazwe sometimes kufanyiwa upasuaji hii ilijitokeza kuanzia O' level, A' level na chuo kikuu ni kuumwa hadi kazini hadi sasa hadi dunia imekuwa chungu. cjui ni lini haya yata kwisha
Faiza zamani nilikuwa nakuchukia sana kwa kuona kwa kuwa ww ni li ccm nikajua utakuwa likatili na una miliki roho mbaya balaa! Lkn baada ya kukuchunguza muda mrefu sana na kwa kuelevuka kwangu khs mambo mbali mbali hasa siasa na dini sasa hivi nakupenda na kukuheshimu tu. Itikadi za dini na siasa hutupata kitofauti kulingana na kila mtu na bahati yake yaani sawa na kuzaliwa Amerika au Afrika.Hakuna "dini ya Kiarabu" ewe punguani. Dini ni ya Mwenyeezi Mungu tu unless uwe hujuwi maana ya neno "dini".
Halafu huko ulikuwa kopi na ku pesti umeshindwa kabisa kuitafsiri hiyo mada. Mengi sana humu unadanganya.
Ntarudi.
Kaka cc:mshana Jr nimeku PMIngia hapa how to create a sigil