picha naziona mkuu lakini ntaambatanishaje hizo alama ili zilete matokeo ninayotaka.....?haya mambo yanahitaji ufafanuzi mkubwa![]()
![]()
anglia picha nilizoambatanisha
Ingia hapa how to create a sigilpicha naziona mkuu lakini ntaambatanishaje hizo alama ili zilete matokeo ninayotaka.....?haya mambo yanahitaji ufafanuzi mkubwa
sitapatwa na kitu chochote kibaya mkuu....maana tahadhari kabla ya hatariIngia hapa how to create a sigil
ntakavoanza kuapply kwa kuzichanganya alama hizo je sitapatwa na shida yoyote...?Hapana kwakuwa unasoma tuu
changanya fedha begi moja na la pili karatasi kisha uzilalie bila kukohoa kwa siku saba ukijafungua begi la karatasi nazo zitakuwa fedha anza leo.Je ni alama gani niwe nachanganya ili niwe najaza hela kwenye mabegi yangu matatu makubwa.....?
Sorry kwa kuchelewa kukujibu nilikuwa offline...karibu pm tafadhali
Dah noma saaana huko youtube wa amerika na wazungu wana campaign saaana mambo za giza kwa kuficha codes chief.....yaani darker ballaaaaNdio maana sikutaka kabisa kuingia kwenye utengenezaji wake...hata hii law of attraction ni mule mule
SmartLaw of attraction sio ushetani ni jinsi nature inavyorespond kutokana na mahitaji yetu mi sioni uchawi hapo. mazingira yanayotuzunguka yanareact na vibes na frequencies tunazozitoa mfano ukiwaza mabaya yatakutokea mabaya na viceversa. Ni simple equation tu.
And we are as well what we eatYeah like attracts like, we are what we think.
Hakuna dini ya kiarabu duniani."USIPOTOSHE"