Ufahamu uchawi wa Sigil

Ufahamu uchawi wa Sigil

Bwana Mshana Nina swali kuhusu hii mada yako ;

Katika kuandaa ile sigil symbol kuna ile hatua ya kuandaa sentensi ;
Swali ;
Sentensi inapaswa iwe ktk muundo UPI ? eg. I want to remember my dreams
or to remember my dreams
or
my dreams to being remembered
or else?

Baada ya kuandaa sigil symbol kuzungushia duara ni suala la msingi au laa?
 
Sentence ina misingi lakini haina formula.. Kikubwa usitoke nje ya duara
Bwana Mshana Nina swali kuhusu hii mada yako ;

Katika kuandaa ile sigil symbol kuna ile hatua ya kuandaa sentensi ;
Swali ;
Sentensi inapaswa iwe ktk muundo UPI ? eg. I want to remember my dreams
or to remember my dreams
or
my dreams to being remembered
or else?

Baada ya kuandaa sigil symbol kuzungushia duara ni suala la msingi au laa?
Kuzungusha duara kuna maana ya mipaka ama kingo hivyo inategemea una nia kwenye sigil gani
 
.
IMG-20191105-WA0009.jpeg
 
Hii dunia INA mambo Mengi sana kuna hii

Sigil
Ouja board
Tarot card

Yote hii ni mambo ya kiroho tena mazito na makubwa
 
Kitu chochote kisicho na mahusiano na Mungu kama hicho jua kina mushkeli kwakuwa hapo humuombi Mungu bali unatengeneza chako mwenyewe

Oooh.. Kuna kitu duniani na kwingineko ambacho kikifanyika Mungu asijue ???

Happy dude
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom